Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,298
4,818
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine.pia tofauti na KIRANGA na wenzake wasio amini uwepo wake mimi na amini yupoo ila utendaji wake wa kazi kidogo inanipa mshaka kama mashabiki wa vyama na mm Kwangu naona huyu shetani ndio mkombozi, kwa fact hizi
  • Pale bustani ya edeni Mungu alimficha Adamu na Hawa ule utamu.Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri leo kila mmoja wetu anainjoii kazi ya huyu mvumbuzi.pita guest zinavyojaa,angalia vijana,wazee nk wanavyopigania kupata hela ya kulia mbususu kwa kweli huyu jamaa shetani anastaili pongezi sana
  • Unaweza muomba Mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea angalia watu town walivyo madini,pesa nje nje lakini Mungu ukimuomba leo kukupa sahau bila kujisalimisha kwa shetani unakofa hata nyumbani huna, kwani uongo,mwamba anatupigania sana, wenyew mnajionea ni nani hapa hajawahi kwenda kule kwa mkombozi shetani kupitia mganga wa kienyeji
    *Pia huyu jamaa anajali wanae na anajua kuhendo ukiona binti mtaam mrembo utasikia mwanangu fanya upunguze hizo mawe utakufa na nyege shauri yako,lakini mbabe Mungu utasikia ukimuangalia tu huyo manzi ushazini nae hapa ni moja kwa moja motoni, yaani hajali kama mwili aliokuwa amekupa sam taimu unastoku za nyege
    Anachojua yeye ni kukuandikia dhambi usikute na mimi kuandika tu hapa tayari dhambi
    Sasa nasema hivi Mungu we ni mbabe,katili,mchoyo,unawivu
    Nimekuchoka sasa nipo huku kwa mtetea wanyonge , Mungu unakuwa kama wanasiasa nitakuletea maji mkinichagua,tutajenga barabara, na wewe ni hivyo mtaenda mbinguni,sa siungetupeleka moja kwa moja kwanini utulete huku duniani,
    Shetani ww jembe unaupiga mwingi
    Wakuu mkombozi ameniletea manzi ngoja nikaile ki rick boy nitakuja
Ndio hivyooo
 
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine

Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi

Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri

Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea

Ndio hivyooo
Sasa kama Shetan Mungu alimshindwa huko Mbinguni akaamua kumfurusha huku Dunian ndo utamuweza wewe? Acha kushindana na vitu vya ajabu banah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine

Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi

Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri

Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea

Ndio hivyooo
Yep, mshikaji hacheleweshi kutoa mzigo, ukimlalamikia tu kupitia Qur'an kwa njia ya albadir lazima atakujibu tu:eek:
 
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine

Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi

Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri

Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea

Ndio hivyooo
Ni fasta kwa huyo mjamaa lakini hana huruma wala fadhila ni lzm akuue fasta pia, msaada wake hauendi bure.
Mungu uchelewa lakini ni hakika na hakuna majuto wala hasara
 
Mungu anakuona,siku zako za kuishi duniani ni chache sana,lkn siku za kwenda kuishi na muumba wako ni nyingi zisizo na hesabu,sasa ni juu yako kumpigia debe shetani alafu ulaaniwe milele au utubu na kufanyika mwana wa Mungu uishi kwa raha milele yote.Uamuzi ni wako.Shibe isitupe kiburi hata kuwa chukizo kwa Mungu,hivi ungekuwa umepalalaizi kitandani ungepata wapi nguvu za kuandika huu utumbo mavi wako??.
 
Endelea kumpigia debe shetani ambaye hajui chochote kuhusu wewe anatumia Hila kukuhadaa tuuu
 
Ni fasta kwa huyo mjamaa lakini hana huruma wala fadhila ni lzm akuue fasta pia, msaada wake hauendi bure.
Mungu uchelewa lakini ni hakika na hakuna majuto wala hasara
je Mungu ana huruma ? Vuta picha vita ya Ukraine bom linawalipukia watoto wasio na hatia lakini Mungu uwezo wa kusolve anao mbona anafanya kana kwamba haoni ila ukiiba au ukizin dhambi huiona

Mungu aliamuru taifa la Israel likapige vita taifa mojawapo la enzi zile matokeo yake watu walikufa wengi je nahio ni huruma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom