Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,216
- 10,285
Hindu Mandal, Aga Khan, Ebrahim Haji, TMJ n.k. zitawahudumia watu wa Tunduma?Hindu mandal
Amandla...
Hindu Mandal, Aga Khan, Ebrahim Haji, TMJ n.k. zitawahudumia watu wa Tunduma?Hindu mandal
Sasa wanasubiri nini KUFUTA??Hamna jambo ambalo State power inashindwa kufanya hapa Africa usijipe matumaini ya bure....kama raia zaida ya 1000 wanauliwa na kila kitu kinakua normal sembusa kufuta usajili wa TEC.
Waziri wa Afya ni MOHAMED MCHENGERWA MKAZA MWANA wa SAMIA.Mashikh au viongozi wakiislamu wengine hutumika kama remote sio akili zao na matakua yao, ila hu ndo mda muafaka wa ku-revise mikataba yote ya unyanyasaji wizi ukandamizaji ulio fanyika baina ya serikali ya CCM na kanisa katoliki, wote ni wale wale wezi, wana power greedy
Ikafanye nini huko ndugu Maalaria?MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Ni CHEAP halafu SHULE hakuna.Mikoa ya kusini yenye waisalmu wengi waliandamana kudai gesi iwanufaishe Kikwete akawapelekea Jeshi likapiga watu sana
Kule Zanzibar kwenye waislamu wengi walichagua rais wao mwaka 2015 Kikwete akawapelekea Jecha
Kikwete akawasweka ndani masheikh wa uamsho kwa kesi ya mchongo kwa miaka kibao
Sheikh Ponda akanusurika kuuawa kwa risasi kipindi cha utawala wa Kikwete.
Kikwete alipeleka jeshi Msikiti wa Idrisa kariakoo kuwadhibiti Waislamu waliotaka kuandamana
Mamia ya masheikh wametapakaa Jela tangu kipindi cha Kikwete.
Halafu eti cha Ajabu, Masheikh haohao wa leo wanadhani eti rais akiwa Muislamu ni kwa maslahi ya uislamu, HAKUNA KITU KAMA HICHO, WANASIASA WANAANGALIA POWER KWANZA
Kitu pekee serikali inaweza kufanya ni kufuta msamaha wa VAT pamoja nakuondoa watumishi wake.Hilo lazima lifanyiwe kazi hasa katika kipindi hiki ambacho hatutarajii mikopo kutoka nje, hizo hospital zao zijiendeshe zenyewe hayo makubaliano yanayotekelezwa kwa sasa ni wizi wa pesa za umma.
Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Hapa nakubaliana nawe mkuu.mpaka leo hii hospitali nyingi za wilaya ambazo ni za serikali hazina lolote na rufaa zao wanapeleka hospitali za DDH za catholic
Reasoning capacity yako ipo chini mkuu,Zanzibar wanatibiwa ktk hospital gani?
Tuitoe hiyo mou Kila mtu akatibiwe na kusoma pale anapotoa sadaka ?Hata ukifungia huduma watakao umia zaidi ni WANANCHI tena wana CCM haswa .
Nchi nzima Waislam hawana chuo kikuu cha udaktari wala hospitali kubwa yoyote
Kitu pekee serikali inaweza kufanya ni kufuta msamaha wa VAT pamoja nakuondoa watumishi wake.
Pesa serikali HAITOI.
Zinatoka UJERUMANI.
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Si lazima kuondoa.WangejuA wakatoliki wanavoombea huo muungano ufe , maana itabidi tuanze kuajiri wakatoriki mpaka mashuleni, imagine batch ya wanafunzi wa kiislam ikiondolewa pale saut
Masheikh wa BAKWATA hawawezi kuongelea hili sababu watakuwa wanaikosoa CCM na serikali yakeMOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Alhamdullilah umeandika vizuri sana,na huu ndio ugomvi wa waislamu na masheikh wa BAKWATA,wao hawataki kuibana serikali ili waislamu tupate haki zetu kazi kuongopa tu mara TEC wamezuia mahakama ya kadhi,mara TEC wamezuia OIC huwa najiuliza kwani TEC ndio serikali?Waifute MoU
Waachie masheikh wote waliowafunga Jela (Mamia)
Serikali ilete mahakama ya kadhi
Halafu cha ajabu mambo mabaya ya kuwaweka ndani masheikh, kusaini MoU Vimefanywa wakati wa rais waislamu.
Sijui kwa nini masheikh wetu hawaibani serikali yenye mamlaka ya kuwapa masilahi na badala yake wanakomaa na maaskofu
Kama ukijua BAKWATA hawawezi kudai haki hiziHahaha wakatoliki hoi hakuna janja janja tena. Nyie si mnasema watu wa haki? Haki hiyo irudishwe bungeni wabunge waipitishe au waikatae, hakuna kificho tena.
Hongera kwako mleta mada