PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).

Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.

Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.

KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge

Basi MOU inayohusu:

mishahara ya walimu/wauguzi,

uendeshaji wa hospitali/shule za dini,

matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge

SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.

NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Kwa Jimbo la Dar es salaam pekee mwaka 2025 kanisa limeingiza bil 5 kwa ajili ya mavuno.
Manake ni Nini?
Manake jumuiya ndogondogo zimejichanga na kufilosha kiasi hicho kinachotoka mara moja kwa mwaka!
Tafsiri yake ni Nini?
Ukichukua michango ya waumini wote misikitini nchi nzima haifikii robo ya michango hii ya jumuiya za Dar es salaam peke yake!
Hapo hujaongelea sadaka za misa katikati ya wiki na jumapili pamoja na sadaka za maendeleo!
Bajeti ya Jimbo Kuu la Dar es salaam pekee ni zaidi ya trillion tatu bila misaada kutoka nje!
Hawa watu hawaitegemei serikali kujiendesha bali serikali inawategemea wao!
Mimi ningependa hii MoU ivunjwe tuone panapovuja
 
Hilo lazima lifanyiwe kazi hasa katika kipindi hiki ambacho hatutarajii mikopo kutoka nje, hizo hospital zao zijiendeshe zenyewe hayo makubaliano yanayotekelezwa kwa sasa ni wizi wa pesa za umma.
Serikali ya chama gani ilipitisha hayo makubaliano?
BAKWATA nao wadai haki
 
Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
katolik waliibaj kwa mfano ?
 
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).

Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.

Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.

KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge

Basi MOU inayohusu:

mishahara ya walimu/wauguzi,

uendeshaji wa hospitali/shule za dini,

matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge

SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.

NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Kama wao wameweza kuishawishi serikali, sisi waislamu tumeshindwa nini?

Hebu tuache haya malalamiko aisee! tufanye mambo ya msingi ambayo yataonekana ni msaada kwa jamii kisha na sisi tuishawishi serikali tuone kama tutakwama.

Waislam tuache malalamiko na tuache unafiki.
 
Una ota mkuu, tenganisha emotional zako za Imani na ukweli, hiyo TEC kama inafungiwa asubuhi tena na kibaraka wa CCM ambae ni dini ya RC. usichezee state mkuu.
Ukiachana na hayo mambo ya TEC
Unaamini state haiwezi kushindwa? Kipi kilifanya state kushindwa na kuanguka state za misri, Tunisia, Mali,Nepal, Madagascar na nchi zingine duniani?
 
Kama wao wameweza kuishawishi serikali, sisi waislamu tumeshindwa nini?

Hebu tuache haya malalamiko aisee! tufanye mambo ya msingi ambayo yataonekana ni msaada kwa jamii kisha na sisi tuishawishi serikali tuone kama tutakwama.

Waislam tuache malalamiko na tuache unafiki.
Hili ndio swali nimetoka kuuliza. Kwa nini wasiende kwa raisi sasa waombe hayo yote? Wamshawishi awapatie, TEC hawana uwezo wa kumzuia raisi yoyote kutaka kufanya jambo alilopanga
 
Mikoa ya kusini yenye waisalmu wengi waliandamana kudai gesi iwanufaishe Kikwete akawapelekea Jeshi likapiga watu sana

Kule Zanzibar kwenye waislamu wengi walichagua rais wao mwaka 2015 Kikwete akawapelekea Jecha

Kikwete akawasweka ndani masheikh wa uamsho kwa kesi ya mchongo kwa miaka kibao

Sheikh Ponda akanusurika kuuawa kwa risasi kipindi cha utawala wa Kikwete.

Kikwete alipeleka jeshi Msikiti wa Idrisa kariakoo kuwadhibiti Waislamu waliotaka kuandamana

Mamia ya masheikh wametapakaa Jela tangu kipindi cha Kikwete.

