Mohamed Said acha upotoshaji wa makusudi

Muda ndo utakuwa unawaumbua na hizo harakati zao uchwara maanake ukimkosoa humu wale mahoka wake wanakuja juu.

Hata hizo habari za "wazee wake" ni upupu tu na ndiyo maana hao wapotoshaji wenzie kina Yasin wanamfuata sababu ana-platform ya kuenezea sumu.

Infact wazee wa aina hii ni disgrace kwa society.
Ndagla,
Mdomo haumkatai bwana wake.
 
Lakini si amekiri kwamba lile jamaa ni tapeli la kiwango cha juu? Huoni hata yeye ametapeliwa na juice jamaa likanywa nyumbani kwake! Ajichunge asije akatapeliwa hata mke! Jambo moja tu la kukumbuka Kristo hatakaa ashindane na mwanadam hata siku moja! Mohamed Said kajivua nguo mwenyewe!!
Maninjagata,
Jamal
kaja kwangu ba barua ya Mufti wa BAKWATA
Sheikh Abubakar Zubeir.

Kabla hajaja kwangu habari zake zilichapwa na An-Nuur
na alikuwa keshapokelewa kwingi.

Mie hajanivua hata soksi.
 
Pole kiongozi wangu! Matapeli ni hatari sana yanajua michoro ile mbaya!
 
Hii [emoji115] ni dalili kua Mmejimilikisha CCM kiudini...
Anyway naona unataja Kubenea.

Saed Kubenea hana hata chembe ya Udini wala usaliti. Anafaa kua Rais, ni patriotic leader.
Ana tendency ya kutetea na kupigania watu wake. Chama chake. Ukiwa naye utampenda... Hata Leo akienda CCM wana gamba watampenda. Kwasababu hana usaliti.
Anatumia Kitu wanaita "TACT".

Maweee, kubenea ni leader? Yule mnafiki wa kalamu anaweza kuwa rais? Labda rais wa manzese
 
Lakini si amekiri kwamba lile jamaa ni tapeli la kiwango cha juu? Huoni hata yeye ametapeliwa na juice jamaa likanywa nyumbani kwake! Ajichunge asije akatapeliwa hata mke! Jambo moja tu la kukumbuka Kristo hatakaa ashindane na mwanadam hata siku moja! Mohamed Said kajivua nguo mwenyewe!!
LAKINI haikuwa issue ya ukiristo vs uislam,ilikuwa issue ya polisi wa Tanzania vs waislam na watanzania wengine wanyonge
 
Pole kiongozi wangu! Matapeli ni hatari sana yanajua michoro ile mbaya!
Manjagata,
Hawa watu wana vipaji vya ajabu.

Mimi hata kwa dakika moja sikumshuku.
Kijana soft spoken, humble nk.

Kanipa picha ya kijana mcha mungu nk.
Nimefikisha msikitini kwetu taarifa zake.

Imam wa msikiti mwenyewe kachoka.

Kuna mtu akiitwa Count Victor Lustig
huyu alikuwa tapeli hatari.

Kuna kitabu kuhusu maisha yake kinaitwa,
''The Man Who Sold the Eiffel Tower.''

Google usome habari zake.
 
Crabat,
Hapo tulipo kwenye picha si ofisi ni nyumbani kwangu.

Siku hiyo ilikuwa Ijumaa na Sheikh Ali Mbaruk alikuja
kuswali msikitini kwetu na Jamal Yassin na akawaeleza
Waislam ''mkasa'' wa huyu kijana.

Sheikh Ali Mbaruk ni mtu ninaefahamiananae na ni mtu
anaeheshimika katika jamii yetu.

Waislam waliguswa na ''mkasa'' wa Jamal Yassin khasa kwa
kuwa wakati tulio nao Waislam wengi wako mahabusi kwa
tuhuma za ugaidi.

Sheikh Ali Mbaruk alimleta nyumbani kwangu na nikamhoji
bila ya kutia wasiwasi.
Kwanini ikawa msikitini? Lengo lilikuwa nini kama sio kuanzisha chuki dhidi ya serikali ambayo ni ya "Mfumo Kristo" unaoushabikia?

Lengo lako ni kufanikisha mapambano ya kidini. Nothing more: Nothing less
 
Manjagata,
Hawa watu wana vipaji vya ajabu.

Mimi hata kwa dakika moja sikumshuku.
Kijana soft spoken, humble nk.

Kanipa picha ya kijana mcha mungu nk.
Nimefikisha msikitini kwetu taarifa zake.

Imam wa msikiti mwenyewe kachoka.
Kuna mtu akiitwa Count Victor Lustig huyu
alikuwa tapeli hatari.

