jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,737
- 2,806
Kwa nini tunaendekeza mada hizi za udini? Serikali iingilie kati aisee. Kuhojiwa kuhusu DPW, kusifunikwe na kuleta mijadala ya kidini. Hapa mnajenga bomu na hamtaweza kulizima likilipuka. Hakuna awamu ambayo imeendekeza mambo haya ya udini kama hii.