Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,818
- 62,030
huwez ukainana serikali wakati unaendekeza njaa,
waislamu wameuwawa mo29 lakini viongozi wao hata pole hakuna yaani! dah hatari
Mikoa ya kusini yenye waisalmu wengi waliandamana kudai gesi iwanufaishe Kikwete akawapelekea Jeshi likapiga watu sana
Kule Zanzibar kwenye waislamu wengi walichagua rais wao mwaka 2015 Kikwete akawapelekea Jecha
Kikwete akawasweka ndani masheikh wa uamsho kwa kesi ya mchongo kwa miaka kibao
Sheikh Ponda akanusurika kuuawa kwa risasi kipindi cha utawala wa Kikwete.
Kikwete alipeleka jeshi Msikiti wa Idrisa kariakoo kuwadhibiti Waislamu waliotaka kuandamana
Mamia ya masheikh wametapakaa Jela tangu kipindi cha Kikwete.
Halafu eti cha Ajabu, Masheikh haohao wa leo wanadhani eti rais akiwa Muislamu ni kwa maslahi ya uislamu, HAKUNA KITU KAMA HICHO, WANASIASA WANAANGALIA POWER KWANZA