Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Kazi ya polisi ni kulinda Aman Cha msingi kama chadema wanavikao vyao vya ndani hawatakiwi kuvunja Sheria hii ni nchi ya vyama vingi kumzuia katibu WA chama kutekeleza majukumu yake c SAWA kabxa Kwan hata mheshimiwa anataka aman
 
ufdup (1).png

Sio poa kabisa.
 
Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )

Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
Katibu mkuu CCM anapiga ziara na mikutano ya hadhara
Mwenwzi Shaka kutwa yupo bize na tunaona kwenye news akihutubia mikutano
Makamu Mwenyekiti CCM alifikia hadi kuamrisha polisi kupunguza wanausalama mabarabarani na agizo likatekelezwa.

Naomba kufahamu, hivi hawa wanasiasa wa vyama mbadala au pinzani ni raia ama siyo raia wa nchi hii,

Kwa nini tunasheria ya vyama vingi huku vyombo halali vya serikali vikiizima sheria hiyo kwa vitendo?

CCM inaharibu bigtime.
Miafaka feki kila kukicha
 
Matokeo ya kiburi na kujiona wao ni kub mpaka Leo. hata hivyo wamemzuiaje Afu wakamuachia alitakiwa awekwe ndani Nina wasi wasi na uraia wake na alete vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wake wote bila kusahau Cha Babu ni bibi yake
 
Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )

Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
Kwani Mbowe hawezi kutia neno hapo, au akazungumza na mwenzake kwenye "maridhiano" ili isionekane kwa wananchi kwamba mazungumzo ni kiini macho cha kuwatia usingizi CHADEMA?
Ngoja Novemba iingie tuone mabadiliko!
 
Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )

Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
Polisiccm ni majambazi wanaovaa uniform,na CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kubaki madarakani kimabavu
 
Kwa nini tunasheria ya vyama vingi huku vyombo halali vya serikali vikiizima sheria hiyo kwa vitendo?
Swali zuri sana.

Nami ningeongezea kama ifuatavyo. Kama kuna sheria inayoruhusu vyama vya siasa kufanya kazi zao, lakini sheria hiyo inavunjwa na taasisi inayotakiwa kuhakikisha sheria zinafuatwa, kwa nini hatua inayofuata isiwe kwa vyama hivi vya siasa kwenda mahakamani kutafuta haki zao?
Ninajuwa jibu litakuwa lile lile, kwamba mahakamani pia hawatatoa haki kwa vyama hivi.

Sasa kama itakuwa hivyo, si ni bora zaidi kuliko kukaa tu kimya na kubaki kulialia tu pembeni?

Matokeo hayo ya kunyimwa haki, si ndiyo yangekuwa ushahidi mkuu katika mahakama kuu zaidi mbele za wenye nchi wenyewe?
Kwa nini fursa hii hawataki kuitumia hawa CHADEMA? Hili bado silielewi.
 
Back
Top Bottom