Mpaka Saa Hizi Bado Uko Macho?

Mpaka Saa Hizi Bado Uko Macho?

unaonekana mpweke, tuma location tuje tuwakilishe tu na huko. Upendo unasambazwa for free hatunyimani
Astghafirullah šŸ™ŒšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļø
 
Mimi pia sina usingizi kama wewe. Uuguzi na mimi darasa la nne B, wapi na wapi. Kabali huku kwetu unampiga nani wote tunajuana kijiji kizima. 😁
Basi we mchawi šŸ™…ā€ā™‚ļø
Kataa na hiyo
 

Attachments

  • 1779131271809.jpg
    1779131271809.jpg
    114.4 KB · Views: 4
Miye niliaga kbs tena baada ya kusoma ule uzi wa bint wa zamani.
Nimeingia kwa bed tuu imekuja simu imenitibua mpk unyayo.
 
Back
Top Bottom