PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waifute MoU

Waachie masheikh wote waliowafunga Jela (Mamia)

Serikali ilete mahakama ya kadhi

Halafu cha ajabu mambo mabaya ya kuwaweka ndani masheikh, kusaini MoU Vimefanywa wakati wa rais waislamu.

Sijui kwa nini masheikh wetu hawaibani serikali yenye mamlaka ya kuwapa masilahi na badala yake wanakomaa na maaskofu
Mashikh au viongozi wakiislamu wengine hutumika kama remote sio akili zao na matakua yao, ila hu ndo mda muafaka wa ku-revise mikataba yote ya unyanyasaji wizi ukandamizaji ulio fanyika baina ya serikali ya CCM na kanisa katoliki, wote ni wale wale wezi, wana power greedy
 
Memorandum of Understanding siyo contract, au kwa maana nyingine, siyo binding. Signatory mmoja anaweza kubadili mawazo na kujitoa bila tabu yoyot. Lakini wataalamu wa udini wamekuwa wakiitumia MOU hiyo kwa miaka mingi sana kama vile Makanisa hayo yaliilzaimisha serikali ikubaliane nayo. Najua swala kubwa katika MOU hiyo lilikuwa ni kutaka kuhakikisha kuwa huduma zitolewazo na taasisi za dini hizo zisitolewa kwa kufuata dini ya mtu bali zipatikane kwa watanzania wote. ndilo lilikuwa swala kubwa. Leo mtu ukienda KCMC, utapewa huduma kama mtu yeyote bila kujali dini yako.
 
kufuta TEC haiwezekani
Una ota mkuu, tenganisha emotional zako za Imani na ukweli, hiyo TEC kama inafungiwa asubuhi tena na kibaraka wa CCM ambae ni dini ya RC. usichezee state mkuu.
 
Hamna jambo ambalo State power inashindwa kufanya hapa Africa usijipe matumaini ya bure....kama raia zaida ya 1000 wanauliwa na kila kitu kinakua normal sembusa kufuta usajili wa TEC.
Samuya anaweza kua na wazo Hilo sababu akili hana,ila hatoweza..sio kwa TEC tu,hata kwa uislamu asingeweza,..nchi hii ipo tofauti sana likija suala la dini ya uislamu na ukristo ndio serikali yenyewe...

Fikiria TEC wanavyoenda toe to toe na Samuya,kama ingekua rahisi kushughulika nao,angewafungia mapema,ila juzi analia tu na kulalamika "Matamko 8" ,ila gwajima kafanya press Mbili tu,you know the story...
 
Mkuu hawezi kufunga dhehebu ya RC ila anaweza kuzuia na kufuta umoja wa TEC na viongozi wa TEC kusambalatishwa.
 
Una ota mkuu, tenganisha emotional zako za Imani na ukweli, hiyo TEC kama inafungiwa asubuhi tena na kibaraka wa CCM ambae ni dini ya RC. usichezee state mkuu.
nakwambia hicho kitu hakiwezekani, uyo mtu wenu ataishoa tu kutoa michambo kwenye majukwaa
 
nakwambia hicho kitu hakiwezekani, uyo mtu wenu ataishoa tu kutoa michambo kwenye majukwaa
Mkuu nikuulize swali kufuta TEC kama taasisi na kuua wa Tanzania kama 1000 bila hata maelezo au kutoa pole kipi kinaonekana kua kigumu?
 
Kwani tukienda kutibiwa hospital za kanisa tunatibiwa bure?

Waendeshe hospital zao kwa fedha wanazokusanya wenyewe kwa waumini wao na hela ya wateja wanaopenda kutibiwa.

Sio pesa ya umma alaf huku wanajitekenya haki?

Kama ni haki basi na sisi tulipwe hiyo hela ya miaka 32 kutokea 1992 alafu tuanze sawa.
Mlipwe kwa lipi mlolifanya kwa hyo miaka 32?? Mbona mnapenda sana miteremko? Mashekh wote wa bakwata wanalipwa mishahara. Umeskia kuna mtu analalamikia hilo?
 
Mkuu nikuulize swali kufuta TEC kama taasisi na kuua wa Tanzania kama 1000 bila hata maelezo au kutoa pole kipi kinaonekana kua kigumu?
kufuta TEC ni ngumu,
ndio maama unaona anaishia tu kurusha maneno, hana la kuwafanya kiufupi, na wao hawana la kumnyenyekea
 
Mkuu hawezi kufunga dhehebu ya RC ila anaweza kuzuia na kufuta umoja wa TEC na viongozi wa TEC kusambalatishwa.
Yes inawezekana but sio kwa kauli yake,kwa mpango wa muda mrefu wa kupunguza ushawishi wa TEC,sio Sasa wrong timing
 
Kwani tukienda kutibiwa hospital za kanisa tunatibiwa bure?

Waendeshe hospital zao kwa fedha wanazokusanya wenyewe kwa waumini wao na hela ya wateja wanaopenda kutibiwa.

Sio pesa ya umma alaf huku wanajitekenya haki?

Kama ni haki basi na sisi tulipwe hiyo hela ya miaka 32 kutokea 1992 alafu tuanze sawa.

Anzisheni Shule Na Hospital, Leteni Maombi yenu serikalini, na muwe tayari kutoa huduma kwa wote wakristu na waisilamu na wasio na dini.

Shida ya ninyi ndugu zetu mnawaza tukose woote, badala ya na nyinyi kupiga hatua kama wenzenu, Ndo maana mikoa mingi ambayo asilimia kubwa wapo hawa jamaa iko nyuma kimaendeleo.

Tuamkeni jamaani.
 
Nyinyi mnazo Shule na hospital nchi nzima? Maana najua mna Chuo kikuu kimoja tu Morogoro....Wakivunja hiyo MOU wagonjwa na wanafunzi wote nchi nzima mtaenda kuwafundishia na kuwatibia hapo Morogoro?

Chuo cha Tanesco (cha umma) walipewa bure na mkapa angalau wajisogeze waache kulialia wamejenga madrasa tu na shule chache za sekondari ambazo kimsingi pia ni za watu binafsi!
 
Back
Top Bottom