kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,646
- 19,042
Nauza radi kwa bei poa. Wahi kabla msimu wa mvua haujaisha.
ya 500 itatosha....?
Nauza radi kwa bei poa. Wahi kabla msimu wa mvua haujaisha.
hiyo kubwa mno kwani hakuna ndogo yake anayoweza kuificha hata kwenye wallet!View attachment 151952Samahani bro unajua kutumia hii kitu?
Nauza radi kwa bei poa. Wahi kabla msimu wa mvua haujaisha.
Naomba nikupe ushauri wa kitalaam kwa kupata majibu ya maswali haya:-
1. Baba aliuwawa lini?
2. Mashahidi wangapi wapo upande wenu?
3. Umepata kujua kwa kusoma sio kuambiwa maelezo ya mashahidi wenu?
4. Kwa utafti wako/wenu, kwa nini mzee aliuwawa na watu hao wabaya?
Majibu ya maswali haya, yatasaidia kupata suluhisho la tatizo lako
Hii biashara ya kumwachia Mungu kufanya majukumu yaliyo ndani ya uwezo wetu yamesababisha tuchelewe sana kujikommboa...Muhimu atumie tu hii
View attachment 151955
Salam wanaJF! Ni mwaka mmoja tangu baba yangu auawe kikatili,lilikuwa tukio baya,lililoniumiza sana. Kilichoniumiza sana sio kifo chake, kwa kuwa najua fika kuwa kila nafsi itaonja mauti,kilichoniumviza ni swali la kwanini wamuue kikatili kiasi kile? Namshukuru Mungu nilifarijika kuona wauaji wakikamatwa na kuwekwa rumande. Katika hali ya kushangaza wauwaji wale wameachiwa jana ikiwa ni siku chache kabla ya "deathdate" ya baba yangu mpendwa! Wauaji na familia zao wamefanya karamu kubwa ya ushindi! Mpaka sasa nashindwa kuelewa wameachiwa vipi ili hali kuna mashahidi walioshuhudia tukio hilo? Wameachiwa vipi wakati kesi haijasilizwa hata siku moja? Je,wameachiwa kwa dhamana? Tangu lina kesi ya mauaji ikawa na dhamana? Kuachiwa kwao kumeamsha uchungu wa msiba upya, mama yangu na wadogo zangu wanalia sana.Nina uchungu mwingi sana kiasi cha kuona kuwa napaswa kulipa kisasi kwa mkono wangu mwenyewe,kwasababu nilitegemea sheria itachukua mkondo wake lakini nimedhihirisha kuwa HAKUNA HAKI DUNIANI,nikisema nimwachie Mungu naona kwa MUNGU MBALI! Wadau nishaurini cha kufanya,kwani roho ya kisasi imeshanivaa.
UPDATES:
Asanteni sana wadau,kwa kunifariji/kunitia moyo na kunishauri. Kuna watu wamehoji source ya mauaji,ni kwamba kulitokea mgogoro wa ardhi kati ya mzee na wauaji,mgogoro uliopelekea kwenda baraza la ardhi la kata,hukumu iliwapa ushindi wauaji.Mzee akakata rufaa baraza la ardhi la wilaya likampa ushindi mzee. Wauaji wakakata rufaa baraza la ardhi mkoa,huko nako mzee akashinda kesi!
NOTE: nawaita wauaji kwakua,mdogo wangu alishuhudia tukio la mauaji na aliwaona.