MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

unajua tofauti ya agano la kale na jipya???
tuanzie hapo kwanza
TOFAUTI yake agano la kale lilikuwepo kabla ya yesu kuzaliwa.
Na agano jipya lilikuwepo baada ya yesu kuzaliwa na kufariki.
 
Mimi sijaandika biblia
Kama mkristo wa kweli. FUATA MAFUNDISHO YA BIBLIA.
Hebu tusiwe watu wa kukariri ungekuwa umekariri kila dhambi ukawa mbali nazo ungekuwa na nguvu katika imani sana sasa wewe komaa na Nguruwe watu tumeanza kula hadi Mamba nahisi unaumia sana kuona nguruwe analiwa ila huna namna kila siku wanazalishwa wengine kwa ajili ya mlo wa ndizi, usisahau bao moja la nguruwe ni watoto zaidi ya 8 sasa fikiria njisi gani tutanenepa.
 
Kama kuna sehemu. Mmeambiwa mle nguruwe kwenye biblia IWEKE.
Hiyo Biblia wewe unajua kuishika sana eeh...?!!
Mbona ni Biblia hiyo hiyo imekataza ufiraji na ufirwaji na watu wanafanya?
Kwani usikazanie kupinga mambo hayo unaonea sehemu ya kiti - fire tu?
Acha watu wajipatie protini kwenye kitimoto yao , wewe kama huli endelea kunywa supu ya pweza.
 
8f19a626be642a8ed0e46cb7eaf86782.jpg

SOMA AYA YA 3.
 
Attachments

  • Screenshot_2017-12-09-13-44-45.png
    Screenshot_2017-12-09-13-44-45.png
    28 KB · Views: 21
Kwani wanaokula wamepata madhara gani mpaka sasa?
Wanyama ambao hawaliwi ni ambao hawakuumbwa tu , waliobaki kama hana sumu ya kukuua au kukudhuru ruksa kula , usipokula wewe watakula wenzio.
Pia jamii zetu kiasili zinakula vitu mbalimbali sasa nani alituambia tule senene na kumbikumbi ni vile tu toka zamani tunafanya kuna wengine tunashangaa wachina kula nyoka ila kwao ni mboga safi sasa ngoja yeye awaonee kitimoto wivu.
 
Hebu tusiwe watu wa kukariri ungekuwa umekariri kila dhambi ukawa mbali nazo ungekuwa na nguvu katika imani sana sasa wewe komaa na Nguruwe watu tumeanza kula hadi Mamba nahisi unaumia sana kuona nguruwe analiwa ila huna namna kila siku wanazalishwa wengine kwa ajili ya mlo wa ndizi, usisahau bao moja la nguruwe ni watoto zaidi ya 8 sasa fikiria njisi gani tutanenepa.
ISHU SIO KUFANYA DHAMBI.
ISHU NI KUKUBALI KWAMBA. UNALOFANYA UMEKATAZWA NA MUNGU. ILA UNAFANYA UBISHI.
lazma tukubali kwanza tumekatazwa.
 
Hiyo Biblia wewe unajua kuishika sana eeh...?!!
Mbona ni Biblia hiyo hiyo imekataza ufiraji na ufirwaji na watu wanafanya?
Kwani usikazanie kupinga mambo hayo unaonea sehemu ya kiti - fire tu?
Acha watu wajipatie protini kwenye kitimoto yao , wewe kama huli endelea kunywa supu ya pweza.
HAKUNA MTU ANAYEKATAA KUWA HAYO MAKOSA NI DHAMBI.
TATIZO NINYI HAMTAKI KUKUBALI UKWELI. KUWA BIBLIA IMEKATAZA KULA NGURUWEE
 
Utetezi mwepesi kiasi hicho? Na sisi tumeruhusiwa kula nguruwe. Nyie waislam mtume wenu ndiyo aliwakataza msile hii nyama laini tamu ya kitimoto. Punguza wivu man
Wapi mmeruhusiwa?
 
TOFAUTI yake agano la kale lilikuwepo kabla ya yesu kuzaliwa.
Na agano jipya lilikuwepo baada ya yesu kuzaliwa na kufariki.
mambo ya walawi ni agano la kale ndo walikataza
lkn yesu aliruhusu kwenye agano jipya
 
Mimi sijaandika biblia
Kama mkristo wa kweli. FUATA MAFUNDISHO YA BIBLIA.
Biblia inasema vyakula vyote vipokelewe na kuliwa kwa shukrani baada ya kuviombea 1Tim 4 : 1 - 5 .
Kama unaipenda Biblia na kuiamini andiko hilo hapo linaloruhusu misosi kuliwa ikiwemo kitimoto.Kama hutaki unaweza tu kujinyea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom