Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
sasa bora uwe na mke mmoja au mpenzi mmoja na muwe waaminifu,Condom inapunguza tu maambukuzi na siyo kinga asilimia Mia.
Ni bora kuliko nyama kwa nyama...!
sasa bora uwe na mke mmoja au mpenzi mmoja na muwe waaminifu,Condom inapunguza tu maambukuzi na siyo kinga asilimia Mia.
I am a new member to Jamii Forum, naamini nimefanya maamuzi sahihi kujiunga na sitajuta. ninfurahi kubadilishana mawazo na wanajamii wenzangu.
sasa bora uwe na mke mmoja au mpenzi mmoja na muwe waaminifu,Condom inapunguza tu maambukuzi na siyo kinga asilimia Mia.
Kwa si maustadhi mwisho wa ngapi? Mi naweka katika himaya yangu wa 4 ladha tofauti.
Hakuna mtu anaechekelea kifo hasa kisicho kuhusu unless huyo mtu kuulia mama yako au mtu wa karibu kwa kukusudia ingawa utapata tuu mixed feelings hapo, nasema hivo sbb naona ni vema tukiongelea hivi hizi tabua mbaya za kuambukiza au kutokuwa mtulivu enzi za uhai ili kila mtu ajifunze toka hapo,
tz kuna uchafu wa ngono mwingi sana na usipo kuwa mtu wa ngono unaonekana mshamba sana sasa kama hapa tunapigana vita ya mafisadi kwann tusipigani vita vya UKIMWI na hali unatumaliza???
huku mahospitalini hapafai, huko kinamwananyamala hospt ukienda hutaamini utayayo yaona utanyooka tabis tuu lzm, tuongelee kwa uwazi UKIMWI ili kuokoa maisha, ili kupigana na gonjwa hili
Nawakilisha
Mkuu Ochu zinakwepeka kama utaamua na ukadhamiria. Vinginevyo kama mtu hujafanya maamuzi jua siku moja utaingia ndani ya mduara tu ,it is like a vicious cirle!!! Ni kutafuta kila namna kujizuia kuingia ndani yake. Kama mpaka sasa hujainiga basi apa kuwa hutaingia kwa njia tulizozoea bali kwa bahati mbaya kama ajali ukikuta damu zimeingiliana, sindano, n.k. Vinginevyo stick to your relationship basi!!!! Je hii haiwezekani mkuu?? Tatizo kila bucha unataka ununue nyama, utayamaliza??
Inawezekana, play your part!! Na usisahamu kuzungumzia mambo haya hata ndani ya familia yako au yule mpendaye, iwe is always a sub-topic mnapokutana!!!
Rest in Peace Med wa Mpakanjia.
Wanandoa wanaongoza nadhani kwa sasa wamezoea peku na wenza wao hivyo wakitoka nje condom hawaziwezi.Maane,
Huu ugonjwa hautabiriki! Nina kitabu cha takwimu kabisa hapa nilipo, takwimu zinaonyesha kuwa Wanandoa (Baba + Mama) ndo wanaoongoza kwa kupata maambukizi haya ya Ukimwi kwa walio wengi! hawa viruka njia wengi wanatumia kondom! hapo upo!
wewe margreth,sema gonjwa la ukimwi lipo nchini sio lilingilia tanzania kupitia kashenye,kanyigo hayo yote what for,hili si darasa la historia,for you information mgonjwa wa kwanza wa ukimwi was in 1956,baharia wa kimarekani.
for you information mgonjwa wa kwanza wa ukimwi was in 1956,baharia wa kimarekani.
HIV was first isolated in 1983 separately by the Robert Gallo lab at the
U.S. National Institutes of Health and Luc Montagnier lab at France's
Pasteur Institute
huyu naye,naona ana KEYBOARD THUMPING SYNDROMEwewe mhaya kabisa jamani penye ukweli usemwe hata kama unauma
kuna maiti ilikuwa exhumed for other checks,not long ago na hey presto wakagundua huyu mtu unknown to them at that time had succumbed to aidsHabari za kwenye vijiwe vya kahawa...naomba source mkuu....unajua lini wewe HIV virus was isolated?
Hiyo 1956 ni habari za kwenye mabao na draft
kuna maiti ilikuwa exhumed for other checks,not long ago na hey presto wakagundua huyu mtu unknown to them at that time had succumbed to aids