The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,091
- 21,913
Mikoa ya pwani mipango miji ni mtihani. Isipokuwa Tanga tu.Hapana bana,Morogoro imechakaa pale katikati,ila ukiwa unatoka nje ya mji wamejitahidi sana upande wa makazi mapya,ingawa sehemu nyingi hazikupangwa vizuri...