MIANYA ipi??
Kulikuwa na WIZI Bandarini. Na bado unaamini kuna SERIKALI??
Sasa kama BANDARINI watu wanaiba, hao DP WORLD wameletwa na Allah kuja kuzuia WIZI??
Hebu PELEKENI watoto Wenu SHULE wasiwe na AKILI kama ZENU
Kwani wewe ulikuwa hujui kuwa walikuwa wanakwepa Kodi kwa kuingiza bidhaa zao bure kwa kisingizio Cha dini?
Nyie wakristo munajigamba sana kuwa sijui mna PhD , sijui nini?
Sasa tuambieni hizo PhD Zenu mmeleta kipi Cha maana katika nchi hii?
Kama sio ufisadi na wizi.
Et Kodi zetu sote zikanufaishe kanisa Pekee nani atakubali? Mtazitapika tu one day.
Waliyoishikia amani ya nchi hii ni Waislamu ,huu upole wetu ndio mtuone raia wa daraja la pili?
Sasa watu wamesoma elimu ya dini na elimu ya Dunia, kote Wana maarifa maridhawa.
Nani alikuwa hajui kwamba waislamu walikuwa wakifelishwa katika elimu ili tu wasipate nafasi za kuweza kuongoza nchi.
Mbona sasa hivi kwa kiasi kikubwa jambo hilo limepungua?
Nani asiyejua katika teuzi za serikali hapo zamani wakristo tu walikuwa wakiwekana, sasa hivi pia jambo hilo limepungua.
Kwahiyo tulieni dawa iwaingie mambo huenda kwa zamu, tunajua nyinyi ni ndugu zetu katika utaifa ila mna roho mbaya na wabinfsi linapofika jambo lenye maslahi na waislamu.
Hizo PHD uchwara za kupiga amapiano makanisani sisi hazitushtui.
Nani asiyejua wakati wa ukoloni ili upate kusoma shule za waliowaletea ukristo sharti ni lazima uritadi uache dini yako uwe mkristo ndio upate kusoma elimu ya ki secular? Wazee wetu wengi walikataa kutokana na sharti hili la kijinga.
Kiufupi msidhani waislamu ni wakosefu wa maarifa , tuna misingi madhubuti ya dini yetu kuliko nyinyi makafiri.