Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,284
- 33,881
Rubawa,Nafikiri umeeleweka vzuri kbs ninachokiona kwa Asingwa chuki juu yko nn chanzo kuamcha walio lala na utachukiwa sna juu ilo hakika mungu atakusimamia
Amin.
Rubawa,Nafikiri umeeleweka vzuri kbs ninachokiona kwa Asingwa chuki juu yko nn chanzo kuamcha walio lala na utachukiwa sna juu ilo hakika mungu atakusimamia
Asigwa,Na hapa ndipo tunapotaka kuanza kuhoji credibility ya makala zote za mwandishi zilizotangulia.
Zilikuwa na mrengo gani??
Mkuyati,Uandishi una kanuni na maadili yake, kwa hili inabidi mabandiko yake mengine yachunguzwe. Ilikuwaje huyu mzee wetu akahadaika kirahisi hivi? What was the motive behind? Mara ya kwanza nimesoma makala ile I knew it was too good to be true!!
Rubawa,Elimu kubwa sna ulikuwa unajua km Hamza mwapachu ndio aliemtambulisha mwalim nyerere wazee dar es salaam atimae kupewa unyekiti TAA ulikuwa unajua km mapindunzi ya Zanzibar yalikuwa na mkono wa Oscar kambona kassim hanga ulikuwa unajua nyerere safari UNO ili wezeshwa na dosa Aziz na John Rupia ulikuwa unajua mchango wa watu km seleman takadir dosa Aziz sir George kahama vp kuhusu kura tatu za tabora ulikuwa unajua hayo si tulikuwa tunajua kila kitu mwalim nyerere wakt nchi hii halakati za uhuru zilikuwepo kabla mwalim nyerere tuache chuki za kijinga na fitina hakika Mohamed Said ametutoa usingizini na ndio maana mna chuki juu yke
Mzee kwa paper zako hizi, wengi watakula kona. Hongera sana. Ni wachache wamewahi kuandika paper na kufanya presentation kwenye kongamano tofautitofauti hasa ya kimataifa. Hongera sana Mzee MSAsigwa,
Kuhoji ndiyo usomi khasa.
Una haki ya kuhoji na mimi nina wajibu wa kukujibu.
Nakuwekea hapa baadhi ya kazi zangu:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).
3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, and Nairobi.
17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.
18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Crabat,Mtoa mada una matatizo makubwa sana...Sheikh Mohamed Said ni muungwana sasa na mkweli pasipo na shaka. Alipoandika makala ile ni kwa huyo muhisika kwenda ofisini kwake kwa kupelekwa na akaelezea yalomsibu na Mohamed Said akaandika na kumuoiza na picha akampiga akiwepo ofisini kwake.
Alipopata habari kuwa huyo jamaa ni tapeli ameyandika na akaomba radhi kwa kupotoshwa ...huu ni uungwana mkubwa na huwezi kuupata kwa waandishi wengi wa hapa kwetu.
Ahsanta Sheikh Mohamed kwa kutujuvya kuhusu huyu jamaa bila ya shaka waislam watakua mbali naye maana lengo haswa la kufanya hivo ni giza nene la usiku
Chaza,Mzee kwa paper zako hizi, wengi watakula kona. Hongera sana. Ni wachache wamewahi kuandika paper na kufanya presentation kwenye kongamano tofautitofauti hasa ya kimataifa. Hongera sana Mzee MS
Elimu gani unayopewa?
Mr. Junior,Elimu gani unayopewa?
Afrodenzi,Mohamedi Said yaani jamaa alikupa story yake we ukaamua kuianika kwa uma bila kufanya uchunguzi wowote? ? Ulikubaliana nae tu ? Kwanini ?
Sasa natilia mashaka maandiko yako yote niliyo soma. Maana yaelekea unasikiliza story za upande mmoja tu.
Wimana,Mzee Mohammed huwa anasisimkwa sana pindipo apatapo habari za siasa zinazogusa dini yake. Hii mihemko ya siasa-dini ndio itasababisha anguko la heshima yake humu JF na nchini mwote, Mzee ame-specialize kwenye utetezi na uzengezi wa kidini mno kiasi cha kuamini kila jambo linalohusu uonevu dhidi ya dini yake kiwa wanasiasa/ watawala au dini nyingine.
Mzee MS, suala la dini ni suala binafsi mno, si wote wanaoitwa kwa jina la dini ni watu wa imani, sio kila aliyevaa kanzu ni mtu wa dini, sio kila mtu mwenye sigida ni mtu wa dini, wala sio kila mvaa rozali ni Mkatoliki!
Wiser1,udini si mzuri ndugu zangu! swala la kupotoshwa si geni machoni petu! pole mohamed said na polen wana JF.Tupendane
Kwa mtu unae aminika kama wewe nilitegemea ungefanya utafiti wako mwenyewe.Afrodenzi,
Kisa cha Jamal Yassin kilikuwa kimeenea kabla mimi sijakiandika.
Gazeti la Kiislam la An-Nuur ndiyo walikuwa wa kwanza kuchapa.
Sikuwa na wasiwasi wowote kuhusu habari ile.
Hilo kutulia shaka kazi zangu wala si kitu ni haki
kufanya hivyo hata kama nisingedanganywa na
huyu kijana.
Hopecomfort,Sasa kama hakua na uhakika alikua anabishana nini? Kwanini akufanya uchunguzi kwanza? ..ebu ona kawapotosha watu wangapi kwa kipindi hicho....watu wengine bwana
Kwa mtu unae aminika kama wewe nilitegemea ungefanya utafiti wako mwenyewe.
Hopefully umejifunza kitu kutokana na hili. Maana wewe unajulikana. Na wengi watasikitishwa na huu uandishi maana kwa sasa unaonekana kama uchonganishi.
Wacha uvivu wa kufikiri kijana ndugu muandishi Mohamed Said anaandika vitu kwa mifano ili wazi kbs ww unae sema mdini ebu tueleze kwa mifano ilo wazi kbs huo udini wake upo wapi khs ndugu Jamal yasin yupo hai picha zake zipo video zake zipo wakt wanafanya mahojiano nae khs udini upo wazi wazi katk nchi hii kuna mfumo katoliki wazi wazi kbs angalia viongozi mashirika yetu asilimia 96 ni dini upande mmoja vp upande wa pili ndio hatuna Elimu sio jaribu kuangalia swala Dk. DAU mlivyolichukulia vp khs Yule kamishina wa TRA naona kmy mpk leo
Una mawazo km yng mm nadhani kwa hali iliyopo ukiwa mwandishi unapoletewa habari Fanya uchunguzi kwanza kabla ya kuleta kwa jamii ikiwa ni ya uongo itakupunguzia uaminifu wako uliojiwekea.Mohamedi Said yaani jamaa alikupa story yake we ukaamua kuianika kwa uma bila kufanya uchunguzi wowote? ? Ulikubaliana nae tu ? Kwanini ?
Sasa natilia mashaka maandiko yako yote niliyo soma. Maana yaelekea unasikiliza story za upande mmoja tu.
Kumbe Mzee magu muislam ndio maana nasema wengi wenu mmejaaa chuki za kijinga juu waislamNyie waisilam kila kitu mnaonewa yaani hamuishi kulalamika hata kidogo.Utafikiri ni mtoto wa kambo mpendweje??Huo mfumo kristo upo wapi wakati Rais ni muisilam mwenzenu.??