Morogoro ni kama imerogwa

Morogoro ni kama imerogwa

Acha uongo bwana miaka 15 maana 2010, Mlapakolo Street, karume, Sultani area, Kilakala road, Bogwa road, kichangani road, mafisa road, Kola makaburini, sabasaba street, Misufini road. Hizo barabara zoote hazikuwa na lami sasa hivi kuna lami. Na hiyo ndiyo nchi yetu ilivyo ulishacheki na miji mingine inakuwa km mchixha
Watanzania mshakariri maendeleo ni barabara za lami
 
Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa

Adios!!
Zile hoteli (sio hoteli hata ila sehemu ya kuchimba dawa na kula chochote)ambapo mabasi yote yanayopita hiyo barabara yanapenda kusimama pale njiani bado zipo vilevile au walishaboresha? Maana hata jina sikumbuki panaitwaje..
 
Ni kama Moshi mjini.

Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.

Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.

Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
Acha wivu wa kike nawewe kajenge kijijini kwenu.
 
Acha wivu wa kike nawewe kajenge kijijini kwenu.

Moshi pale kwenye Boma tuna nyumba 3. Moja imepangishwa. Moja iko wazi na moja ndio anakaa Mama Mkubwa. Na yuko mwenyewe na dada wa kazi.

Tuna family tree ndogo.

Alaf Unajenga nyumba kule nani akae. Tushajenga mjini. Kule tutarud kuzikwa.
 
Baada ya miaka 7 Morogoro itazidiwa na Mlowo, nipo Mlowo njooni
 
Hapo juu imetajwa Morogoro, Moshi gafla Tanga!
Kiujumla semeni tz yote, acheni rejareja 😎

Ukiacha Dsm.
Kuna miji pia TZ maendeleo yana kasi.

Mfano Dodoma , Mwanza, Arusha na miji kama Kahama.
Hii nimeshuhudia binafsi.
As years goes by. Maana nimepita miji hiyo 2010 na nikarud kwa wakat tofaut miaka ya 2020's.
 
Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa

Adios!!
Morogoro sehemu gani unakopitia wewe?

Tuseme hata lami ya Kihonda-veta inayoelekea SGR hujaiona?

Vipi ile inayopita Tubuyu_Tungi? Na ile ya mafiga, Tumbaku_Kichangani hadi area 5?
 
Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa

Adios!!
Mwingine alikuja akasema JIJI LA MBEYA NI LIKIJIJI LIKUUBWAAA LILILO CHANGAMKAAA
 
Back
Top Bottom