Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

ginyisi

Senior Member
Apr 6, 2023
147
261
Mtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake.

1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana watoto na pengine hupelekea kukabwa usiku kwa waenda kwa miguu.

2. Kutokukemea dhambi, mimi ni mhudhuriaje mkubwa wa ibada kwa Mwamposa lakini skumbuk ni lini kakemea dhambi, ingawaje watu wanaenda pale wa kila aina, makahaba, malaya, wezi, mashoga n.k. Lakini mtumishi anadeal sana na kutoa baraka na upako pasipo kuhubiri amani,upendo,na maadili mema ukizingatia kuhusu jinamizi hili la ushoga, mtumishi ongelea ata hili tu kwa ufupi kanisa la mwamposa limekuwa kichaka cha watenda maovu, wanafurahia kutoongelewa. labda anahofia waumini kukimbia kanisa!?

3. Sadaka ni nyingi mmezipa majina mengi afu mnatoa baraka/upako kulingana na kipato cha mtu...yaan wewe mwenye elfu 5 unatofautishiwa baraka na yule mwenye kutoa elfu 50. Jambo hili linawafanya walio na kipato cha chini kujihisi wanyonge au kujihisi kupungukiwa na kitu..jambo hili binafsi linanikera na mnawapa adui zenu nafasi ya kupondea huduma hii.

4. Ukali(kufokewa).. mtumishi amekosa kauli ya kuwarekebisha watenda kazi wake pale wanapokosea amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwafokea mbele za watu na mbele ya kamera kama mtumishi unapaswa kuwa mtaratibu kukemea kwa hekima kwa kutambua wengine ni watu wazima wana familia zao...utasikia toa hyu apa wekeni mtu sahihi pale...walinzi,washika maiki, camera man, wanafanya kazi kwa hofu kubwa sanaaa..waondolee hofu wafanyakazi wako!

Ni hayo tu niliyobaini mimi..naomba yeyote mwenye uwezo wa kufikisha haya ayafikishe kwa namna yyte ilee.... lakini pamojaa na hayo nimepokea muujiza kupitia ibada yake mungu ambariki na ajirekebishe ili huduma iwe rafik kwa wengi! Ahsanten na samahani kwa uandishi mbovu.
 
He! Kulikoni? Kule geor davie huku mwamposa. Wanakera nini hawa mitume na manabii?! Halafu wote wana tv na redio ongeza na mitandao ya kijamii ila sijaona magazeti yao. Wale hawajali muda wa waumini wao kwa kuwa wako live masaa yote, labda muda wa kula wanaondoka madhabahuni.

Waumini nao itabidi waende kwa timing, vinginevyo watakereka kwa kupoteza muda mwingi wakisuburia hitimisho. Kuhusu kukemea dhambi wale hawana msamiati huo, nenda ulivyo, dhambi zako utajuana na Mungu wako siku ya hukumu
 
He! Kulikoni? Kule geor davie huku mwamposa. Wanakera nini hawa mitume na manabii?! Halafu wote wana tv na redio ongeza na mitandao ya kijamii ila sijaona magazeti yao. Wale hawajali muda wa waumini wao kwa kuwa wako live
H
masaa yote, labda muda wa kula wanaondoka madhabahuni.

Waumini nao itabidi waende kwa timing, vinginevyo watakereka kwa kupoteza muda mwingi wakisuburia hitimisho. Kuhusu kukemea dhambi wale hawana msamiati huo, nenda ulivyo, dhambi zako utajuana na Mungu wako siku ya hukumu
Duh, kweli wagalatia hamna akili
 
Wajinga ndio waliwao.

Unaweza jiombea mwenyewe, Huitaji binadamu yeyote yule haijalishi ni mtakatifu kiasi gani, Akuombee. Hao ni matapeli wa kidini.

You can pray for yourself.You don't need any person no matter how holy he is, to pray for you.Pray for yourself, Religion is a scam.

When all people shall be wise in divine terms Those False prophets and Bogus religious preachers who feed on the ignorance of multitude will go hungry.
 
Kipindi flani ndo Malisa anaingia ingia mwanza tuliwahi kumpeleka sista angu mmoja mimi na bi mkubwa.

Tumefika pale akaanza kuombewa mixa kufunikwa na vitambaa vyekundu, nkaanza kuona hapa usangoma huu.

Nkamshtua bi mkubwa ambae pia kanisa kwake hua n kwa manati na yeye akaniambia hapa ishakua jau.
Imefika mchana akamwambia sisteri, panda gari tukatafte chakula.

Ile tumeanza kuondoka nashangaa wale watumishi sijui wahudumu wanakuja kwa kasi wanakimbia kutufuata (kipindi hiyo kanisa lake lilikua mabondeni kule juu).

Mmh, nkawaza isije kua tumepita na sadaka.

