William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Well, nadhani huhitaji heshima yangu maana ninavyokumbuka wakati wote nimekuwa critic wako lakini kwa kuwa nakutambua na kukuheshimu wakati wote nimekuwa nakufanyia constructive criticism. Nionyeshe ni wapi niliwahi kukufanyia personal attacks hata nilipokuwa natumia Tanzanianjema ambalo kamwe halikuwa anonymous kwa mtu yeyote anijuaye.....Na wala sikujificha na kutumia majina kibao
Hata hivyo kama unataka personal attacks ulizokubuhu nazo....bring it on....
Najijua mwenyewe kwani nimetambua hatma yangu siku nyingi sana na ninaishi nayo tangia wakati huo.....sijakumbuka shuka kumekuchwa. And believe me I might be respecting you but kitu fear for anybody or anything hakipo kwenye vocabulary yangu
omarilyas

Mkuu kama unayosema ni kweli kabisa, yaani kama ndio sayansi yenyewe, umenimaliza nguvu kabisa! Hizi ARV mi nilidhani zimeshaleta matumaini makubwa sana, naona watu wakiendelea na maisha yao na kutunza familia zao vizuri tu huku wakiendelea na shughuli zao za kiuchumi vizuri. Lakini kama ndio 'silent killer' ya kihivyo, naona ni balaa kabisa! Au labda jamaa alikuwa hazingatii dawa bana, mbona jamaa wengine kibao wako fresh tu?
Wajua nilishaelewa kuwa mtu akiwa kwenye hizo ARV basi ni 'life as usual', mradi tu akumbuke dozi yake daily, mambo ya check ups kwa physician wake mara kwa mara, awe active, mambo ya sports nk, ndivyo ninavyoona wengine wakiishi.
Nakuonea huruma maana inaelekea hujui hata umri wa mtoto wa AMINA na MPAKANJIA uliyekuwa unamchimba hapa.....
Yakwenu katika familia zenu yamejaa na kuwashinda mnabaki kujidanganya kwa kushabikia, kufitinisha na kufisadisha familia za wengine....na huo ndio ufedhuli....
omarilyas
Rip
mcutway
Mkuu ARV kweli zina matumaini makubwa ila kwa kifupi ni lazima uwahi kutumia na si katika advanced stage ya ugonjwa.
Kuwekana sawa, ART huwa hazitolewi kwa mtu anapogundua tu ni HIV + wewe unakokuita kuwahi...ART zina madhara makubwa sana kwa mtumiaji, kwenye figo, maini namapafu, subcutenous fats etc etc..usipokuwa makini zinaweza kukuuwa mapema hata kabla ya AIDS. WHO (shirika la Afya Duniani) limeweka taratibu za kufutaKama utawahi ARV na kuzingatia masharti yake utaishi kwa muda mrefu (ndiyo maana wanaita ni dawa za kurefusha maisha)
Kuwekana sawa, ART huwa hazitolewi kwa mtu anapogundua tu ni HIV + wewe unakokuita kuwahi...ART zina madhara makubwa sana kwa mtumiaji, kwenye figo, maini namapafu, subcutenous fats etc etc..usipokuwa makini zinaweza kukuuwa mapema hata kabla ya AIDS. WHO (shirika la Afya Duniani) limeweka taratibu za kufuta
The optimum time to commence ART is before patients become unwell or present with their first opportunistic infection. Immunological monitoring (CD4 testing) is the ideal way to approach this situation. A baseline CD4 cell count not only guides the decision on when to initiate ART but is also essential if CD4 counts are to be used to monitor ART.
CD4 Criteria for Initiation of ART
a -CD4 cell count should be measured after stabilization of any intercurrent condition.
- CD4 <200: Treat regardless of clinical stage
- CD4 200-350: Treat if WHO stage III or pregnancy
- CD4 >350: Treat if >1 stage III sign or repeated stage III conditions. For others, monitor and consider ART based on clinical or immunologic deterioration. Always start before CD4 decreases to <200.
- Measure CD4 after stabilization of any intercurrent illness.
b - CD4 cell count supplements clinical assessment and should therefore be used in combination with clinical staging in decision-making.
c - A drop in the CD4 cell count below 200 cells/mm 3 is associated with a significant increase in opportunistic infections and death.
d - The initiation of ART is recommended for all patients with any WHO clinical stage 4 disease and some WHO clinical stage 3 conditions, notably pulmonary TB and severe bacterial infections.
e - The initiation of ART is recommended in all HIV-infected pregnant women with WHO clinical stage 3 disease and CD4<350 cells/mm 3
Vipi yule dogo wa Chadema nasikia alikuwa anamega mke wa Meddy hebu aje atuambia kama ni uzushi.
Listi ni nene Kabonde, na hata alipopita Marehemu Mpakanjia hasa kwa wasanii wa maigizo na celebrity wa hapo mjini acha kabisa!
Wakuu acheni hizi bana.. bahati nzuri nawafahamu personally, I believe you are all better than this.Maana kila mtu humu ndani akiamua kwenda personal na mwenzake anayemjua kutakua hakufai tena....
Masanilo nasikia huu ugonjwa kwa wenzetu wazungu wamefanikiwa kuudhibiti na si tishio au sababu ya vifoo vingi kama ilivyo huku kwetu Africa.
Ni sababu zipi haswa nchi za ulaya na usa zilizopelekea kudhibiti maambukizi mapya.
give me time ngoja nipekue
Nakupa jibu lepesi
Kuna aina mbili za HIV, HIV-1 and HIV-2, huenezwa zaidi na sexual contacts, both cause clinically indistinguishable AIDS. HIV-2 is less easily transmitted, and the period between initial infection and illness is longer in the case of HIV-2. HIV-1 huenezwa kwa wepesi na progression to AIDS iko faster. Wazungu wana zaidi HIV-2.
Sasa hata kwenye HIV-1 ina magroup 4 (M, N, O, P)
M ina subtype kama 10 (A-H) A D C ziko Africa na ni hatari sana ! Lakini B iko less virulent na iko ulaya na marekani.
Hizi ndizo sababu.
NB Dawa zote (ART) zilitengenezwa kwa subtype B waliko wazungu na baadaye zikaletwa kutumika kwa waafrica wenye subtype A D and C, ndiyo maana huwa naawaambia watu ART is not a solution. Tuache ngono zetu, tumia condom
Masa
- Duh! Mkulu Masa, great thinker kumbe wamo! Ee bwana umeniacha hoi sana, hii ndio tunaita great thinking, saaafi sana mkuu for once nimekukubali ingawa tuendelee kutokubaliana kwa mengine kama kawa!
Respect darasa zito sana hilo, weka elimu hapa bro!
Kamanda FMEs!