Halafu eti cha Ajabu, Masheikh haohao wa leo wanadhani eti rais akiwa Muislamu ni kwa maslahi ya uislamu, HAKUNA KITU KAMA HICHO, WANASIASA WANAANGALIA POWER KWANZA
Hii dhana ndio huwatesa wengi, raisi akiwa muislamu hakuna faida yoyote kwa muislamu, wanaofaidi ni wale walio kwenye cycle yake tu tena unakuta wengi ni wagalatia

Hata raisi akiwa mkristo hakuna faida yoyote kwa mkristo, wanaofaidi ni walio kwenye cycle zao tu. Magufuli alikua raisi, je mkristo aliyepo tunduru alifaidika na nini?
Samia sasa hivi ni raisi, muislamu aliyepo muleba anafaidika na kitu gani?

Masheikh sijui hili hawalielewi. Wanaofaidi ni walio kwenye cyle tu
 
Kama wao wameweza kuishawishi serikali, sisi waislamu tumeshindwa nini?

Hebu tuache haya malalamiko aisee! tufanye mambo ya msingi ambayo yataonekana ni msaada kwa jamii kisha na sisi tuishawishi serikali tuone kama tutakwama.

Waislam tuache malalamiko na tuache unafiki.
Wewe itakuwa sio mwislamu, mwislamu anayejielewa hawezi kuongea pumba kama uliongea wewe.

Kwani MoU ni Wakristo walioishawishi serikali au ni Nyerere alikabidhisha serikali kwa kanisa, licha 1992 ulikuwa ni utawala wa Mwinyi ila Rais wa kwanza alikuwa na nguvu ya kuweza kufanya hivyo.

Waislamu walililamikia jambo hili na wao wapate mgao katika kuendeshea shughuli zao za kijamii mbona hawakupewa.

Na sio hivyo haki nyingi waislamu wamezipambania zinazowahusu wao kama mahamaka ya kadhi, kujiunga na OIC n.k Cha kuudhi zaidi hao hao TEC na gwajima ndio wametia kidodomo tusipate haki hiyo.

Utasema nini hapa?
Hii ni nchi yetu sote sio ya kwao Pekee yao.

Waislamu walivyokuwa wakipambania uhuru wa nchi hii wao walikuwa wamewakumbatia mabwana zao wakoloni alafu nchi imepatikana waislamu wakamuweka mbele Nyerere alafu akawageuka na wengine akawatia ndani.

Wenye uchungu na nchi hii ni waislamu .

Harakati zote za kupigania haki ya kweli ni Waislamu kuanzia vita vya maji maji waliopigania uhuru wao chini ya mkoloni wa kijerumani ni waislamu na uhuru wa 1961 ni waislamu kwa asilimia 98%

Mleta mada ameleta topic ya maana kabisa.
 
Swali lake, kwa nn msipambane na serikali muishawishi mpate hizo haki zenu? TEC wanazuia vipi Samia kuwapa hizo haki?
 
Hii dhana ndio huwatesa wengi, raisi akiwa muislamu hakuna faida yoyote kwa muislamu, wanaofaidi ni wale walio kwenye cycle yake tu tena unakuta wengi ni wagalatia

Hata raisi akiwa mkristo hakuna faida yoyote kwa mkristo, wanaofaidi ni walio kwenye cycle zao tu. Magufuli alikua raisi, je mkristo aliyepo tunduru alifaidika na nini?
Samia sasa hivi ni raisi, muislamu aliyepo muleba anafaidika na kitu gani?

Masheikh sijui hili hawalielewi. Wanaofaidi ni walio kwenye cyle tu
Mtu anakwambia DP WORLD wanapingwa kwasababu ni Waarabu, Waislamu.

Mtu huyo unaona ni TIMAMU????

DP WORLD wamekuja kuchuma pesa za wajinga, yeye anaona sawa utafikiri ananufaika na chochote kama Muislam.
 
Mtu anakwambia DP WORLD wanapingwa kwasababu ni Waarabu, Waislamu.

Mtu huyo unaona ni TIMAMU.

