Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Nimeshangaa sana! Inaonekana Serikali ina maslahi na Mwamposa au hili tukio.
 
Kama waliwaona vibaka wakiingia kwenye huo mkutano kwanini waliwaacha waingie?

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na RPC wote watumbuliwe kwa uzembe, coz wamekiri wao ni wazembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,
Sabaya yuko sahihi.Manabii na Mitume wanavuna wasichopanda.Badala ya kuwaelekeza watu kwa Bwana Yesu wanawaelekeza kwenye mafuta a.k.a nguvu za giza.Manabii na Mitume ni waganga wa kienyeji,that is the bottom line.
 
Hili tukio ni kwel sema nyie wanadam wa mtandao mnasikiliza mambo na kulipuka pasipi kutafuta ukwel,ushahdi unaonyesha kweli pale gettin walianza kufanya fujo na ndicho kilichosababisha,ni kwel mwamposa ana makosa yake ila hao walioingia na kuchocjea fujo wakat wenzao wanapata mafuta ya utakaso ndio walioleta shid.wapendwa huwa hawakanyagan😄
 
Hili tukio ni kwel sema nyie wanadam wa mtandao mnasikiliza mambo na kulipuka pasipi kutafuta ukwel,ushahdi unaonyesha kweli pale gettin walianza kufanya fujo na ndicho kilichosababisha,ni kwel mwamposa ana makosa yake ila hao walioingia na kuchocjea fujo wakat wenzao wanapata mafuta ya utakaso ndio walioleta shid.wapendwa huwa hawakanyagan
Kwanini Mungu wao mgawa upako hakuwaokoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom