Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,528
- 18,619
Hindu mandal siyo ya waislam!Hindu mandal
Hindu mandal siyo ya waislam!Hindu mandal
Peleka mwanao shule, asije kuwa na akili kama hiziKwani wewe ulikuwa hujui kuwa walikuwa wanakwepa Kodi kwa kuingiza bidhaa zao bure kwa kisingizio Cha dini?
Nyie wakristo munajigamba sana kuwa sijui mna PhD , sijui nini?
Sasa tuambieni hizo PhD Zenu mmeleta kipi Cha maana katika nchi hii?
Kama sio ufisadi na wizi.
Et Kodi zetu sote zikanufaishe kanisa Pekee nani atakubali? Mtazitapika tu one day.
Waliyoishikia amani ya nchi hii ni Waislamu ,huu upole wetu ndio mtuone raia wa daraja la pili?
Sasa watu wamesoma elimu ya dini na elimu ya Dunia, kote Wana maarifa maridhawa.
Nani alikuwa hajui kwamba waislamu walikuwa wakifelishwa katika elimu ili tu wasipate nafasi za kuweza kuongoza nchi.
Mbona sasa hivi kwa kiasi kikubwa jambo hilo limepungua?
Nani asiyejua katika teuzi za serikali hapo zamani wakristo tu walikuwa wakiwekana, sasa hivi pia jambo hilo limepungua.
Kwahiyo tulieni dawa iwaingie mambo huenda kwa zamu, tunajua nyinyi ni ndugu zetu katika utaifa ila mna roho mbaya na wabinfsi linapofika jambo lenye maslahi na waislamu.
Hizo PHD uchwara za kupiga amapiano makanisani sisi hazitushtui.
Nani asiyejua wakati wa ukoloni ili upate kusoma shule za waliowaletea ukristo sharti ni lazima uritadi uache dini yako uwe mkristo ndio upate kusoma elimu ya ki secular? Wazee wetu wengi walikataa kutokana na sharti hili la kijinga.
Kiufupi msidhani waislamu ni wakosefu wa maarifa , tuna misingi madhubuti ya dini yetu kuliko nyinyi makafiri.
Hicho chuo chenyewe cha moro sio chao, ni mali ya wakatoliki. hawa waislamu walikuaga na majengo yao pale iringa mjini ambapo leo hii pana chuo cha wakatoliki (RUCO). Sasa wakatoliki waliyahitaji hayo majengo yaliyopo hapo iringa kwa hyo wakawajengea waislam hcho chuo cha moro as an exchange.Nyinyi mnazo Shule na hospital nchi nzima? Maana najua mna Chuo kikuu kimoja tu Morogoro....Wakivunja hiyo MOU wagonjwa na wanafunzi wote nchi nzima mtaenda kuwafundishia na kuwatibia hapo Morogoro?
Hapo Moro kulikuwa eneo la TANESCO.Hicho chuo chenyewe cha moro sio chao, ni mali ya wakatoliki. hawa waislamu walikuaga na majengo yao pale iringa mjini ambapo leo hii pana chuo cha wakatoliki (RUCO). Sasa wakatoliki waliyahitaji hayo majengo yaliyopo hapo iringa kwa hyo wakawajengea waislam hcho chuo cha moro as an exchange.
Kiufupi Serekali inasaidiwa na Makanisa kutoa huduma ya afya. Wanachofanya ni kusaidia ili huduma iwe na nafuu na kwa watu wote.Peleka mwanao shule, asije kuwa na akili kama hizi
Hapana nyerere ndiye aliyepunguza makucha ya TECNyerere ndie alikabidhisha serikali kwa TEC
..suala hili natamani aulizwe msemaji wa serikali ili alitolee ufafanuzi.
..nimemsikia Father Kitima akisema kwamba kupitia MOU Makanisa hayapokei fedha toka serikalini ya Tanzania, bali yanapokea fedha zinazotoka ktk serikali za nje ya nchi, haswa Ujerumani, kwenda kwa taasisi za Kikristo za Tanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba, kuna nchi za magharibi ambazo zina utaratibu wa kutoa fedha kwa mashirika ya Kikristo ya Tanzania, lakini nchi hizo zingependa fedha hizo zipitie kwa serikali ya Tanzania.
..majuzi nimesikia Sheikh Mkuu Zubeir akiripoti kwamba ametoka kusaini MOU kati ya Bakwata na serikali ya Saudia Arabia.
Sio lazima iwe ya waislamHindu mandal siyo ya waislam!
Inaonekana huelewi hiyo MoU, ngoja nikuelekeze kidogo, inahusu makanisa yote na taasisi zote za kidini sio wakatoliki peke yao, kwa hiyo hata waislam wamo wako covered humo, vitu anavyoweza kufanya mkatoliki ndani ya hiyo MoU na waislam nao wanaweza 100% bila kubaguliwa, hope umenielewa au nikuchambulie nini kiko covered na hiyo MoU?Kwani waislamu hawakulilalamikia hili mbona hawakupewa?
Mkuu usiongee kisasa waislamu tumeamka sasa!!
Mtasema kila mtu apambane kutafuta haki zake
Mbona waislamu tunapofika kuzipambania haki zetu zinazotuhusu sisi mnazipinga na kutia kidomo domo mpaka mhakikishe kuwa haki hiyo hatuipati na mifano mingi ipo.
Kiufupi kama mleta mada hapo juu alivyosema tutashikilia mpaka hii Momerandum of Understanding (MoU) irudishwe bungeni iwe kihalali kabisa au wote tupate.
Kile mlichokula tulipwe alafu tuanze sawa kabisa.
Maana tukija kwenye uiano wa Wingi Waislamu tupo wengi katika nchi kuliko nyinyi .
Uthibitisho ni sensa kabla ya uhuru na baada ya uhuru ile ya mwaka 1967.
Kama hilo unalipinga tuhesabiwe kwa haki.
Uislamu umeingia katika nchi hii tokea Karne ya 7 ukristo Karne ya 15 mwaka 1498 msafara wa wakatoliki wa kireno baada ya msafara wa Vasco da gama akataka kuwaritadisha Waislamu kwa nguvu lakini alishindwa soma history vizuri ya ujio wa wakoloni katika mwambao wa Africa ya mashariki.
Mpaka alipokuja mkoloni wa kijerumani na kiingereza alipokuja na siasa za kuanzisha shule za misheni na huduma za kiafya kwa sharti lazima uwe mkristo hapo ndipo akaweza kuupenyeza ukristo kwa kutumia mbinu hiyo.
Historia ipo na imedhibitiwa.
Kanisa katoliki ni wasababishi wa vurugu maana wao ndio wanakomba rasilimali za nchi hii kuwapelekea mabeberu kwa sababu ni mabwana zao.
Kiufupi Serekali inasaidiwa na Makanisa kutoa huduma ya afya. Wanachofanya ni kusaidia ili huduma iwe na nafuu na kwa watu wote.
Na wanaomba kila siku MOU iendelee ili wananchi wote wapate huduma bila upendeleo.
Mwenye akili timamu atashukuru kanisa kwa kukubali MOU ili huduma ziwe kwa wote
Kiufupi Serekali inasaidiwa na Makanisa kutoa huduma ya afya. Wanachofanya ni kusaidia ili huduma iwe na nafuu na kwa watu wote.
Na wanaomba kila siku MOU iendelee ili wananchi wote wapate huduma bila upendeleo.
Mwenye akili timamu atashukuru kanisa kwa kukubali MOU ili huduma ziwe kwa wote