Mohamed Said acha upotoshaji wa makusudi

Mohamed Said acha upotoshaji wa makusudi

Wacha uvivu wa kufikiri kijana ndugu muandishi Mohamed Said anaandika vitu kwa mifano ili wazi kbs ww unae sema mdini ebu tueleze kwa mifano ilo wazi kbs huo udini wake upo wapi khs ndugu Jamal yasin yupo hai picha zake zipo video zake zipo wakt wanafanya mahojiano nae khs udini upo wazi wazi katk nchi hii kuna mfumo katoliki wazi wazi kbs angalia viongozi mashirika yetu asilimia 96 ni dini upande mmoja vp upande wa pili ndio hatuna Elimu sio jaribu kuangalia swala Dk. DAU mlivyolichukulia vp khs Yule kamishina wa TRA naona kmy mpk leo
mbona utawala wa kichwa nazi kulijaa udini karibia sekta nyingi za serikali.?!!
 
Wapi maandiko yetu yanasema tuvae bomu acha uvivu wa kufikiri udini sio kitu kizuri sote kitu kimoja mtaliko moja awezi kufanya wakoliki wote tuwaone washenzi acha kbs kashifa za kijinga
huyu hana hoja ya maana , yy amefocus kwenye udini na chuki
 
Nikupe pole Mohamed Said. Please kuwa muangalifu na unachoambiwa next time. Binadamu wote si Wema. Wengi wanatafuta publicity na watakutumia.

Itabidi huyu Jamal ashitakiwe kwa kosa la uchochezi maana nilivyosoma ile article ni alisema alisingiziwa yeye gaidi na kuteswa mno huko rumande. Na alikuwa akichochea mambo ya udini.
yes, well said
 
We jamaa una akili ndogo kama zipu ya chupi!! Sadaka za masjid haziliwagi zile au kuna sehemu mnaendaga kumpa allah??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Sadaka za masjid hutumika masjid na kuwasaidia maskini. Ndio maana huwaoni Masheikh kuishi kwenye majumba ya kifahari na magari ya kifahari. Hivi Yesu aliishi kama hawa mapastor wenu??
 
Matusi ya nini? Tatizo nyie wajukuu wa allah mnapenda fyoko fyoko sana, mkipewa kibano mnalalamika mfumo kristo
Hivi kuna wajukuu wa Allah? au kuna Wafuasi wa Allah. Hata wafuasi wa Yesu walikula kibano ila wewe mfuasi wa shetani unakula raha.
 
je mzee MS wewe kama nguli katika machapisho nadhani utakuwa umefahamu ni kwa kiasi gani utakuwa umeipa taharuki jamii kwa habari yako kuhusu huyo tapeli

sasa je unawasaidiaje wale uliowapa mtikisiko wa kiakili kwa kuiamani habari yako

pia utalisafishaje jeshi la polisi machoni mwa raia wema waliochukizwa na jeshi la polisi kwa habari ya huyo tapeli
Datz,
Hii habari mimi si wa kwanza kuandika.

Gazeti la An-nuur ndilo lilikuwa gazeti la mwanzo kuandika
habari za Jamal Yassin na akawa anapita misikitini kueleza
ule uongo wake.

Ikasadifu kuwa akaja kusali Ijumaa msikitini petu na mie siku
hiyo nipo ndipo nilipomsikia.

Hakika nilifadhaishwa sana na stori yake na alipoletwa nyumbani
kwangu na Sheikh Ali Mbaruk ndipo nikamfanyia mahojiano.

Alikuwa pia na barua kutoka kwa Mufti wa BAKWATA Abubakar
Zubeir
ikimtambulisha kwa Waislam.

DSCN0381.JPG

Sasa hiyo taharuki sikuileta mimi bali na yeye mwenyewe wakati
akipita misikitini kueleza huo ''mkasa,'' wake.

Ila mimi nilipojua kuwa huyu Jamal ni tapeli ndipo nilipowaeleza
watu ubaya wa huyu kijana.

Tuje katika hili suala la polisi.
Hiki ni kitendawili kikubwa kwangu.

Haiyumkiniki kuwa polisi walikuwa hawajui uongo huu wa Jamal.
Kwa nini hadi leo hawajamtia mbaroni kumhoji?
 
Wacha uvivu wa kufikiri kijana ndugu muandishi Mohamed Said anaandika vitu kwa mifano ili wazi kbs ww unae sema mdini ebu tueleze kwa mifano ilo wazi kbs huo udini wake upo wapi khs ndugu Jamal yasin yupo hai picha zake zipo video zake zipo wakt wanafanya mahojiano nae khs udini upo wazi wazi katk nchi hii kuna mfumo katoliki wazi wazi kbs angalia viongozi mashirika yetu asilimia 96 ni dini upande mmoja vp upande wa pili ndio hatuna Elimu sio jaribu kuangalia swala Dk. DAU mlivyolichukulia vp khs Yule kamishina wa TRA naona kmy mpk leo

Umeandika pumba na utumbo tu apa!DR Dau kwanza arudishe hela alizokwapua NSSF ndio ataeleweka.La sivyo na yeye asubirie mda wake wakukalia lile benchi maarufu pale kisutu.
 
