Mohamed Said acha upotoshaji wa makusudi

Mohamed Said acha upotoshaji wa makusudi

sasa we ulitaka tumtetee kitilya kama mnavyomtetea DR Dau, kwa sababu tu ni mwislam. suala la udin, ukabila nyerere aliutokomeza. ila ninyi hamuish chokochoko zenu. suala la mashirka mengi kuongozwa na wakristo huo cio udini, jaribu soma historia ya nchi ilivyo, utajua wakristo wengi walitangulia kupata hii formal education, sasa utawaondoaje ktk hilo. pili, sifa na vigezo huwa zinazingatiwa kabla ya uteuz, sasa watu wateue mtu kwa dini yake badala ya uwezo???

udin mnaousema cjui ni upi, utadhan Tanzania haijawah ongozwa na waislam?? ndg zangu hebu achanen na hizo propaganda cio nzyri indeed.
Hkn anae mtetea Dk Dau ila mahakama kazi yke nn sio maneno kanga kila Siku mafisadi na mijizi si tutaona ikifungwa uko mahakani na mingine nackia imekuwa mifagizi ktk hospital fulani uko sinza ila Dk Dau yupo kigamboni nyumbani kwake ametulia sio keko km jamaa fulani mtakatifu wala akuwa na kashifa za udini alivyokuwa kamishina wa TRA tuache fitina na chuki za kijinga
 
Hopecomfort,
Kisa cha Jamal Yassin kilikuwa kimeenea kabla mimi sijakiandika.
Gazeti la Kiislam la An-Nuur ndiyo walikuwa wa kwanza kuchapa.

Ndugu zangu hivi punde asubuhi hii nimezungumza na Sheikh Ali Mbaruk kuhusu Jamal Yassin.

Mazungumzo yetu yamechukua kiasi cha dakika 20.
Kanithibitishia kuwa Jamal ni tapeli wa kipaji cha juu sana.

Jamal si Mpemba bali ni Muha kutoka Kigoma na nduguze wamelithibitisha hilo mbele ya Imam Msikiti wa Chihota Sheikh Ali Mbaruk akiwepo.

Kufupisha...

Katika mahojiano alikimbia akaruka ukuta wa msikiti.
Akipigiwa wito wa "mwizi" akakimbizwa na kutiwa mkononi.

Alipata kipigo.

Waislam walimfikisha hospital kumtibu na kubwa walilofanya ni kuomba daktari amvue pampers ili waone kama kweli anavuja damu sehemu zake za siri.

Daktari alithibitisha kuwa hana athari yoyote.

Jamal alipelekwa hadi Mtambani na akaomba radhi.
Lakini zipo taarifa hivi sasa yuko Zanzibar anaendelea na utapeli wake.
Mzee Mohamed Said akuwai kubishana hopecomfort labda unieleze ni wapi alipobishana yy aliandika tu ktk blog yke nn kilimkuta yule kijana kumbuka pia kabla yke yy kuandika gazeti la al nuru pia lilikuandika habari huyu kijana so akuwa mashaka nae sna nafikiri makosa yalitokea ni kitu cha kawaida tu ila ukileta chuki zenu juu yke ambazo hazina sbb
 
At least Mohamned Said ameona kosa lake kuomba radhi. Ni uungwana wa hali ya juu sana. Si watu wote tuna mshipa wa kufanya hivyo.

Awe mwangalifu na tuhuma zake za mfumo kristo. Tuhuma zake nyingi ni kufikirika zaidi kuliko ukweli.
 
Mzee Mohamed Said akuwai kubishana hopecomfort labda unieleze ni wapi alipobishana yy aliandika tu ktk blog yke nn kilimkuta yule kijana kumbuka pia kabla yke yy kuandika gazeti la al nuru pia lilikuandika habari huyu kijana so akuwa mashaka nae sna nafikiri makosa yalitokea ni kitu cha kawaida tu ila ukileta chuki zenu juu yke ambazo hazina sbb
Wewe ni Mohammed saidi?
 
nashukuru huwa sizisomi izo ishu za kidini najua fika ni ukanjanja fulani tuu ivi..mifumo mifumo wanatengeneza tuu hadith za chuki baina ya watu..
 
udini si mzuri ndugu zangu! swala la kupotoshwa si geni machoni petu! pole mohamed said na polen wana JF.Tupendane
Watu wengine sijui wanaakili gani? wanaomba radhi CNN, BBC, all Jazeera n.k kwa vile kaomba Mohammed Said basi ni nongwa. Tusimvictimize MTU kwa vile alivyo au aina ya habari anazo andika.
 
