akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 1,066
- 2,079
Peke yake??Hindu mandal
Peke yake??Hindu mandal
AgakhanPeke yake??
Katoliki watapoteza nini? Maana hizo ni ajira watapoteza watanzania ambao serekali itabidi kuwapa ajira kwingine. Yaani kuna vitu hamuwezi na hamtakaa muweze. Katoliki wameshika pabaya.Hahaha wakatoliki hoi hakuna janja janja tena. Nyie si mnasema watu wa haki? Haki hiyo irudishwe bungeni wabunge waipitishe au waikatae, hakuna kificho tena.
Hongera kwako mleta mada
wewe jamaa ni changamoto sana.Agakhan
Hata ukienda kwenye hospital za serikali mambo ni Yale Yale, kama huna fedha hupati matibabu, bahati mbaya ukifa utalipia gharama za kuhifadhi mwili.Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
Huyo kilaza hajui lolote kuhusu MoU kimsingi serikali ndio inafaidika zaidi na MoU kuliko kanisa.mpaka leo hii hospitali nyingi za wilaya ambazo ni za serikali hazina lolote na rufaa zao wanapeleka hospitali za DDH za catholic
Lakini pesa ile tunao lipia hospitali za serikali zinarudi serikalini kuhudumia wananchi, sasa za bugando zinaenda kanisani wakati huo serikali ndo inalipia mishahara ya wa tumishi wa hospitali.Hata ukienda kwenye hospital za serikali mambo ni Yale Yale, kama huna fedha hupati matibabu, bahati mbaya ukifa utalipia gharama za kuhifadhi mwili.
Kwani ukiwa huna pesa si unapata huduma bure Muhimbili? Basi nenda huko achana na Bugando, Kcmc etc. Au anzisha hospitali zako uwe unatoa huduma bure. Jenga shule zako, ajiri waalimu, halafu utoe elimu bure.Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
Huu ujinga acheni mtaipelekea nchi kurudi nyuma kwenye dark ages, Catholic watoa social services zenye viwango bora kama afya, elimu na baadhi ya miundo mbinu ambayo serikali miaka zaidi ya 60 imeshindwa ku offer!MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Kwani ukiwa huna pesa si unapata huduma bure Muhimbili? Basi nenda huko achana na Bugando, Kcmc etc. Au anzisha hospitali zako uwe unatoa huduma bure. Jenga shule zako, ajiri waalimu, halafu utoe elimu bure.Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
Zanzibar wanatibiwa ktk hospital gani?wewe jamaa ni changamoto sana.
Mimi nikionaga I'd yako Huwa naona kama ni mgonjwa,na sasa naamini wewe ni mgonjwa(ashakum si matusi).
Waislamu wote nchi nzima ndiyo waje kutibiwa Hindu mandal na Aghakhan?
Ndugu,
Nikupe mfano wa jinsi Kanisa lilivyo na nguvu hii nchi na hakuna wa kulifanya chochote...
Kusini kwenye uislamu/waislamu wengi Kuna hospitali giants za kikristo-Roman Catholic kubwa nyingi kuliko za serikali.
1.Saint Benedictine Ndanda ambayo ni kama nchi inayojitegemea/nchi ndani ya nchi) Make Google your friend,Hapa Kuna taasisi nyingi kama Vatican.
2. Saint Walburga Nyangao (Lindi)ambayo ni kubwa kuliko Temeke ila imeharibiwa na upuuzi wa serikali kufanya hybrid na kanisa(ambayo ndiyo concern yako mleta mada). Sasa hivi huduma zao upande wa serikali siyo nzuri sana.
3. Sister Birgita Lindi.
4. Mkomaindo Masasi.
Na hospitali nyingine mdogo mdogo kadhaa. Hiyo ni kusini kwenye uislamu sana.
Hizo hospitali siyo tu zinatibu hadi wasiokuwa wakristo,bali pia zinatibu hadi watu kutoka nje ya nchi kama msumbiji na nchi zingine jirani kama Comoro.