DP WORLD wamekuja kuchuma pesa za wajinga, yeye anaona sawa utafikiri ananufaika na chochote.
Hawa watu ubongo wao una shida, wanasema mbona wazungu hawasemwi sijui wazungu gani hawasemwi ikiwa kila siku watu wanalia na mikataba ya madini na gesi, wakati wa magu kukawa hadi na msemo wa mabeberu
 
Swali lake, kwa nn msipambane na serikali muishawishi mpate hizo haki zenu? TEC wanazuia vipi Samia kuwapa hizo haki?
Kama kuipambania tuanze sasa hivi, kuna viashiria vya kuonesha TEC sasa nguvu zao juu ya kuielekeza serikali nini Cha kufanya ni kama vile nguvu zao zimepungua na hili linajidhihirisha juu ya sakata la bandari ya Dare salaam na kwa hotuba ya Rais ya jana.

Na ndio maana swala la kudai haki ni mchakato Wala sio kudai kwa kuvunja amani.

Naiona bishara iliyonjema kwa taifa letu baada ya kuwadhibiti hawa mashetani wa TEC.

Nyinyi TEC sio raia daraja la kwanza hii ni nchi yetu sote.
 
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).

Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.

Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.

KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge

Basi MOU inayohusu:

mishahara ya walimu/wauguzi,

uendeshaji wa hospitali/shule za dini,

matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge

SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.

NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI

serikali fake itaondoka TEC itakuwepo ina nguvu kuliko hii serikali fake na bunge fake
 
Kama kuipambania tuanze sasa hivi, kuna viashiria vya kuonesha TEC sasa nguvu zao juu ya kuielekeza serikali nini Cha kufanya ni kama vile nguvu zao zimepungua na hili linajidhihirisha juu ya sakata la bandari ya Dare salaam na kwa hotuba ya Rais ya jana.

DP WORLD wanasaidia nini WAISLUM?

Wenye AKILI walipinga DP WORLD kutokana na MKATABA wao, sasa nyie mnafurahia DP WORLD kwasababu ni WAARABU?

Sbyoe ni kitu MUHIMU sana.
Na ndio maana swala la kudai haki ni mchakato Wala sio kudai kwa kuvunja amani.

Naiona bishara iliyonjema kwa taifa letu baada ya kuwadhibiti hawa mashetani wa TEC.

Nyinyi TEC sio raia daraja la kwanza hii ni nchi yetu sote.
Kwahiyo suala la KUACHA ,UTEKAJI, MAUAJI, ni mchakato wa Muda gani???

Samia kakosana na WANANCHI, na KAANZA KUHUBIRI UDINI.

Kajibanza JESHINI, akae akijua hata SISI WANAJESHI TUNA DINI ZETU.

Sisemi sana.
 
Hili ndio swali nimetoka kuuliza. Kwa nini wasiende kwa raisi sasa waombe hayo yote? Wamshawishi awapatie, TEC hawana uwezo wa kumzuia raisi yoyote kutaka kufanya jambo alilopanga
Bakwata huwa inatufelisha sana!

Imepewa mamlaka makubwa sana na serikali kuhusu mambo ya waislamu kwa ujumla ndani ya hii nchi.

Na Bakwata ni zana inayotumiwa na serikali dhidi ya waislamu. Kama Mufti analindwa, analipwa mshahara na huduma zote muhimu anapatiwa na seerikali unategemea nini? Usafiri wa
Wewe itakuwa sio mwislamu, mwislamu anayejielewa hawezi kuongea pumba kama uliongea wewe.

Kwani MoU ni Wakristo walioishawishi serikali au ni Nyerere alikabidhisha serikali kwa kanisa, licha 1992 ulikuwa ni utawala wa Mwinyi ila Rais wa kwanza alikuwa na nguvu ya kuweza kufanya hivyo.

Waislamu walililamikia jambo hili na wao wapate mgao katika kuendeshea shughuli zao za kijamii mbona hawakupewa.