Hopecomfort,
Kisa cha Jamal Yassin kilikuwa kimeenea kabla mimi sijakiandika.
Gazeti la Kiislam la An-Nuur ndiyo walikuwa wa kwanza kuchapa.

Ndugu zangu hivi punde asubuhi hii nimezungumza na Sheikh Ali Mbaruk kuhusu Jamal Yassin.

Mazungumzo yetu yamechukua kiasi cha dakika 20.
Kanithibitishia kuwa Jamal ni tapeli wa kipaji cha juu sana.

Jamal si Mpemba bali ni Muha kutoka Kigoma na nduguze wamelithibitisha hilo mbele ya Imam Msikiti wa Chihota Sheikh Ali Mbaruk akiwepo.

Kufupisha...

Katika mahojiano alikimbia akaruka ukuta wa msikiti.
Akipigiwa wito wa "mwizi" akakimbizwa na kutiwa mkononi.

Alipata kipigo.

Waislam walimfikisha hospital kumtibu na kubwa walilofanya ni kuomba daktari amvue pampers ili waone kama kweli anavuja damu sehemu zake za siri.

Daktari alithibitisha kuwa hana athari yoyote.

Jamal alipelekwa hadi Mtambani na akaomba radhi.
Lakini zipo taarifa hivi sasa yuko Zanzibar anaendelea na utapeli wake.
Pole sana mzee Mohamed kwani huyu tapeli hatari kakuletea usumbufu sana. Mwanaume mzima kabisa wa afya anavaa hadi diapers kufanikisha utapeli hadi kupelekea kupapaswa makalio yake na madaktari ili kuvuliwa hizo diapers!
 
Ni kweli kabisa mkuu, anatunga story za kuunga unga halafu anakuja kuaminisha umma kuwa ni historia zilizotukuka za kupambana na mfumo kristo
Basi huyo Jamal atakuwa ana uhusiano na ugaidi, ndio maana anajaribu kudhoofisha juhudi za vyombo vya dola kuukabili ugaidi.
 
Mzee Mohammed huwa anasisimkwa sana pindipo apatapo habari za siasa zinazogusa dini yake. Hii mihemko ya siasa-dini ndio itasababisha anguko la heshima yake humu JF na nchini mwote, Mzee ame-specialize kwenye utetezi na uzengezi wa kidini mno kiasi cha kuamini kila jambo linalohusu uonevu dhidi ya dini yake kiwa wanasiasa/ watawala au dini nyingine.

Mzee MS, suala la dini ni suala binafsi mno, si wote wanaoitwa kwa jina la dini ni watu wa imani, sio kila aliyevaa kanzu ni mtu wa dini, sio kila mtu mwenye sigida ni mtu wa dini, wala sio kila mvaa rozali ni Mkatoliki!
Sina uhakika kama hili analijua huyu mzee,ana mihemko balaa

Watu tulimshauri kama huyo Jamal Yasin si mhalifu basi anachostahili ni kufungua kesi ya madai maana ameshadhurika na hiyo kukojoa damu na kupiga sindano ya 27,000 Kila siku ni gharama kubwa, msaada ni kufungua kesi ili hizi gharama na madhara ziwe replaced. AKAKATAA katakata,yeye akang'ang'ania kwenye hela ya sindano tu

Hapo hata mwenye akili ndogo lazima ashtuke tu, mtu ana njaa anakuomba hela ya kula unampeleka hoteli umnunulie msosi anakataa anataka hela tu akajinunulie mwenyewe, hushtuki?
 
Sioni shida ya mwandishi, alidanganywa kama vile kila mtu anaweza kudanganywa na mtu anaemuaminj.

Media kibao zinatoa habari za kudanganywa au kudanganya na kesho yake zinaomba radhi maisha yanaenda.

Wanasiasa wanatudanganya kila siku na tunakubali na hawaji kukanusha sembuse huyo kakanusha na kukubali kosa.

