Pia yanaponya figo zinazokaribia kufeli 🤣
Pia yanaponya figo zinazokaribia kufeli 🤣
Safiiiii siku nyingine ya kulisongeshaMapema saana ndani ya nyumba nimeamka ShesRise_1
Asante dadaPoleni sana walinzi wa kujitolea
Mlinzi wewe hufai sasa si ungeibiwa jamaniMimi ni mlinzi lakini kwa muda huo nilikuwa tayari fofofo ndani ya kibanda. Poleni mnaokesha.
Acha chakula cha mtoto bhana🤣Pia yanaponya figo zinazokaribia kufeli 🤣
Zile namba ulifuta?🤨Nakuamshaje sasa ba mtu😴
Mtoto wa kwanza ni mimi 😄Acha chakula cha mtoto bhana🤣
Namba gani?Zile namba ulifuta?🤨
Mtoto wa kuchovya weweMtoto wa kwanza ni mimi 😄