Na sio hivyo haki nyingi waislamu wamezipambania zinazowahusu wao kama mahamaka ya kadhi, kujiunga na OIC n.k Cha kuudhi zaidi hao hao TEC na gwajima ndio wametia kidodomo tusipate haki hiyo.

Utasema nini hapa?
Hii ni nchi yetu sote sio ya kwao Pekee yao.

Waislamu walivyokuwa wakipambania uhuru wa nchi hii wao walikuwa wamewakumbatia mabwana zao wakoloni alafu nchi imepatikana waislamu wakamuweka mbele Nyerere alafu akawageuka na wengine akawatia ndani.

Wenye uchungu na nchi hii ni waislamu .

Harakati zote za kupigania haki ya kweli ni Waislamu kuanzia vita vya maji maji waliopigania uhuru wao chini ya mkoloni wa kijerumani ni waislamu na uhuru wa 1961 ni waislamu kwa asilimia 98%

Mleta mada ameleta topic ya maana kabisa.
Umesoma dini?

Unafahamu maudhui au uzito wa kumtoa muislamu mwenzako kwenyw uislamu?
 
Kwani MoU ni Wakristo walioishawishi serikali au ni Nyerere alikabidhisha serikali kwa kanisa, licha 1992 ulikuwa ni utawala wa Mwinyi ila Rais wa kwanza alikuwa na nguvu ya kuweza kufanya hivyo.

Waislamu walililamikia jambo hili na wao wapate mgao katika kuendeshea shughuli zao za kijamii mbona hawakupewa.

Na sio hivyo haki nyingi waislamu wamezipambania zinazowahusu wao kama mahamaka ya kadhi, kujiunga na OIC n.k Cha kuudhi zaidi hao hao TEC na gwajima ndio wametia kidodomo tusipate haki hiyo.
Kuhusu haya mengine Missile of the Nation ameshayajibu/kuyaelezea.
 
Bakwata huwa inatufelisha sana!

Imepewa mamlaka makubwa sana na serikali kuhusu mambo ya waislamu kwa ujumla ndani ya hii nchi.
Ukitoa Kutangaza SIKYKUU, ni mamlaka gani mengine ya LAZIMA kutika BAKWATA lazima myafuate?
Na Bakwata ni zana inayotumiwa na serikali dhidi ya waislamu. Kama Mufti analindwa, analipwa mshahara na huduma zote muhimu anapatiwa na seerikali unategemea nini? Usafiri wa

Kwanini wakipuyanga huwa mnakubaliana nao??
Umesoma dini?

Unafahamu maudhui au uzito wa kumtoa muislamu mwenzako kwenyw uislamu?
 
Kama kuipambania tuanze sasa hivi, kuna viashiria vya kuonesha TEC sasa nguvu zao juu ya kuielekeza serikali nini Cha kufanya ni kama vile nguvu zao zimepungua na hili linajidhihirisha juu ya sakata la bandari ya Dare salaam na kwa hotuba ya Rais ya jana.

Na ndio maana swala la kudai haki ni mchakato Wala sio kudai kwa kuvunja amani.

Naiona bishara iliyonjema kwa taifa letu baada ya kuwadhibiti hawa mashetani wa TEC.

Nyinyi TEC sio raia daraja la kwanza hii ni nchi yetu sote.
Unamaanisha TEC walikua na nguvu kuliko serikali ya kikwete?

Mm sio TEC, alafu hii kusema sio daraja la kwanza au la pili ni hofu tu mliyo nayo hasa watu wanaojihisi unyonge. Unafikiri GSM au bakhressa anaweza kutoa hiyo kauli?
 
H
Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
Chuki zisitufanye tukosoe kila kitu hadi kizuri. Tofauti na Zanzibar kuna hospital gani inatoa tiba bure hata kama serikali inamkono wake? Hizo za serikali unakufa kwenye benchi kama Huna hela ndio iwe bugando
 
Back
Top Bottom