Kwa hiyo shetani yupo duniani au kuzimu?Muda wake upo wa kuuwawa, lakini kabla ya yote Mungu aliona si vyema akimuua shetwani papo kwa papo, ili asionekane ni Mkatili, basi alimpatia muda wa kukiri kosa ili amrehemu lakini alishupaza shingo ndipo alimtupa duniani.
kwanza sina shibe nina maisha magumu hatari uliona wapi tajiri anamtusi Mungu adharan ni mm mr pipa na akili yangu timamu
Kama Mungu anakuacha ukazini na wake au waume za watu wakati anauwezo wa kustopisha liboroo lisifanye kazi na ukaokoka kwenye dhambi
Niseme tu tusipangiane
Umesaidia kuuliza, tusubiri jibuMbona hujauliza wanaofia tumboni kwa akina Mama pia kabla ya kujifungua, nao wamemkosea nini shetwani?
Mungu ameumba dunia amewapa wanadamu mamlaka waitawale.je Mungu ana huruma ? Vuta picha vita ya Ukraine bom linawalipukia watoto wasio na hatia lakini Mungu uwezo wa kusolve anao mbona anafanya kana kwamba haoni ila ukiiba au ukizin dhambi huiona
Mungu aliamuru taifa la Israel likapige vita taifa mojawapo la enzi zile matokeo yake watu walikufa wengi je nahio ni huruma
tusidanganyane mamlaka gani alio mpa mwana damu ikiwa amekaa na peni na karatasi kukuandikia dhambi mwisho akutie motonMungu ameumba dunia amewapa wanadamu mamlaka waitawale.
Alipowapa wanadamu mamlaka aliwapa na uhuru , wakiamua kuuana, kupendana , kumuasi ni wao.
Mungu haingilii hata siku moja mambo ambayo amewapa wanadamu mamlaka.
Kama kafungwa anawezaje kutoka huko na kuja kuwarubini wanadamu?Anakojimwaya mwaya wapi sasa huku kuzimu alikofungiwa ndio anajimwaya mwaya?? Maana sioni anapojimwaya unless hujui usemalo
Yaani upewe uhuru halafu ukichagua upande wa pili uhukumiwe kwa kuchomwa moto. Kwanini hakumuondoa shetani tangu mwanzo? Uchokozi wa makusudi kabisaWewe ndio umeruhusu shetani akutumie, Mungu ajibu kesi gani sasa amekupa uhuru na wewe umechagua kuwa upande wa shetani ndo maana unampigia debe hapa
🤔🤔Kama kafungwa anawezaje kutoka huko na kuja kuwarubini wanadamu?
Kila kitu hapa duniani ni kimeumbwa na Mungu, ni mali ya Mungu..Shetani yuko kuzimu huko kwenye shimo lisilo na maji, anasubiri hukumu yake ya mwisho, na duniani ndipo yalipo makazi ya wanadamu, shetani anatumia wanadamu kukontro dunia, akiwepo na wewe unayempigia debe hapa, anatumia wachawi, mapepo, na waganga kuvuna wanadamu ambao watakuwa upande wake akiwemo wewe, Ili siku yake ya hukumu asiwe peke yake. Lucifer as Lucifer amefungwa huko gerezani(kuzimu) hawezi kuja huku
Hakumuua shetani ili asionekane mkatili, ila shetani kusababisha sisi tutende dhambi na yeye Mungu aje atuhukumu kwa kutenda dhambi sio ukatili..Muda wake upo wa kuuwawa, lakini kabla ya yote Mungu aliona si vyema akimuua shetwani papo kwa papo, ili asionekane ni Mkatili, basi alimpatia muda wa kukiri kosa ili amrehemu lakini alishupaza shingo ndipo alimtupa duniani.
Unasemaje haingilii wakati moto wa milele unatusubiri kwa hamu kwa maamuzi tunayofanya hapa duniani?Mungu ameumba dunia amewapa wanadamu mamlaka waitawale.
Alipowapa wanadamu mamlaka aliwapa na uhuru , wakiamua kuuana, kupendana , kumuasi ni wao.
Mungu haingilii hata siku moja mambo ambayo amewapa wanadamu mamlaka.