Mohamed Mpakanjia is no more!

Tokea huu ugonjwa umeingia ulishawahi kwenda kuzika wakatakangaza kuwa huyu marehemu amekufa kwa UKIMWI? kweli hapa TZ hiyo ipo kweli? madaktari ndo chanzo cha huu ugonjwa, au na sisi tunachangia kwa kutokueleza ukweli.
 
ingia katika SCIENCE JOURNAL,alaafu search,first person to have aids
Nadhani suala hapa siyo nani alikuwa mgonjwa wa kwanza wa UKimwi duniani, bali kwa hapa Tanzania ukimwi uliingiaje. Kama ndivyo, kauli ya FL ni sahihi kwamba Ukimwi uliingia Tanzania ukitokea Uganda kupitia mkoa wa Kagera.
 
Hivi wewe unaweza kuoa sasa hivi bila kupima?? jamani hii ni aibu Member wa JF!! bado tuko nyuma hivi??
 
Kwanini tusiweke thread nzima na kuzungumza UKIMWI?
 
kama ninayoyasikia hapa ni ya kweli, hivi hawakujuwa kama wao wako hivyo mpaka wakaamua kuzaa.
Vitu vingine huwezi kuviweka hapa wazi! marehemu Amina alipozaa walimkataza asinyonyeshe, kwa hizo dalili! sasa hivi ukiwa mjamzito huwezi kukwepa kupima..........n.k"
 
Tokea huu ugonjwa umeingia ulishawahi kwenda kuzika wakatakangaza kuwa huyu marehemu amekufa kwa UKIMWI? kweli hapa TZ hiyo ipo kweli? madaktari ndo chanzo cha huu ugonjwa, au na sisi tunachangia kwa kutokueleza ukweli.
time will tell...
 
Pengine ni kwa sababu ukimwi huwa hauui,ni Upungufu wa kinga mwilini.Kinachoua ni magonjwa nyemelezi kama nimonia,malaria na mengine.Ndio maana huwa hawatangazi may be.
 
Pengine ni kwa sababu ukimwi huwa hauui,ni Upungufu wa kinga mwilini.Kinachoua ni magonjwa nyemelezi kama nimonia,malaria na mengine.Ndio maana huwa hawatangazi may be.
Hapana hii scenario ni kufanya sababu ya kutokutangaza wawe tu wanasema kifo kimesababishwa na HIV .
 
Mkuu kama unayosema ni kweli kabisa, yaani kama ndio sayansi yenyewe, umenimaliza nguvu kabisa! Hizi ARV mi nilidhani zimeshaleta matumaini makubwa sana, naona watu wakiendelea na maisha yao na kutunza familia zao vizuri tu huku wakiendelea na shughuli zao za kiuchumi vizuri. Lakini kama ndio 'silent killer' ya kihivyo, naona ni balaa kabisa! Au labda jamaa alikuwa hazingatii dawa bana, mbona jamaa wengine kibao wako fresh tu?

Wajua nilishaelewa kuwa mtu akiwa kwenye hizo ARV basi ni 'life as usual', mradi tu akumbuke dozi yake daily, mambo ya check ups kwa physician wake mara kwa mara, awe active, mambo ya sports nk, ndivyo ninavyoona wengine wakiishi.
 
wewe margreth,sema gonjwa la ukimwi lipo nchini sio lilingilia tanzania kupitia kashenye,kanyigo hayo yote what for,hili si darasa la historia,for you information mgonjwa wa kwanza wa ukimwi was in 1956,baharia wa kimarekani.
Alaska,

Nimekuelewa, lakini kwenye JF hatuingii kusoma juu juu au kupitisha macho kama unavyodhani. Hapa wengine tunakuja kujifunza, kuhabarishwa, kuelimishwa n.k. Kwahiyo usitake mimi nielewe kwa jinsi wewe unataka!!!

Ndo maana unakuta wengi waliopo wanaleta vitu vingi vya udaku na kujikuta mnalalama kukicha.
 
Pneumocystis Carinii pneumonia PCP wanasababishwa na aina fulani ya fungus waitwao pneumocystis carinii,

Na dawa zake zinakuwaga Septrin
Trimethoprim na Sulfamethoxazole , Bactrim , Septra

Ila ndugu yangu Pneumonia hii kidogo ni ngumu katika kutibika ukilinganisha na Pneumonia inayosababishwa na Bacteria .
Muombe mungu akuepushie hii kwani ni ya haraka zaidi.
 
Last edited:
Ndo maana kocha wa zamani wa yanga na mhadhiri wa udsm yupo fiti mpaka kesho
 
Vp mazishi bado wakuu maana mida ndo inayoyoma?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…