Kina kitabu kuhusu maisha yake kinaitwa,
''The Man Who Sold the Eiffel Tower.''

Google usome habari zake.
Asante kiongozi nita-google, ingawa Mimi huwa natafuta kitabu chochote chenye historia ya Dar wakati wa harakati za ukombozi! Kwa hiyo hilo TAPELI lilichangiwa hata Fedha msikitini? Poleni sana!
 
Si mara moja na si msikiti mmoja.
 
Kwanini ikawa msikitini? Lengo lilikuwa nini kama sio kuanzisha chuki dhidi ya serikali ambayo ni ya "Mfumo Kristo" unaoushabikia?

Lengo lako ni kufanikisha mapambano ya kidini. Nothing more: Nothing less
Bazazi,
Ijumaa ndiyo siku Waislam tunapokutana katika misikiti yetu na kupeana taarifa
za juma zima.

Kuhusu Mfumokristo msome J Van Bergen (1981) na John Sivalon (1992)
hawa ndiyo watu wa kwanza kueleza habari hizo.

Baada ya vitabu hivyo ndipo mimi nikaja na kitabu cha Abdul Sykes (1998)
kwa lengo maalum la kuokoa historia ya Waislam katika kupigania uhuru.

Baada ya hapo ndipo nikaandika mswada ''Christian Hegemony and the Rise of
Muslim Militancy,'' (bado kuchapwa).

Sasa kama kuna suala la ushabiki ingefaa tuanze na Bergen na Sivalon.
 
Unashindwa kujitoa katka utumwa waliokuachia waarabu unapgania dini ya mkoloni!!Leo upo Tz unawachonganisha ndugu kwa ndugu kisa dini ya mkoloni!! We ni litumwa gani ulienyimwa akili!! EB funguka akili mtumwa wa akili we!!
 
Mkuu,
Kule Pakistan wamarekani walifadhili vikundi vya kijahidina kwa pesa ndefu sana nyakati.za cold war. Madrasat zilijengwa kwa us dollar. vijana wa kipakistani waliopewa mafunzo day in day out, waliingia vitano kupigania kuilinda Afghanistan isimezwe na USSR.

Mwishowe Urusi ikashindwa kuichukua Afghanistan.
Wale vijana walipomaliza ile kazi wakiwa idle hawana ramani wakiwemo wakina Osama bin Laden's wakageuka na kazi nyingine....

Sasa hao waandishi uliochukukua nukuu zao ni raia.wa kigeni..Mimi na wewe
Hatujui dhamira yao hasa ya kuandika.kile.walichoandika.kuhusu taifa hili lililokua Non alignment movement. Na kwa majina yao.wako.kama.wanatoka.magharibi.

Hivyo basi
Kwasababu.. Uliona si sehemu ya Dini yako unayoisadiki,.pengine. Basi ukaona utumie vyanzo vyao ili uonekane wewe Uu neutral, in reality wewe ni fanatic kama wengine..

Ndio maana umejikita katika kuandika maandishi yatakayo wagawa watanzania especially wale simple Minded people katika utaifa wao. Hukutazama repercussions.

Sidhani kama ulikua na nia njema na WAKRISTO wasiojua hayo ambayo umeyaeleza.

mwishowe hata kama tuna moyo wa kukusapoti baadhi ya mambo tunapata mashaka kwakua uko more pro-islam.

Katika ulimwengu huu uliojaa fundamentalists ni wazi kabisa kazi zako zikazalisha magaidi uko mbeleni.

Kwasababu unaijua vyema hulka ya watu wa dini yako.

Pia kujidanganya kua historia ingeandikwa unavyotaka ingesaidia uislamu. Lakini unasahau kua kwa upande wa pili Ina maana ingedhohofisha wasio waislamu
.
Ni nani.anataka... Obvious. Hakuna
Uandishi wako uko biased na haujengi.na umoja wa taifa.

Huu ni mtazamo wangu...., kua uandishi wako una Mushkeli...
 
2013,
Umeanza tatizo katikati na wala hali ya Tanzania si ya Pakistan.
Historia zetu mataifa haya na mategemeo yetu ni tofauti sana.

Historia ya uhuru wa Tanganyika na nafasi ya Waislam katika taifa
hili ni historia pekee ya kujitegemea.

Ikiwa unafuatilia post zangu utaona mara nyingi nakuombeni msome
P van Bergen na John Sivalon.

Lakini inaelekwa aidha si wanafunzi wazuri au ni wavivu wa kusoma
na kutafiti.

