Morogoro ni kama imerogwa

Morogoro ni kama imerogwa

Ni kama Moshi mjini.

Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.

Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.

Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
moshi na bukoba kumechakaa balaa
 
Ni ukweli.

Ni kama miji mingine Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma na mikoa mingine.
 
Ni kama Moshi mjini.

Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.

Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.

Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
Hiki kitabia hata morogoro wanacho mtu ana nyumba mbovu katikati ya mji kuna watu wanafika bei lakn anakwambia siuzi
 
"Jaman Morogoro yapendeza oooh,
Maji yatiririka Milimani oooh,, "

mji naupenda sana,, Mji umenilea Umenikuza,,
mkataa kwao ni mtumwa 😎
Moro pazuri shida moja tuu, hamna mbususu classic sijui kwa nini
 
Acha uongo bwana miaka 15 maana 2010, Mlapakolo Street, karume, Sultani area, Kilakala road, Bogwa road, kichangani road, mafisa road, Kola makaburini, sabasaba street, Misufini road. Hizo barabara zoote hazikuwa na lami sasa hivi kuna lami. Na hiyo ndiyo nchi yetu ilivyo ulishacheki na miji mingine inakuwa km mchixha
Niliwai kukodi chumba hoteli morogoro nikalala mwenyewe mpaka asubuhi apo ndio ninasapoti hoja ya mleta mada

Huu mji umefubaa Kama ilivyo Moshi, Lindi, pwani, bukoba na kigoma
 
Kwani aboood anasemaje
Amewabinafsishia Waluguru basi lake chakavu lenye langi nyekundu! Ikitokea Mluguru amekufa tu, wanatoa taarifa faster na hilo basi linatolewa bure kwa ajili ya kuwapeleka wafiwa kwenye makaburi ya Kola kumzika mpendwa wao.
Baada ya hapo, kura zote za ubunhe anapewa Mh. Abood!!

Ila ukija kwenye miundombinu ya barabara za lami, nadhani Manispaa ya Morogoro inaachwa mbali sana na Manispaa ya Iringa.
 
Niliwai kukodi chumba hoteli morogoro nikalala mwenyewe mpaka asubuhi apo ndio ninasapoti hoja ya mleta mada

Huu mji umefubaa Kama ilivyo Moshi, Lindi, pwani, bukoba na kigoma
Ungemuuliza Adam ma... akimpata wapi wa kumwibia smg yake?
 
Back
Top Bottom