Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

shetani nishamwomba najibiwa nishataper mtu m30 ,
juzi nimempiga tena mzinga jamaa m8 so anajibu maombi vp ww Mungu kakupa nini huko?
Si unaona unaibia watu unasema shetani amekupa.
 
kwanza sina shibe nina maisha magumu hatari uliona wapi tajiri anamtusi Mungu adharan ni mm mr pipa na akili yangu timamu
Kama Mungu anakuacha ukazini na wake au waume za watu wakati anauwezo wa kustopisha liboroo lisifanye kazi na ukaokoka kwenye dhambi
Niseme tu tusipangiane
Sawa, MUNGU anakuhesabia tu siku zako
 
Kweli Penye wengi hapakosi kuwa na mengi !

Aisee?!

[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine.pia tofauti na KIRANGA na wenzake wasio amini uwepo wake mimi na amini yupoo ila utendaji wake wa kazi kidogo inanipa mshaka kama mashabiki wa vyama na mm Kwangu naona huyu shetani ndio mkombozi, kwa fact hizi
  • Pale bustani ya edeni Mungu alimficha Adamu na Hawa ule utamu.Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri leo kila mmoja wetu anainjoii kazi ya huyu mvumbuzi.pita guest zinavyojaa,angalia vijana,wazee nk wanavyopigania kupata hela ya kulia mbususu kwa kweli huyu jamaa shetani anastaili pongezi sana
  • Unaweza muomba Mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea angalia watu town walivyo madini,pesa nje nje lakini Mungu ukimuomba leo kukupa sahau bila kujisalimisha kwa shetani unakofa hata nyumbani huna, kwani uongo,mwamba anatupigania sana, wenyew mnajionea ni nani hapa hajawahi kwenda kule kwa mkombozi shetani kupitia mganga wa kienyeji
    *Pia huyu jamaa anajali wanae na anajua kuhendo ukiona binti mtaam mrembo utasikia mwanangu fanya upunguze hizo mawe utakufa na nyege shauri yako,lakini mbabe Mungu utasikia ukimuangalia tu huyo manzi ushazini nae hapa ni moja kwa moja motoni, yaani hajali kama mwili aliokuwa amekupa sam taimu unastoku za nyege
    Anachojua yeye ni kukuandikia dhambi usikute na mimi kuandika tu hapa tayari dhambi
    Sasa nasema hivi Mungu we ni mbabe,katili,mchoyo,unawivu
    Nimekuchoka sasa nipo huku kwa mtetea wanyonge , Mungu unakuwa kama wanasiasa nitakuletea maji mkinichagua,tutajenga barabara, na wewe ni hivyo mtaenda mbinguni,sa siungetupeleka moja kwa moja kwanini utulete huku duniani,
    Shetani ww jembe unaupiga mwingi
    Wakuu mkombozi ameniletea manzi ngoja nikaile ki rick boy nitakuja
Ndio hivyooo
Jamii forum mnasajili mpaka mashetani, wewe inabidi tukukabizi kwa shehe wa mkoa ule fimbo za kutosha nyang'au we
 
Una pepo la uzinzi/uasherati maana bandiko lote limejaa mawazo hayo.

Nakuombea rehema za Mungu, akusamehe na wala asihesabu uovu wako.

Nakuombea pia neema ya wokovu ili siku moja utubu na kumrudia Mungu kabla haijakuwa too late kwako.

Amani iwe nawe.
 
Nimesoma huku nacheka, i mean umenichekesha sana mkuu kuna kipindi pia mimi niliwahi kuwaza hayo ila kuna mstari niliwahi usoma kwenye maandiko kama sio kuusikia ulisema kuwa "Maana akili zake sio kama zetu, Wala njia zake sio kama zetu" nahisi ni kitu kama hicho... basi kuanzia hapo me kila akifanyacho huyu Bwana wa majeshi simpingi asee maana hayo maswali unayohisi pengine ni kinga yako ya kuiepuka adhabu ya moto siku atakuja kukupa majibu yake basi utauelekea moto mwenyewe kwa kujiona mpumbavu na aibu tele zitakazofanya ushindwe hata kumtizama.
 
Mungu ameumba dunia amewapa wanadamu mamlaka waitawale.

Alipowapa wanadamu mamlaka aliwapa na uhuru , wakiamua kuuana, kupendana , kumuasi ni wao.

Mungu haingilii hata siku moja mambo ambayo amewapa wanadamu mamlaka.
Sasa mbona atatuchoma?
 
Una pepo la uzinzi/uasherati maana bandiko lote limejaa mawazo hayo.

Nakuombea rehema za Mungu, akusamehe na wala asihesabu uovu wako.

Nakuombea pia neema ya wokovu ili siku moja utubu na kumrudia Mungu kabla haijakuwa too late kwako.

Amani iwe nawe.
Amina
 
Wew ulie uandika uzi huu hakika umelaaniwa mpaka kizazi chako cha tano na sita cha wote wakupendao
Na vilevile yoyote asomae na achangiae uzi huu yampate yatakae mpata yule alie andika uzi huu
 
Hiyo hoja yako ya kwanza siyo sahihi! Mungu alipomwumba Adamu na Hawa aliwaumba ili wafanye Tendo la ndoa na wazae,(Mwanzo2:21-24) na (Mwanzo1:26-27)-Zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi.
Kwa hiyo si kweli kwamba Mungu aliwafumba Adamu na Hawa wasifanye tendo la ndoa! Huo ni Uongo wa huyo unayemtetea ambaye hata ungemtetea hana huruma na wanadamu.
Kosa walilofanya ni kuchuma matunda na kuyala bila kibali cha Mungu,na matunda waliyochuma na kuyale ni sawa sawa tu na haya maembe au machungwa tunayokula!
(Mwanzo2:15-17)
Hoja ya pili ni kweli Shetani anaweza kukupa hata Utajiri wa dunia hii lakini gharama zake ni mpaka ufanye anayoyataka(kutoa kafara za watu)(Mathayo4:8-9), ambayo yatakugharimu baada ya kufa,(Ufunuo21:8)
 
Wew ulie uandika uzi huu hakika umelaaniwa mpaka kizazi chako cha tano na sita cha wote wakupendao
Na vilevile yoyote asomae na achangiae uzi huu yampate yatakae mpata yule alie andika uzi huu
Ukiwemo na wewe
 
Back
Top Bottom