upendo mkinga
Member
- Mar 19, 2014
- 13
- 2
Inauma sana il a mwachie mungu.sisi sote tu wasafiri.haina haja ya kisasi maana hakuna jinsi ya kurudisha uhai wa Mzee. Mungu akupe nguvu
Jesus Christ....Nauza radi kwa bei poa. Wahi kabla msimu wa mvua haujaisha.
Salam wanaJF! Ni mwaka mmoja tangu baba yangu auawe kikatili,lilikuwa tukio baya,lililoniumiza sana. Kilichoniumiza sana sio kifo chake, kwa kuwa najua fika kuwa kila nafsi itaonja mauti,kilichoniumiza ni swali la kwanini wamuue kikatili kiasi kile? Namshukuru Mungu nilifarijika kuona wauaji wakikamatwa na kuwekwa rumande. Katika hali ya kushangaza wauwaji wale wameachiwa jana ikiwa ni siku chache kabla ya "deathdate" ya baba yangu mpendwa! Wauaji na familia zao wamefanya karamu kubwa ya ushindi! Mpaka sasa nashindwa kuelewa wameachiwa vipi ili hali kuna mashahidi walioshuhudia tukio hilo? Wameachiwa vipi wakati kesi haijasilizwa hata siku moja? Je,wameachiwa kwa dhamana? Tangu lina kesi ya mauaji ikawa na dhamana? Kuachiwa kwao kumeamsha uchungu wa msiba upya, mama yangu na wadogo zangu wanalia sana.Nina uchungu mwingi sana kiasi cha kuona kuwa napaswa kulipa kisasi kwa mkono wangu mwenyewe,kwasababu nilitegemea sheria itachukua mkondo wake lakini nimedhihirisha kuwa HAKUNA HAKI DUNIANI,nikisema nimwachie Mungu naona kwa MUNGU MBALI! Wadau nishaurini cha kufanya,kwani roho ya kisasi imeshanivaa.
Nauza radi kwa bei poa. Wahi kabla msimu wa mvua haujaisha.

Achukue huu ushauri(ujumbe mzito sana)" WHEN A CHILD PURSUE THAT THING THAT KILLED HIS FATHER, THAT THING THAT KILLED HIS FATHER WILL HIM". Kuwa makini sana kabla hujaamua kufanya hicho unacho taka kukifanya.
Kuhusu wao kufurahia ushindi walio upata wala usijali sana,. coz the wise men say that " THE VICTORY OF EVIL OVER GOOD IS JUTS FOR WHILE ".
Just do your thing, achana nao, Mungu atawalipa.