Bi mdash akasimama wakafika wametweta jasho linatoka, akawauliza nini ngori? Wakasema haifai kuondoka mda ule, bado kuna maprocess.

Bi mkubwa akawaka akawaambia nyie hamna akili, mnataka watu wafe na njaa? Sisi tunaenda kula kwanza af turudi tuendelee na sebene lenu.

Wakakosa pozi, ikabd wakubali tusepe. Nkamuuliza bi mkubwa, umetoa sadaka?

Akaniambia sadaka ya nini pale wakat unaona mapicha picha mob?

Tukasepa moja kwa moja na sijawahi kurudi kwenye haya makanisa ya ufufuo sijui ufunuo.

All in all hawa jamaa wako kifedha zaidi so all their tactics sio kukomboa watu, bali ni kupiga noti as much as possible. Kila mtu akae chonjo..
 
Mtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake....
Nakuombea Mungu baba akufunue macho uone uhalisia wa madhabahu unayoabudu, hutorudi Tena na tutafanya bidii uwatoe wengine... Nakushauri jaribu Siku moja kufunga na kuomba angalau kwa Masaa 24,Ukimwomba Mungu akuthibitishie kuwa hapo ni sahihi... Maana injili ya Kristo ni ya utakatifu sasa kama huko hatukemei dhambi 🤔🤔
 
Kipindi flani ndo Malisa anaingia ingia mwanza tuliwahi kumpeleka sista angu mmoja mimi na bi mkubwa.
Tumefika pale akaanza kuombewa mixa kufunikwa na vitambaa vyekundu, nkaanza kuona hapa usangoma huu.
Nkamshtua bi mkubwa ambae pia kanisa kwake hua n kwa manati na yeye akaniambia hapa ishakua jau.
Imefika mchana akamwambia sisteri, panda gari tukatafte chakula.
Ile tumeanza kuondoka nashangaa wale watumishi sijui wahudumu wanakuja kwa kasi wanakimbia kutufuata (kipindi hiyo kanisa lake lilikua mabondeni kule juu).
Mmh, nkawaza isije kua tumepita na sadaka.
Bi mdash akasimama wakafika wametweta jasho linatoka, akawauliza nini ngori?
Wakasema haifai kuondoka mda ule, bado kuna maprocess..
Bi mkubwa akawaka akawaambia nyie hamna akili, mnataka watu wafe na njaa? Sisi tunaenda kula kwanza af turudi tuendelee na sebene lenu.
Wakakosa pozi, ikabd wakubali tusepe.
Nkamuuliza bi mkubwa, umetoa sadaka?
Akaniambia sadaka ya nini pale wakat unaona mapicha picha mob?
Tukasepa moja kwa moja na sijawahi kurudi kwenye haya makanisa ya ufufuo sijui ufunuo.
All in all hawa jamaa wako kifedha zaidi so all their tactics sio kukomboa watu, bali ni kupiga noti as much as possible. Kila mtu akae chonjo..
Nimependa ngeli yako mani .... umenikumbusha chagastan Budapest.....Big up dingiiii
 
Nakuombea Mungu baba akufunue macho uone uhalisia wa madhabahu unayoabudu, hutorudi Tena na tutafanya bidii uwatoe wengine... Nakushauri jaribu Siku moja kufunga na kuomba angalau kwa Masaa 24,Ukimwomba Mungu akuthibitishie kuwa hapo ni sahihi... Maana injili ya Kristo ni ya utakatifu sasa kama huko hatukemei dhambi
Alex Frances fb njoo
 
Mtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake....

1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana watoto na pengine hupelekea kukabwa usiku kwa waenda kwa miguu.

2.Kutokukemea dhambi, mimi ni mhudhuriaje mkubwa wa ibada kwa Mwamposa lakini skumbuk ni lini kakemea dhambi, ingawaje watu wanaenda pale wa kila aina, makahaba, malaya, wezi, mashoga n.k. Lakini mtumishi anadeal sana na kutoa baraka na upako pasipo kuhubiri amani,upendo,na maadili mema ukizingatia kuhusu jinamizi hili la ushoga, mtumishi ongelea ata hili tu kwa ufupi kanisa la mwamposa limekuwa kichaka cha watenda maovu, wanafurahia kutoongelewa. labda anahofia waumini kukimbia kanisa!?

3. Sadaka ni nyingi mmezipa majina mengi afu mnatoa baraka/upako kulingana na kipato cha mtu...yaan wewe mwenye elfu 5 unatofautishiwa baraka na yule mwenye kutoa elfu 50. Jambo hili linawafanya walio na kipato cha chini kujihisi wanyonge au kujihisi kupungukiwa na kitu..jambo hili binafsi linanikera na mnawapa adui zenu nafasi ya kupondea huduma hii.

