Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
Moshi ipi unaizungumzia, moshi inabadilika but at slow speed ila sio stagnant kama morogoroNi kama Moshi mjini.
Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.
Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.
Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
Moshi ipi unaizungumzia, moshi inabadilika but at slow speed ila sio stagnant kama morogoro
Tatizo la moshi ni uuzaji wa ardhi, people there si warahisi kuachia ardhi, but business wise sio mbaya compare to moro
mbususu kali zinapatikana wapi 😎 nijuzeMoro pazuri shida moja tuu, hamna mbususu classic sijui kwa nini
Robert Heriel Mtibeli ndo anatoka huko aliwahi kusema huo mkoa umebarikiwa Sana
Anzi Himo, hapabadiliki kama ulivyofafanua.Moshi mjini na viunga vyake.
Mfano hapa pembezoni mwa mji wakat unaingia Moshi mjini.
Tuanzie Kiborlon mpaka Round about ya YMCA.
Ni maeneo hot sana.
Ila angalia kama kuna ghorofa mpya. Au sheli au kitega uchumi au uwekezaji wa Jengo la biashara.
Utagundua hamna.
Business ni Majengo. Iwe biashara au viwanda.
Zaid zaid ni Bar tu utakuta. Na sio business complex au viwanda.
Ni kweli Ardhi wanaikumbatia sana. Tatizo linaanzia hapa. Wazew wa kule wako radh ardhi yao waione tu ila sio kuuza ili vijana wawekeze.
Njoo hapa mlimani city mzeeembususu kali zinapatikana wapi 😎 nijuze
Unatulia zako akili pale forest safi kabisaaaIla Moro napakubali sana. Sio mikoa yote lazima iwe na vurugu kama Dar sijui Katoro. Mikoa mingine inapaswa iwe tulivu kama Moro.
Kwahiyo mtoa mada apuuzwe au azingatiwe?Huo mkoa kwa Kilimo lazima utoboe.
Au uchukue mazao kutoka Moro ulete DSM.
Kwa wafanyakazi serikali ni Mkoa mzuri.
hao waeka kope na wigi kichwani 😆Njoo hapa mlimani city mzeee
Kwahiyo mkali wa hizi Kazi unasemaje kuhusu watoto wa kirugulu?Unatulia zako akili pale forest safi kabisaaa
Vijana hawawezi kukuelewa, wao starehe ni vurugu za kitambaa cheupe.Unatulia zako akili pale forest safi kabisaaa
Kwahiyo mtoa mada apuuzwe au azingatiwe?
Okay nadhani mtoa mada maendeleo kwake ni majumba Makubwa na Barabara za njia nne.Asipuuzwe.
Nafikiri anazungumzia ukuaji wa mji na miundombinu.
Ukuaji wa mji wa Morogoro upo katika kiwango cha kati.
Nafikiri anazungumzia magorofa
Lakini kama ni makazi, mji unakua kwa kasi hasa njia ya Dodoma kuanzia Kihonda mkundi, Kiegea n.k. watu wanajenga sana
Okay nadhani mtoa mada maendeleo kwake ni majumba Makubwa na Barabara za njia nne.
Ila kuhusu watu wa huko kufubaa hiyo ni kweli kabisa nimeona hiyo hata kipindi nipo chuo ,hawajipendi