Jerusalem2006
Member
- Apr 19, 2020
- 70
- 236
Wasichokijua watu wengi kuhusu Status ya ukimbizi aliyoomba Lissu zamu hii hata kabla ya kufika Ubelgiji ni kutojihusisha na masuala ya kisiasa au uanaharakati akiwa nchini humo.
Ni kwamba Lissu ni assylum seeker na bado haja-qualify kupewa permanent resident status mpaka ashinde kesi yake, approve kwamba kweli kuna threat nchini mwake. Baadae ndio atakubaliwa kuwa mkimbizi halali na akifuata masharti anaweza kupewa uraia wa Belgium. Ila SHARTI mojawapo hatakiwi kujihusisha na SIASA zozote zile akiwa humo. Ndo maana Amsterdam kauchuna ghafla.
Na hamtamsikia Lissu akiongelea Siasa tena akiwa Belgium sababu ya status yake ya kuomba hifadhi kama mkimbizi.
Kabla ya Julai 2020,Lissu alikuwa na jeuri Belgium maana aliishi kama mgonjwa ndio maana alikuwa akijirekodi na kurusha video hovyo, akienda US, Uk etc. Baada ya uchaguzi ni story tofauti kabisa maana kaondoka Kama mkimbizi.
Soma kidogo chini uelewe..
For
BELGIUM
- Those living in refugee reception centers or with refugee status receive a weekly spending allowance of 7.40 euros per adult. Some can also carry out paid work at the center, receiving up to 185 euros per month. After six months, people can apply for a work permit.
- Work permit issued once asylum application is approved; immediate family members can then also come to Belgium.
Mara nyingi watu wanasema humu Lissu ana akili nyingi za darasani Ila Elimu ya Dunia ni SUFURI kichwani mwake. Hakuyajua yote haya ndo maana aliporudi tu Belgium akaanza harakati zake. Balozi wa Belgium TZ aliyemsaidia kuondoka nchini akamkumbusha STATUS yake hairuhusu tena harakati za kisiasa akiwa Belgium. Akamzuia hata kuhojiwa tena na BBC,VOA,DW etc kuwa zitamharibia maombi yake ya kukaa huko. Ikabidi na story za Amsterdam na ICC ziishie hapo.
Sasa hivi amebaki Kama debe tupu. Kurudi hawezi, hata kupost JF hawezi. Amebakia kupokea Tuzo hewa na kufura tu akiwa chumbani kwake. Kwa status ya ukimbizi hata kazi ya uanasheria au yoyote official hawezi fanya hadi awe approved na at least miezi sita iishe. Kisiasa ndo KWISHA habari yake.
Hata cheo chake cha CHADEMA haruhusiwi kukiongelea popote kwa status yake ya ukimbizi akiwa Belgium kinamharibia kukubaliwa kuishi huko. Kule hawamtambui Kama Lissu au sijui makamu mwenyekiti wa CDM.. Kule ni sawa na mrwanda,mrundi au msomali aliyekimbia vita kwao.