Mohamed Said acha upotoshaji wa makusudi

Mohamed Said acha upotoshaji wa makusudi

Wacha uvivu wa kufikiri kijana ndugu muandishi Mohamed Said anaandika vitu kwa mifano ili wazi kbs ww unae sema mdini ebu tueleze kwa mifano ilo wazi kbs huo udini wake upo wapi khs ndugu Jamal yasin yupo hai picha zake zipo video zake zipo wakt wanafanya mahojiano nae khs udini upo wazi wazi katk nchi hii kuna mfumo katoliki wazi wazi kbs angalia viongozi mashirika yetu asilimia 96 ni dini upande mmoja vp upande wa pili ndio hatuna Elimu sio jaribu kuangalia swala Dk. DAU mlivyolichukulia vp khs Yule kamishina wa TRA naona kmy mpk leo

Umehemka kweli kweli!! Mpk matundu yako yote yanapwita pwita

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Jaribu kumuelewasha huyo ndugu singwa kwangu binafsi sioni uchochezi wwote toka ndugu Mohamed Said maana Siku zote anachoandika kina kuwa ushahidi kamili hlf ni darasa kwetu kujua tulikosea wapi mfano ipo mingi siwezi kumaliza hapa pole sna mzee wetu Mohamed Said naomba usichoke wala kuvunjika moyo ktk kutupa Elimu

Ukiwa mzee utakuja kua mpuliza pembe la msibani,fundi baiskeli,mpiga ramli au mganga wa kienyeji!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ukiwa mzee utakuja kua mpuliza pembe la msibani,fundi baiskeli,mpiga ramli au mganga wa kienyeji!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Matusi na kashifa zinatoka wapi sijui ila sawa wengine atajalelewa ktk malezi hayo ndugu yngu
 
Wanaopotosha Mapastor wako wanaojiita mitume na kula hela zenu kila jumapili. Acha kushoboka mtoto wakiume wewe utalambwa makalio mjini hapa.
We jamaa una akili ndogo kama zipu ya chupi!! Sadaka za masjid haziliwagi zile au kuna sehemu mnaendaga kumpa allah??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Miaka hiyo ya 1980 na 1990 nilikuwa napenda sana kusoma majarida ya Africa Events na Africa Now huku nikiamini habari zake. Sasa kama huyu mzee wetu MS alikuwa ni mmoja wa waandika makala basi wasomaji tulilishwa pumba nyingi sana bila kujua.
 
ms nakupa heko na hongera kwa kuwa muungwana wa kuomba radhi. naomba pia upite misikiti na pote alipopita huyo kijana usaidie kukanusha uongo wake.

mwsho kuwa muangalifu na habari za kupewa au kusikia tu.

ubarikiwe kwa jina la YESU.
 
ms nakupa heko na hongera kwa kuwa muungwana wa kuomba radhi. naomba pia upite misikiti na pote alipopita huyo kijana usaidie kukanusha uongo wake.

mwsho kuwa muangalifu na habari za kupewa au kusikia tu.

ubarikiwe kwa jina la YESU.
 
Wewe na Bwana Mohamed Said wote mnashindwa kutumia bongo zenu vizuri.
Ukristo na Uislam vyote ni dini walizotunga wehu wachache kuwa control nyie,yaani wamewaharibu mental faculties zote kila mmoja amuone mwenzie adui.
Mtatoleana maneno ya kijinga mpaka mtaanza kuuana,badala upiganie ustawi wa jamii yako na maendeleo yake kiafya na kiakili mnaishia kutetea doctrines walizotunga wanadamu kama wewe na mimi,wenye udhaifu wote wa kibinadamu wa ubinafsi na greedy,nk huku wanakudanganya wamemuona mungu na wametumwa nae kuja kuwafundisha na kuwatawala

Hebu teteeni wananchi wenu wanaokufa kila siku kwa magonjwa na uonevu,acheni kuendeshwa na vitu vya kufikirika,yaani kitabu kinakujaza imani mpaka unamchukia mwanadamu mwenzio na mwisho unadiriki hata kumuua kwa kigezo eti unampigania mungu wako,haya wanaweza fanya sokwe na wanyama tu.

Ma imani yote ya namna hii whether ni ukristo au uislam ni si za kuchukulia serious/literally.
It is honestly true bro LebronWade.
 
Kwa hili naomba nimtetee Mohammed Said

Kwanza kwa kukuri kwake kuwa amedanganywa, hapo ameonyesha uungwana mkubwa sana.

Pili, angelikaa kimya halafu mtu mwingine ndio akaja kugundua ile habari ya Mzee Mohammed Said ni ya uhongo, hapo ungeweza "kumshambulia" Mzee Mohammed Said kwa kuandika uhongo.

Tatu, sioni kosa au uhongo wa Mzee Mohammed Said.
Uhongo 'uongo'
 
ms nakupa heko na hongera kwa kuwa muungwana wa kuomba radhi. naomba pia upite misikiti na pote alipopita huyo kijana usaidie kukanusha uongo wake.

mwsho kuwa muangalifu na habari za kupewa au kusikia tu.

ubarikiwe kwa jina la YESU.
Stinariga,
Ahsante kwa ushauri lakini Jamal Yassin habari zake sasa
zishajulikana kwa Waislam.

Pitia post utaona magazeti yaliyoandika taarifa zake za utapeli.
Pia habari zake zimeenea kote kupitia mitandao ya kijamii.
 
Miaka hiyo ya 1980 na 1990 nilikuwa napenda sana kusoma majarida ya Africa Events na Africa Now huku nikiamiani habari zake. Sasa kama huyu mzee wetu MS alikuwa ni mmoja wa waandika makala basi wasomaji tulilishwa pumba nyingi sana bila kujua.
Nyaka-One,
Huna sababu ya kujitisha bure.
 
Mkuu nmetukana kwahasira ya ghafla kwa kuwa huyo jahideen uliyeandika stor yake anaonekana ni mtu hatar sana na anashirikiana kwa ukaribu kabisa na wale magaidi..

Unaposikia magaidi sio utani kama ambavyo humu kwenye hii forum watu wanavyochukulia rahisi wale ni magaidi kweli kias kwamba wasingeshughulikiwa ipasavyo Tz ingekuwaa kama Nigeria ni Vijana wenye umri mdogo lakn wanaongea mambo hatar na mazito.. Shukran sana zuwaendee watz wachache wenye mapenz na nchi yao ambao walishirikiana vyema na intelijensia ya polis..

Huyu mtu alikuelezea mambo mengi na ya siri zaid cha kujiuliza ni kuwa yeye kuyajua na kuyapata wapi???
Mgirik,
Suala la ugaidi Tanzania ni suala lenye utata mkubwa.

Serikali hadi leo haijaweza kuleta mahakamani ushahidi
kuwa lipo tatizo la ugaidi nchini.

Kesi mahakamani zimekosa ushahidi.

Binafsi nimetoa mada Chuo Kikuu Cha Ibadan kuhusu
ugaidi mada iliyopelekea mimi kujikuta katika matata
na Marekani na nchi yangu yenyewe.

Nakuwekea mada hii hapo chini usome upate kujua fikra
zangu kuhusu jambo hili:
Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
 
Huyu mzee ni mdini na mchonganishi mkubwa anapenda sana kutunga story za uongo..bla bla za mfumo kristo na upuuzi mwingine kama huo..taratibu ameanza kuumbuka
 
Back
Top Bottom