Miaka kmichache iliyopita media zilidanganywa tyson kabadili jinsia zikadanganyika,juzi hapa kulikua na uongo kua el chapo guzman kabla hajakamatwa alimtumia meseji mkuu wa isis kumtisha, media zikadanganywa na kudanganyika.

Mwandiashi hana kosa, angekua kadanganya yeye binafsi kwa kutunga kisha aje akane hapo angekuaa hana akili, kwa kua kamhoji mtu, ni maelezo ya uongo ya mtu haina shida.
 
Jaribu kumuelewasha huyo ndugu singwa kwangu binafsi sioni uchochezi wwote toka ndugu Mohamed Said maana Siku zote anachoandika kina kuwa ushahidi kamili hlf ni darasa kwetu kujua tulikosea wapi mfano ipo mingi siwezi kumaliza hapa pole sna mzee wetu Mohamed Said naomba usichoke wala kuvunjika moyo ktk kutupa Elimu
Haya umejuzwa na uongo sasa!! Au unataka kuendelea kuamin habar za Abunuasi bas endelea kushikiria uongo maana unaambiwa amepotosha unatetea
 
asigwa angelimPM Mohammed Said kabla ya kuleta huu uzi. Kwasababu Mohammed Said kishakubali kosa sasa ya nini kuja na uzi huu? ikisha kusema kama ni mdini. Hoja aliekosea ameshalikubali kosa lake. Huyu asigwa anapendaga mambo ya mabishano ya Waislam na Wakristo ndio maana akaja na ujinga wake huu.
Mohamed Said mada zake nyingi zimejaa mihemko ya Udini.Nilishawahi kumwambia hili siku nyingi wakati anajadili kuhusu Wazee wake wa kariakoo na Uhuru wa Tanganyika bila kumsahau Padre wake Sivallon.Huyu mzee ni mpotoshaji na inabidi aanzishe uzi humu wa kutuomba radhi wakati tunaendelea na taratibu za kumuumbua kuhusu hadithi zake nyingine alizokuwa akidanganya watu.Mimi naamini Mungu huwa hamfichi Mnafiki.
 
Mzee Mohammed huwa anasisimkwa sana pindipo apatapo habari za siasa zinazogusa dini yake. Hii mihemko ya siasa-dini ndio itasababisha anguko la heshima yake humu JF na nchini mwote, Mzee ame-specialize kwenye utetezi na uzengezi wa kidini mno kiasi cha kuamini kila jambo linalohusu uonevu dhidi ya dini yake kiwa wanasiasa/ watawala au dini nyingine.

Mzee MS, suala la dini ni suala binafsi mno, si wote wanaoitwa kwa jina la dini ni watu wa imani, sio kila aliyevaa kanzu ni mtu wa dini, sio kila mtu mwenye sigida ni mtu wa dini, wala sio kila mvaa rozali ni Mkatoliki!
Na Ndio Maana Huyo Tapeli Akapata Namna Ya Kumpenya
 
Mgirik,
Hapana haja ya kunitukana.
Ikiwa una hoja ieleze tu kwa ustaarabu na adabu ili nikujibu.

Ikiwa unanitukana nitashindwa kukujibu labda na mimi kama
wewe nirejeshe matusi kwako.

Hilo mimi siliwezi.
Mkuu nmetukana kwahasira ya ghafla kwa kuwa huyo jahideen uliyeandika stor yake anaonekana ni mtu hatar sana na anashirikiana kwa ukaribu kabisa na wale magaidi..

Unaposikia magaidi sio utani kama ambavyo humu kwenye hii forum watu wanavyochukulia rahisi wale ni magaidi kweli kias kwamba wasingeshughulikiwa ipasavyo Tz ingekuwaa kama Nigeria ni Vijana wenye umri mdogo lakn wanaongea mambo hatar na mazito.. Shukran sana zuwaendee watz wachache wenye mapenz na nchi yao ambao walishirikiana vyema na intelijensia ya polis..

Huyu mtu alikuelezea mambo mengi na ya siri zaid cha kujiuliza ni kuwa yeye kuyajua na kuyapata wapi???
 
Mwenzetu huyu humu JF anayejiita mwandishi aliyetukuka Bwana Mohamed Said amekuwa akianzisha nyuzi nyingi sana humu kueleza kile anachokiita historia iliyofichwa kwa makusudi na serikali kwa kushirikiana na kanisa la Tanzania ili kufanikisha kile anachokiita Mfumo Kristo.