4.Ukali(kufokewa).. mtumishi amekosa kauli ya kuwarekebisha watenda kazi wake pale wanapokosea amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwafokea mbele za watu na mbele ya kamera kama mtumishi unapaswa kuwa mtaratibu kukemea kwa hekima kwa kutambua wengine ni watu wazima wana familia zao...utasikia toa hyu apa wekeni mtu sahihi pale...walinzi,washika maiki, camera man, wanafanya kazi kwa hofu kubwa sanaaa..waondolee hofu wafanyakazi wako!

Ni hayo tu niliyobaini mimi..naomba yeyote mwenye uwezo wa kufikisha haya ayafikishe kwa namna yyte ilee.... lakini pamojaa na hayo nimepokea muujiza kupitia ibada yake mungu ambariki na ajirekebishe ili huduma iwe rafik kwa wengi! Ahsanten na samahani kwa uandishi mbovu..
Wanaoenda kwa mwamposa ni misukule sasa sielewi hizo kero misukule zinawahusu vipi
 
Kipindi flani ndo Malisa anaingia ingia mwanza tuliwahi kumpeleka sista angu mmoja mimi na bi mkubwa.
Tumefika pale akaanza kuombewa mixa kufunikwa na vitambaa vyekundu, nkaanza kuona hapa usangoma huu.
Nkamshtua bi mkubwa ambae pia kanisa kwake hua n kwa manati na yeye akaniambia hapa ishakua jau.
Imefika mchana akamwambia sisteri, panda gari tukatafte chakula.
Ile tumeanza kuondoka nashangaa wale watumishi sijui wahudumu wanakuja kwa kasi wanakimbia kutufuata (kipindi hiyo kanisa lake lilikua mabondeni kule juu).
Mmh, nkawaza isije kua tumepita na sadaka.
Bi mdash akasimama wakafika wametweta jasho linatoka, akawauliza nini ngori?
Wakasema haifai kuondoka mda ule, bado kuna maprocess..
Bi mkubwa akawaka akawaambia nyie hamna akili, mnataka watu wafe na njaa? Sisi tunaenda kula kwanza af turudi tuendelee na sebene lenu.
Wakakosa pozi, ikabd wakubali tusepe.
Nkamuuliza bi mkubwa, umetoa sadaka?
Akaniambia sadaka ya nini pale wakat unaona mapicha picha mob?
Tukasepa moja kwa moja na sijawahi kurudi kwenye haya makanisa ya ufufuo sijui ufunuo.
All in all hawa jamaa wako kifedha zaidi so all their tactics sio kukomboa watu, bali ni kupiga noti as much as possible. Kila mtu akae chonjo..
"MABONDENI KULE JUU" umetisha mwamba
 
Naamini katika uwezo wa Mungu lakini sio kupitia Mwamposa. Namuona ni nabii wa uongo asiyekemea dhambi wala kuwa na fadila yoyote ya kikristo. Kwanini watu bado wanamwamini hata baada ya kuona kuwa ni mpiga sadaka?!
 
Kipindi flani ndo Malisa anaingia ingia mwanza tuliwahi kumpeleka sista angu mmoja mimi na bi mkubwa.
Tumefika pale akaanza kuombewa mixa kufunikwa na vitambaa vyekundu, nkaanza kuona hapa usangoma huu.
Nkamshtua bi mkubwa ambae pia kanisa kwake hua n kwa manati na yeye akaniambia hapa ishakua jau.
Imefika mchana akamwambia sisteri, panda gari tukatafte chakula.
Ile tumeanza kuondoka nashangaa wale watumishi sijui wahudumu wanakuja kwa kasi wanakimbia kutufuata (kipindi hiyo kanisa lake lilikua mabondeni kule juu).
Mmh, nkawaza isije kua tumepita na sadaka.
Bi mdash akasimama wakafika wametweta jasho linatoka, akawauliza nini ngori?
Wakasema haifai kuondoka mda ule, bado kuna maprocess..
Bi mkubwa akawaka akawaambia nyie hamna akili, mnataka watu wafe na njaa? Sisi tunaenda kula kwanza af turudi tuendelee na sebene lenu.
Wakakosa pozi, ikabd wakubali tusepe.
Nkamuuliza bi mkubwa, umetoa sadaka?
Akaniambia sadaka ya nini pale wakat unaona mapicha picha mob?
Tukasepa moja kwa moja na sijawahi kurudi kwenye haya makanisa ya ufufuo sijui ufunuo.
All in all hawa jamaa wako kifedha zaidi so all their tactics sio kukomboa watu, bali ni kupiga noti as much as possible. Kila mtu akae chonjo..
mwanza kuna mauzauza sana mara zumaridi mara sijui nini yaani ti taabu tupu
 
Back
Top Bottom