Na hapa nakataa kujiweka kama rejea.

Ukinisoma kama rejea kupitia kitabu cha Abdul Sykes ndiyo ukweli
utakuhidhirikia kuhusu ujenzi wa umoja wa taifa hili.
 
Unashindwa kujitoa katka utumwa waliokuachia waarabu unapgania dini ya mkoloni!!Leo upo Tz unawachonganisha ndugu kwa ndugu kisa dini ya mkoloni!! We ni litumwa gani ulienyimwa akili!! EB funguka akili mtumwa wa akili we!!
Jiwekuu,
Ungemsoma Bergen na Sivalon kabla ya kujibu kama nilivyoshauri.
Ungefanya hivyo labda ungerejea hapa na fikra nyingine.

Nakuomba chukua siku uwasome hawa waandishi ndipo urejee katika
mjadala.
 
2013,
Umeanza tatizo katikati na wala hali ya Tanzania si ya Pakistan.
Historia zetu mataifa haya na mategemeo yetu ni tofauti sana.

Historia ya uhuru wa Tanganyika na nafasi ya Waislam katika taifa
hili ni historia pekee ya kujitegemea.

Ikiwa unafuatilia post zangu utaona mara nyingi nakuombeni msome
P van Bergen na John Sivalon.

Lakini inaelekwa aidha si wanafunzi wazuri au ni wavivu wa kusoma
na kutafiti.

Na hapa nakataa kujiweka kama rejea.

Ukinisoma kama rejea kupitia kitabu cha Abdul Sykes ndiyo ukweli
utakuhidhirikia kuhusu ujenzi wa umoja wa taifa hili.

Mkuu, sizungumzii.
matatizo yetu kulingana na wapakistani. Nina zungumzia mamatarajio ya wageni kwetu sisi, Enzi hizo zA cold war.
Wale jamaa hawakua wanajali umoja wetu zaidi walikua wakitaka kila mmoja tuwe upande wake.
Je hao waaandishi hawakuandika historia yao ili kutughilibu. Kama currently wanavyo wavuruga waarabu kule middle East?

Ni nani msomi atakaye simama na kutumia kalamu yake kuona Shaka katika hili, ikiwa wewe umekubali kutekwa nyara na fikra zao wala hukutazama umoja wa kitaifa ambao ni msingi wa Amani nchini?
Amani iliyopo ndio big picture
..

Ama je waliopigania uhuru wanapaswa kua daraja la juu kuliko wasiopigania

Na kama hujajua, waislamu watakuamini wewe kuliko hao wageni ambao wewe umewaamini nikasema umechukua kutoka kwao...
Na kwakua tangu September 11,2001 Duniani kumekua na vuguvugu LA Udini
Na mawazo yako yanapata umaarufu zama hizi ambazo.ugaidi umeshila kasi.
Hapo hapo unataka kutuaminisha unataka Ukweli ujulikane. Tutajuaje kama sio ploy.. Na hutumiki na falme zA kiarabu kuhujumu mataifa yetu. Kulingana na tetesi zA abuja declaration?..kwahiyo nachoona una abuse Elimu yako ya uandishi kwa kina jaribu kuandika katika namna itakayo wagawa watized kiitikadi
 
Duu kweli "UTAPELI UPO" ila utapeli wa namna hii na jinsi andishi lilivyojengwa kuhusu Jamal, kwa binadamu yeyote mwenye utashi asingeshindwa kumuonea huruma. Bandiko liliwekwa humu JF na nilicomment nikitoa tahadhari za ukweli na kuona kwa namna gani kashindwa kupata watu wa sharia kutafuta haki. Mwisho wa siku ni ubatili mtupu, kiukweli inakela sana. Sijajua kwa mwandishi umewachukulia hatua gani huyo Jamal na Shekhe wake aliyemleta. Ona alivyodhulumu nafsi za watu wengine, michango mliyotoa misikitini ingesaidia wahitaji kweli na si yeye kanjaja. INAKELA SANA KUSHABIKIA MAMBO YA KIDINI maana moto wake huwa mgumu kuzimika katika jamii!
 
Kasimama kwenye misingi ya wa ongea uongo! Waliofanikiwa hata kutunga imani kwa kuongea uongo ndio maana wako radhi kufa kuutetea uongo.....!!!
 
Na hapa ndipo tunapotaka kuanza kuhoji credibility ya makala zote za mwandishi zilizotangulia.

Zilikuwa na mrengo gani??
Bwana, huyu Mtu wako ni wakala wa yule nabii wa uongo anaegeuza uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo!
 
  • Thanks
Reactions: ELX
Back
Top Bottom