ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 8,801
- 21,153
- Thread starter
- #61
Una allergy na sukari unapenda chumvi chumvi ok 👍Sinaga time nayo mie hapa. 😄
Una allergy na sukari unapenda chumvi chumvi ok 👍Sinaga time nayo mie hapa. 😄
Wanaume wa kibosho ndo zao hizo, wakilewa sana wanarudi kupunguza pombe na maziwa ya wake zao.Angalia usimalize maziwa ya mtoto
Pole binti wa zamani katunyegesha then kakimbia 🤣Miye niliaga kbs tena baada ya kusoma ule uzi wa bint wa zamani.
Hiyo simu ya kheri au ya shari?Nimeingia kwa bed tuu imekuja simu imenitibua mpk unyayo.
KiruuuuuuWanaume wa kibosho ndo zao hizo, wakilewa sana wanarudi kupunguza pombe na maziwa ya wake zao.
Kila kitu hujawahi mie unani udhiii😎Sijawahi hata kuonja.
Sitaki pesa za mipango bro, nikipoteza hii kazi ya ulinzi ndio nimekwishaAah we familia sasa 🔥
Hivi hapo tanesco siwezi kupata waya za magendo usiku huu tupige hela?
Ya mipango ya maisha tuu imefanya kichwa kuwaka moto.Pole binti wa zamani katunyegesha then kakimbia 🤣
Hiyo simu ya kheri au ya shari?
Kwenye miti hakuna wajenzi over 🙅♂️Sitaki pesa za mipango bro, nikipoteza hii kazi ya ulinzi ndio nimekwisha
Mbona huo mzani unaonyesha mtoto ana kilogram 19? unamsingizia mdau..Angalia usimalize maziwa ya mtoto
Relax play musicYa mipango ya maisha tuu imefanya kichwa kuwaka moto.
Mfungwa hachagui gereza mkuu....😜Kwenye miti hakuna wajenzi over 🙅♂️
Ilitakiwa ziwe 20 mdau kafyonza kg 1 akiacwa huyu ni hatari kwa afya ya mtotoMbona huo mzani unaonyesha mtoto ana kilogram 19? unamsingizia mdau..
Jaribu kuonja kidogo au basi nyonya vinginevyo ebooSasa ndo unyonye maziwa ya mtoto! Dah
Anachagua kama wewe ulivyochagua kulinda bia za watu hapo 😎Mfungwa hachagui gereza mkuu....😜
Miye nakwambia utu uzima hatari, we can dance b4 the tune.Relax play music
Chatika hapa
Kuna msemo unasema hata usiku uwe mlefu vp lazima pakuche
Basi mwanafunzi sio heshima kimfundisha mwalimuNjoo unifundishe basi
🙌🙌Miye nakwambia utu uzima hatari, we can dance b4 the tune.
Maneno mapya teena km samaki mkavu eti
We nomaManeno mapya teena km samaki mkavu eti