kama ni hivyo Mungu hana msimamo kwa anachofanya ni kama demu malaya tu sitak nataka yupo kuzimu alafu maovu yanaendelea bado anamlaumu
Mungu ni neutral phenomena. Na asili yake ni haiwezi kueleweka. Maandiko unayoyategemea kuhoji kuhusu Mungu ni kwa uelewa wa binadamu na yameandikwa na binadamu.haki ya nani kivipi?
Wisdom 👍🏾Mungu ni neutral phenomena. Na asili yake ni haiwezi kueleweka. Maandiko unayoyategemea kuhoji kuhusu Mungu ni kwa uelewa wa binadamu na yameandikwa na binadamu.
Kwahiyo, usichukulie maandiko yanayoweza kuwa na lugha usiyoilewa na tafsiri isiyo sahihi kumjadili Mungu. Lolote ambalo unaliona kuwa siyo la kimungu, basi elewa ni la kibinadamu au lina tafsiri ya kibinadamu.
Mungu hawezi kujadiliwa wala kueleweka na kiumbe kisichokuwa na ufahamu. Binadamu hatuna ufahamu wa kutosha, hata kupambana na mazingira yetu tunamoishi tumeshindwa. Sasa tunapata wapi ujasiri wa kuhoji Muumba ambaye hatuna uwezo wa kumjua?
Kama ni ulevi, basi tulewe tulale, na kama tunatamani kuhalalisha madhambi yetu, basi tutende tu dhambi mpaka nafsi zitakapotusuta tukatubu kwa unyenyekevu. Tusiyakimbie madhaifu yetu kwa kusingizia mambo yasiyohusiana kama kuuhoji uhalisi wa Mungu.
Punguza mihemko. Dini ni zao la mawazo ya binadamu. Mkandamizaji ni binadamu mwenyewe, wala siyo Mungu. Kama unavyokandamizwa na viongozi wako na kuwekewa sera na mifumo mibovu (namaanisha CCM), ndivyo hivyo hivyo dini inavyofanya kazi.Shetani mtu wa haki bwana sio dini zinazo kandamiza watu
Antichrist yupo huku anatambanaona siku hizi tunainteract na shetani kupitia jamii forum mojakwamoja.
Acha kutolea mfano usioendana na uhalisia. Chai tangu mwanzo unachanganya makusudi. Hakuna sehemu ambyo chai inatakiwa kujichunga isiingiwe na majani. Mwanzo wa simulizi unasema "akaona kila kitu alichokikumba ni chema" maana yake ni kwamba hakikuwa na kasoro. Ile dhambi ya uasi aliyoanza shetani ilitoka wapi iwapo kila kitu kilikuwa chema?Mungu alimweka kama sisi tunavyoweka chujio kuchuja makapi pale yanapochanganyika na chai. Lakini haiondoi ukweli kuwa ni sisi wenyewe ndiyo tuliamua tangu mwanzo kuchanganya majani na maji. Kisha tunachuja tupate tunachohitaji.
hatari na nusu
ADAMU NA HAWA wale ni wazungu hawatuhusu! uliwahi ona wapi mzungu anazaa mweusi??! weusi mnajipendekeza tuuu!! si mlishaambiwa nyie weusi ni nyani?? sasa Nyani ataenda mbinguni gani?/moto upi?Washasema wazazi walizingua kumsikiliza shetani.