JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,520
- 7,570
Bwana wenu si awape vyeo ninyi kwanza! Au ninyi wakusifu na kumtukuza mungu wenu uchwara hamtaki mtolewe jalalani!?Dah.....ungeuchuna,...Sasa ushamchoma..!!! Ndo mana ghafla amemute..kumbe ukiwa mkimbizi unapata HAKI ZAKE stahiki lakini ni Lazima utimize WAJIBU wa kuwa MUTE na kutojihusisha na siasa...atajutia igizo lake.. Bora arudi mzee Magu atampa kibarua chochote....!!