Mnapoandika hizi mada zinazohusu kanisa muwe mnatafakari kwanza.
Hapa ndio huwa mnafanya waisilamu wote kuonekana wajinga. Hata kama kuna MoU, hiyo ndio imezuia waisilamu kuwa na shule na hospitali zao? Waisilamu hebu himizaneni hata muoteshe miti kuzunguka misikiti maana kwa haraka haraka hata ukiangalia mazingira ya makanisa na misikiti ni tofauti. Au hata kuotesha miti kuzunguka nyumba za ibada ni MoU nayo?Mashikh au viongozi wakiislamu wengine hutumika kama remote sio akili zao na matakua yao, ila hu ndo mda muafaka wa ku-revise mikataba yote ya unyanyasaji wizi ukandamizaji ulio fanyika baina ya serikali ya CCM na kanisa katoliki, wote ni wale wale wezi, wana power greedy
Umetoa MAELEZO mazuri, ila kwanini hujasema PESA zinatoka wapi??MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Pesa wanatoa GERMAN.Hiyo MoU ikajadiliwe upya maana imekuwa ni kichaka cha Masheikh kuwashambulia maaskofu badala ya kuishambulia serikali ambayo ndiyo yenye powers.
Tena Maaskofu wakijitoa katika MoU ili kukata pua kuunga wajihi itaepusha shari nyingi.
unajua ni asilimia ngapi ya watumishi wa bugando wanaolipwa na serikali, kwa taarifa yako hawafiki hata asilimia 30 wengi wanalipwa na hospitali,Lakini pesa ile tunao lipia hospitali za serikali zinarudi serikalini kuhudumia wananchi, sasa za bugando zinaenda kanisani wakati huo serikali ndo inalipia mishahara ya wa tumishi wa hospitali.
hawa mburura wataelewa basiImetoa MAELEZO mazuri, ila kwa ini hujasema PESA zinatoka wapi??
Sasapesa za WAJERUMANI mnataka kuwapangia namna ya KUZITOA??
Kitu pekee serikali inatoa ni msamaha wa kodi, VAT pamoja kupeleka watumiahi wake kwenya baadhi ya Hospitali za kanisa.
Na hilo ni JAMBO dogo, tu ambalo kwasasa MNAWEZA KULIFITA hata muda huu.
Nashangaa mnabonga sana kwa mambo madogo.
Kama vipi serikali itoke hadharani ise.e huwa i awapa kiasi gani???
MAMBO YOTE YA DINI YA ONDOSHWE SERIKALINI KUANZIA MAVAZI ...UJENZI WA MAKANISA AU MISIKITI ...MAVAZI YA DINI KWENYE SHULE ZA SERIKALI ...VIAPO VYA WABUNGE NA VIONGOZI , WAAPE KWA KATIBA NA SHERIA NA HAKI SIYO DINI ZAO .....MASOMO YA DINI YASIWEPO KWENYE SHULE ZA SERIKALI WALA ZA BINAFSI ...SHULE ZA DINI ZIWE NI ZA DINI ...HIVYO WANAFUNZI WAKITOKA SHULE , NDIYO WAKITAKA KWENDA KWENYE SHULE ZA DINI SAWA ...WAISLAMU WANA MADRASA WAKRISTO WANA SUNDAY SCHOOL..hivyo dini zifundishwe huko ...KUHUSU MKATABA WA SERIKALI NA KANISA , HUO NI KAMA BAKWATA VYOTE VIFUTWE ...KWA MAANA HATA BAKWATA INAKULA MAMILIONI YA PESA ZA SERIKALI KAMA ILIVYO KWA MAKANISA ...HIVYO UNAPO ZUNGUMZIA MIKATABA UKUMBUKE NA BAKWATA PIA Malaria 2...BILA KUSAHAU TENDA NA MIKATABA INAYO TOLEWA KIDINI MFANO DP WORLD. adriz Al-mukheef FaizaFoxy Covax JaginaMOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).