mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,287
- 9,166
- Thread starter
- #21
kwamba shetani yupo ndani ya mwili wangu ananitumikisha niongee anachotaka? Basi kama ni hivyo na Mungu ana kesi ya kujibu kwanini amruhusu aingie nitakataa sio mm nilikuwa nikipost bali ni mtu anaetumia mwili wangu,Endelea kumpigia debe shetani ambaye hajui chochote kuhusu wewe anatumia Hila kukuhadaa tuuu