Umeandika pumba na utumbo tu apa!DR Dau kwanza arudishe hela alizokwapua NSSF ndio ataeleweka.La sivyo na yeye asubirie mda wake wakukalia lile benchi maarufu pale kisutu.
Labda lakini lkn tuanze na wale wanaofanya kazi za kijamii hospital ya sinza palestina warudishe pesa zetu na yule kamishina wa zamani pia
 
Nyie wagalatia makafir acheni upumbavu, kwani kosa la Mohamed Said ni nini? Mara ngapi waandishi wanaandika habar za uongo? Kubenea si alimuandika lowasa miaka 8 yote kwamba fisad ni akamsafisha kwa miez 2 tu? Mbona hamtoki povu, pumbavu kabisa nyie
 
Ni kweli kabisa mkuu, anatunga story za kuunga unga halafu anakuja kuaminisha umma kuwa ni historia zilizotukuka za kupambana na mfumo kristo
Nimesoma kitabu cha Maisha na wakati wa Abdulwahid Sykes na makala kuhusu mwanamuziki wa zamani Humphrey.
Kwa hivyo viwili nilivyosoma napingana nawe kuwa huyu bwana anaandika kwa kuunga unga ila ninachoamini ni kuw aanafanya utafiti wa kina.
Kuhusu huyu kijana aliyetekwa niliisoma hii habari lakini sikuimaliza kwani kwangu mimi ilikuwa "too sweet to be true".Watu wote wanaopitia katika torture huwa wanatoka na split mind kiasi ambacho si rahisi ku narrate kila kitu kama alivyofanya huyu kijana,ulimboka ni shahidi.
Mohamed Mussa amekiri kupotoka na kaomba radhi,uungwana gani zaidi unatakiwa?
 
Lakini si amekiri kwamba lile jamaa ni tapeli la kiwango cha juu? Huoni hata yeye ametapeliwa na juice jamaa likanywa nyumbani kwake! Ajichunge asije akatapeliwa hata mke! Jambo moja tu la kukumbuka Kristo hatakaa ashindane na mwanadam hata siku moja! Mohamed Said kajivua nguo mwenyewe!!
 
Nyie wagalatia makafir acheni upumbavu, kwani kosa la Mohamed Said ni nini? Mara ngapi waandishi wanaandika habar za uongo? Kubenea si alimuandika lowasa miaka 8 yote kwamba fisad ni akamsafisha kwa miez 2 tu? Mbona hamtoki povu, pumbavu kabisa nyie
Kosa halihalalishi kosa.
Matusi ni dalili za kukosa hoja.
Kuendekeza udini haisaidii kujenga hoja.
Hivi tangu lini uislam ukahubiri matusi? Soma quran na uielewe.
 
Kosa halihalalishi kosa.
Matusi ni dalili za kukosa hoja.
Kuendekeza udini haisaidii kujenga hoja.
Hivi tangu lini uislam ukahubiri matusi? Soma quran na uielewe.

Tusi liko wapi hapa? Nioneshe tusi
 
Nyie wagalatia makafir acheni upumbavu, kwani kosa la Mohamed Said ni nini? Mara ngapi waandishi wanaandika habar za uongo? Kubenea si alimuandika lowasa miaka 8 yote kwamba fisad ni akamsafisha kwa miez 2 tu? Mbona hamtoki povu, pumbavu kabisa nyie
Hii [emoji115] ni dalili kua Mmejimilikisha CCM kiudini...
Anyway naona unataja Kubenea.

Saed Kubenea hana hata chembe ya Udini wala usaliti. Anafaa kua Rais, ni patriotic leader.
Ana tendency ya kutetea na kupigania watu wake. Chama chake. Ukiwa naye utampenda... Hata Leo akienda CCM wana gamba watampenda. Kwasababu hana usaliti.
Anatumia Kitu wanaita "TACT".
 
Mzee Mohamed Said pole sana kwa kudanganywa na Jamal. Pia nakupongeza kwa uungwana wako wa kuomba radhi wasomaji wote. Mwisho ninapenda kusisitiza kuwa nitaendelea kuzipuuza makala zako zote hadi hapo utakapoacha kuandika makala zenye udini.
 
Nyie wagalatia makafir acheni upumbavu, kwani kosa la Mohamed Said ni nini? Mara ngapi waandishi wanaandika habar za uongo? Kubenea si alimuandika lowasa miaka 8 yote kwamba fisad ni akamsafisha kwa miez 2 tu? Mbona hamtoki povu, pumbavu kabisa nyie
Wewe isis chunga lugha yako kabla hatujakufanya kitimoto
 
Muda ndo utakuwa unawaumbua na hizo harakati zao uchwara maanake ukimkosoa humu wale mahoka wake wanakuja juu.

Hata hizo habari za "wazee wake" ni upupu tu na ndiyo maana hao wapotoshaji wenzie kina Yasin wanamfuata sababu ana-platform ya kuenezea sumu.

Infact wazee wa aina hii ni disgrace kwa society.
 
Mzee Mohamed Said pole sana kwa kudanganywa na Jamal. Pia nakupongeza kwa uungwana wako wa kuomba radhi wasomaji wote. Mwisho ninapenda kusisitiza kuwa nitaendelea kuzipuuza makala zako zote hadi hapo utakapoacha kuandika makala zenye udini.
Diranghe,
Mimi sijaandika udini wowote.
Aliyeandika udini ni P van Bergen (1981).

Kitabu chake kinaitwa ''Religion and Politics in Tanzania.''
Ushakisoma kitabu hiki?

Mwingine aliyeandika udini ni John Sivalon padri wa Kanisa
Katoliki.

Kitabu chake kinaitwa Kanisa Katoliki na Siasa Tanzania Bara.''
Je, unakijua kitabu hiki?

Nakuwekea hapa link uangalie kurasa chache Sivalon kasema
kitu gani:

Mohamed Said: KUTOKA JF: KITABU CHA PADRI SIVALON

Ama kuhusu kunipuuza huo ni uamuzi wako na una haki ya
kufanya hivyo sikulazimishi kunisoma.
 
Back
Top Bottom