Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine.pia tofauti na KIRANGA na wenzake wasio amini uwepo wake mimi na amini yupoo ila utendaji wake wa kazi kidogo inanipa mshaka kama mashabiki wa vyama na mm Kwangu naona huyu shetani ndio mkombozi, kwa fact hizi
  • Pale bustani ya edeni Mungu alimficha Adamu na Hawa ule utamu.Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri leo kila mmoja wetu anainjoii kazi ya huyu mvumbuzi.pita guest zinavyojaa,angalia vijana,wazee nk wanavyopigania kupata hela ya kulia mbususu kwa kweli huyu jamaa shetani anastaili pongezi sana
  • Unaweza muomba Mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea angalia watu town walivyo madini,pesa nje nje lakini Mungu ukimuomba leo kukupa sahau bila kujisalimisha kwa shetani unakofa hata nyumbani huna, kwani uongo,mwamba anatupigania sana, wenyew mnajionea ni nani hapa hajawahi kwenda kule kwa mkombozi shetani kupitia mganga wa kienyeji
    *Pia huyu jamaa anajali wanae na anajua kuhendo ukiona binti mtaam mrembo utasikia mwanangu fanya upunguze hizo mawe utakufa na nyege shauri yako,lakini mbabe Mungu utasikia ukimuangalia tu huyo manzi ushazini nae hapa ni moja kwa moja motoni, yaani hajali kama mwili aliokuwa amekupa sam taimu unastoku za nyege
    Anachojua yeye ni kukuandikia dhambi usikute na mimi kuandika tu hapa tayari dhambi
    Sasa nasema hivi Mungu we ni mbabe,katili,mchoyo,unawivu
    Nimekuchoka sasa nipo huku kwa mtetea wanyonge , Mungu unakuwa kama wanasiasa nitakuletea maji mkinichagua,tutajenga barabara, na wewe ni hivyo mtaenda mbinguni,sa siungetupeleka moja kwa moja kwanini utulete huku duniani,
    Shetani ww jembe unaupiga mwingi
    Wakuu mkombozi ameniletea manzi ngoja nikaile ki rick boy nitakuja
Ndio hivyooo
Umekwisha
 
Muda wake upo wa kuuwawa, lakini kabla ya yote Mungu aliona si vyema akimuua shetwani papo kwa papo, ili asionekane ni Mkatili, basi alimpatia muda wa kukiri kosa ili amrehemu lakini alishupaza shingo ndipo alimtupa duniani.
Je mungu awezi kufanya hivyo pia kwa sisi binadamu hiyo siku ya hukumu? kama aliweza kumpa shetani last chance hali ya kuwa alitenda kosa kubwa hivyo kwanini ashindwe kutupatia na sisi hiyo nafasi?
 
Aliyekuambia shetani yuko kimya ni nani? Hayo uliyoyaandika sio yako ni ya shetani kakuongoza uandike halafu unasema yuko kimya?? itakuwa Bado haumjui shetani na ufalme wake na anavyofanya, uwe unauliza kabla ya kuandika au kusema jambo Ili uwe uhakika wa unayosema
Shetani Yuko wapi? Uliwahi kumuona?
 
Mungu hawezi kumshindwa shetani. Mungu ndiye aliyeupangilia mwanzo na mwisho wa shetani.
Sasa mbona Kila siku hamuishi kumshambulia shetani kama mwanzo na mwisho wake umepangiliwa
 
Mungu alimweka kama sisi tunavyoweka chujio kuchuja makapi pale yanapochanganyika na chai. Lakini haiondoi ukweli kuwa ni sisi wenyewe ndiyo tuliamua tangu mwanzo kuchanganya majani na maji. Kisha tunachuja tupate tunachohitaji.
 
Hakuna lolote. Shetani, kama yupo, Hana ugomvi na wanadamu, ila yeye tu anachafuliwa na Jehovah, pia kama yupo. Jehovah ni mwoga sana na asiyependa upinzani kwa mujibu wa maandiko ya wazee wa kale wa kiyahudi
 
Sasa kama Shetan Mungu alimshindwa huko Mbinguni akaamua kumfurusha huku Dunian ndo utamuweza wewe? Acha kushindana na vitu vya ajabu banah

Sent using Jamii Forums mobile app
I am lucifer the light bearer.... I always give you hidden knowledge I LOVES YOU SO MUCH...!
You hate me innocently, but my love to you are greats
 
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine.pia tofauti na KIRANGA na wenzake wasio amini uwepo wake mimi na amini yupoo ila utendaji wake wa kazi kidogo inanipa mshaka kama mashabiki wa vyama na mm Kwangu naona huyu shetani ndio mkombozi, kwa fact hizi
  • Pale bustani ya edeni Mungu alimficha Adamu na Hawa ule utamu.Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri leo kila mmoja wetu anainjoii kazi ya huyu mvumbuzi.pita guest zinavyojaa,angalia vijana,wazee nk wanavyopigania kupata hela ya kulia mbususu kwa kweli huyu jamaa shetani anastaili pongezi sana
  • Unaweza muomba Mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea angalia watu town walivyo madini,pesa nje nje lakini Mungu ukimuomba leo kukupa sahau bila kujisalimisha kwa shetani unakofa hata nyumbani huna, kwani uongo,mwamba anatupigania sana, wenyew mnajionea ni nani hapa hajawahi kwenda kule kwa mkombozi shetani kupitia mganga wa kienyeji
    *Pia huyu jamaa anajali wanae na anajua kuhendo ukiona binti mtaam mrembo utasikia mwanangu fanya upunguze hizo mawe utakufa na nyege shauri yako,lakini mbabe Mungu utasikia ukimuangalia tu huyo manzi ushazini nae hapa ni moja kwa moja motoni, yaani hajali kama mwili aliokuwa amekupa sam taimu unastoku za nyege
    Anachojua yeye ni kukuandikia dhambi usikute na mimi kuandika tu hapa tayari dhambi
    Sasa nasema hivi Mungu we ni mbabe,katili,mchoyo,unawivu
    Nimekuchoka sasa nipo huku kwa mtetea wanyonge , Mungu unakuwa kama wanasiasa nitakuletea maji mkinichagua,tutajenga barabara, na wewe ni hivyo mtaenda mbinguni,sa siungetupeleka moja kwa moja kwanini utulete huku duniani,
    Shetani ww jembe unaupiga mwingi
    Wakuu mkombozi ameniletea manzi ngoja nikaile ki rick boy nitakuja
Ndio hivyooo
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mungu atabaki kuwa mungu tuu hata Kama hakutenda tunavyotaka,,endelea kumwinua huyo shetani wako ipo siku utajua ukuu wa mungu kwenye maisha yako.mimi kwa uzima nilionao inatosha kumshukuru mungu na kumwabudu siku zote za maisha yangu,pesa nyumba magari vyote ni vya kupita tuu.mungu akusaidie
 
yote sana ila kila mmoja na mtazamo wake
 
Back
Top Bottom