Akaenda mbali zaidi kwa kushirikiana na mwenzie anayeitwa Ustadhi Jamal Yassin kutunga story ya mpemba mmoja aliyetekwa na kuteswa sana na kubambikiwa kesi ya Ugaidi na jeshi la polisi kwa kushinikizwa na mabosi wa kanisa kama moja ya ajenda za "mfumo Kristo"

Leo story ile imegundulika ni ya uongo na ilipikwa na yeye mwenyewe Mohammed Said kwa kushirikiana na nduguye huyo Jamal Yassin na cha ajabu kamruka mwenzie mita 100 kwa kumuita tapeli kubwa la kimataifa.

Mohamed Said tafuta namna nyingine ya kueneza propaganda zako chafu dhidi ya Ukristo sio hii maana imepwaya .
Lakini pia acha kutunga story za kupotosha ukiwaaminisha vijana waliozaliwa miaka ya karibuni kuwa unatoa historia iliyofichwa na serikali kwa baraka za mabosi wa "Mfumo Kristo"

Uzi wenyewe huu hapa: Jamal Yassin: Nilikamatwa, nikawekwa rumande, nikateswa na nikashutumiwa gaidi
DSCN0389.JPG

Leo kakanusha hivi:

2016%2B-%2B1

Na kwa maneno yake kaandika hivi kwenye blog yake:

"Tarehe 17 February 2016 niliweka katika hii blog habari za Jamal Yassin nikieleza kuwa alikamatwa na polisi kwa tuhuma za ugaidi na akafanyiwa unyama mkubwa usioelezeka ambao ulisababisha yeye baada ya kuachiwa kutokwa na damu sehemu zake za siri mbele na nyuma. Kwa masikitiko makubwa sana napenda kusema kuwa imedhihirika kuwa hayo yote aliyoeleza na mimi kuyatangaza ni habari za uongo. Jamal Yassin imedhihirika ni tapeli mwenye kipaji cha juu cha udanganyifu. Naomba radhi kwa wote."

Unaweza kusoma vizuri kanusho lake hapa : Mohamed Said
Wewe na Bwana Mohamed Said wote mnashindwa kutumia bongo zenu vizuri.
Ukristo na Uislam vyote ni dini walizotunga wehu wachache kuwa control nyie,yaani wamewaharibu mental faculties zote kila mmoja amuone mwenzie adui.
Mtatoleana maneno ya kijinga mpaka mtaanza kuuana,badala upiganie ustawi wa jamii yako na maendeleo yake kiafya na kiakili mnaishia kutetea doctrines walizotunga wanadamu kama wewe na mimi,wenye udhaifu wote wa kibinadamu wa ubinafsi na greedy,nk huku wanakudanganya wamemuona mungu na wametumwa nae kuja kuwafundisha na kuwatawala

Hebu teteeni wananchi wenu wanaokufa kila siku kwa magonjwa na uonevu,acheni kuendeshwa na vitu vya kufikirika,yaani kitabu kinakujaza imani mpaka unamchukia mwanadamu mwenzio na mwisho unadiriki hata kumuua kwa kigezo eti unampigania mungu wako,haya wanaweza fanya sokwe na wanyama tu.

Ma imani yote ya namna hii whether ni ukristo au uislam ni si za kuchukulia serious/literally.
 
Wanaopotosha Mapastor wako wanaojiita mitume na kula hela zenu kila jumapili. Acha kushoboka mtoto wakiume wewe utalambwa makalio mjini hapa.
Acha kudharau Mitume wewe.Hawa watu wana nguvu,Ushawishi na wafuasi wengi kiasi kwamba wengine wameamua kuwa Magaidi kwa kisingizio cha kufuata hadith za Mtume.
 
Haya umejuzwa na uongo sasa!! Au unataka kuendelea kuamin habar za Abunuasi bas endelea kushikiria uongo maana unaambiwa amepotosha unatetea
Hkn uongo hata tufanye ndio uongo nani muongo kwa kkusaidia ni tu muongo ni yasin Jamal hlf nakushauri tu jaribu kufatilia mashirika makubwa mara ngapi yamekuwa yakiomba radhi kwa habari ambazo imekosea au shirika kupotoshwa na fatilia CNN BBC HATA ITV TBC STAR TIME
 
Back
Top Bottom