Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,495
Mwenzetu huyu humu JF anayejiita mwandishi aliyetukuka Bwana Mohamed Said amekuwa akianzisha nyuzi nyingi sana humu kueleza kile anachokiita historia iliyofichwa kwa makusudi na serikali kwa kushirikiana na kanisa la Tanzania ili kufanikisha kile anachokiita Mfumo Kristo.
Akaenda mbali zaidi kwa kushirikiana na mwenzie anayeitwa Ustadhi Jamal Yassin kutunga story ya mpemba mmoja aliyetekwa na kuteswa sana na kubambikiwa kesi ya Ugaidi na jeshi la polisi kwa kushinikizwa na mabosi wa kanisa kama moja ya ajenda za "mfumo Kristo"
Leo story ile imegundulika ni ya uongo na ilipikwa na yeye mwenyewe Mohammed Said kwa kushirikiana na nduguye huyo Jamal Yassin na cha ajabu kamruka mwenzie mita 100 kwa kumuita tapeli kubwa la kimataifa.
Mohamed Said tafuta namna nyingine ya kueneza propaganda zako chafu dhidi ya Ukristo sio hii maana imepwaya .
Lakini pia acha kutunga story za kupotosha ukiwaaminisha vijana waliozaliwa miaka ya karibuni kuwa unatoa historia iliyofichwa na serikali kwa baraka za mabosi wa "Mfumo Kristo"
Uzi wenyewe huu hapa: Jamal Yassin: Nilikamatwa, nikawekwa rumande, nikateswa na nikashutumiwa gaidi
Leo kakanusha hivi:
Na kwa maneno yake kaandika hivi kwenye blog yake:
"Tarehe 17 February 2016 niliweka katika hii blog habari za Jamal Yassin nikieleza kuwa alikamatwa na polisi kwa tuhuma za ugaidi na akafanyiwa unyama mkubwa usioelezeka ambao ulisababisha yeye baada ya kuachiwa kutokwa na damu sehemu zake za siri mbele na nyuma. Kwa masikitiko makubwa sana napenda kusema kuwa imedhihirika kuwa hayo yote aliyoeleza na mimi kuyatangaza ni habari za uongo. Jamal Yassin imedhihirika ni tapeli mwenye kipaji cha juu cha udanganyifu. Naomba radhi kwa wote."
Unaweza kusoma vizuri kanusho lake hapa : Mohamed Said