St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Hata Aliekuwa Rais wa Marekani aliwahi kusema CIA walimpa information sio juu ya Iraq. Na alikubali kosa lake na hapa Mohammed Said amekubali kosa lake. Kuwa kapewa maelezo yasio ya kweli na kuyachapisha kwenye mitandao na Magazeti. Sasa huo udini umetokea wapi?? Mbona Serikali inawazuilia Uamsho mpaka leo kwa kosa la Ugaidi lakini hawana ushahidi miaka mitatu sasa?? Na hujaleta uzi juu ya serikali kuwa waongo.