Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

Wakuu mnatisha kwa kupekua nyeti za vigogo.

Nauliza tuu jamani yule mama etu wa UN hajambo kweli?

Why can't you just call a spade a spade. You go all the way to call it a soil-redistribution implement.
 
Mtu akishakufa hata yakiongelewa sasa hivi hamsaidii,
Mngemwambia akiwa hai kwani mlikuwa hamuoni kwamba ni kicheche,
kila mtu atakufa ye amekufa wala hajaugua muda mrefu, hamjui haya maneno yanawaumiza ndugu wa marehemu wakija kuyasoma

kila nafsi itaonja mauti

nia na madhumuni ya kuongelea ni kuwasaidia wale waliokuwa hai...
hata tungemwambia kabla hajafa isingemsaidia kwa ajili alikuwa ameathirika tiyari, ni vizuri kuliongelea sasa hivi kuwasaidia watu ambao hawajaathirika
 
nia na madhumuni ya kuongelea ni kuwasaidia wale waliokuwa hai...
hata tungemwambia kabla hajafa isingemsaidia kwa ajili alikuwa ameathirika tiyari, ni vizuri kuliongelea sasa hivi kuwasaidia watu ambao hawajaathirika

Nimejifunza sana kwenye hii mada! loo tujifunze kuwa wakweli tuache unafiki....mtu akifa wanapenda kuongelea mazuri, waliobaki lazima wajifunze yote toka kwa marehemu.
 
nia na madhumuni ya kuongelea ni kuwasaidia wale waliokuwa hai...
hata tungemwambia kabla hajafa isingemsaidia kwa ajili alikuwa ameathirika tiyari, ni vizuri kuliongelea sasa hivi kuwasaidia watu ambao hawajaathirika

hili suala la UKIMWI ni gumu sana, ukipita huko vichochoroni utaona jamii yetu inatukuza sana hili suala la ngono, na tena ngono isiyosalama. bado kuna vijana/wazee wengi wanajisifu kutongoza na kubadilisha wanawake. nenda kwenye night clubs hali ni mbaya sana.
Mzee Mwinyi alishasema kuwa gonjwa hili lipo pabaya, yes ni tatizo kubwa. na kampeni za kutokomeza bado hazijafanikiwa sana pamoja na kuwa kuna NGOs kibao.
naungana na wachangiaji wengine kuwa kkuwepo na thread nyingine za kujadiliana kuhusu tatizo hili
 
RIP Meddy Mpakanjia.
mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehma alikupenda zaidi.
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki.

Vipi yule dogo wa Chadema nasikia alikuwa anamega mke wa Meddy hebu aje atuambia kama ni uzushi.

Naona hadi sasa hv bado hajatupa ukweli au kama kuna mwenye data zake azidondoshe hapa ndani.
 
tupo pamoja, ila nyie wanaume ndio muanze kuwa wagumu. Ukiona paja au chuchu wewe uchune tu kana kwamba hujaona.

Na nyie madada msidanganyike kirahisi. Mtazama paja/chuchu hana madhara mpaka hapo mwenye mali atoe. Hii ishu ni serious na ni both ways so kusema mwanaume afanye hivi ni makosa kama wanawake nao hawata timiza wajibu wao. Siyo lazima ukitongozwa ukubali. We all have our part to play and if one does not play his/her side it affects the efforts of all of us.
 
tupo pamoja, ila nyie wanaume ndio muanze kuwa wagumu. Ukiona paja au chuchu wewe uchune tu kana kwamba hujaona.

Pretty:

Kuna mambo mengi tu yanayochangia. Na mawazo yako kuhusu wanaume wafanye nini ni sehemu ndogo tu ya big picture.

Kuna masuala ya mila na utamaduni potofu. Kwa mfano kuna wafanya biashara wanaopanga bei. Kama kwa ndomu ni 500, basi kavukavu ni 1000. Je kuna ujasiri gani.

Kuna wasiojikia raha bila ya ndomu. Kuna kipindi nilikuwa Muhimbili na daktari mmoja akasema hawezi kuoga akiwa amevaa koti.

Tunatakiwa vilevile kuendeleza interests mbalimbali katika maisha yetu. Routines zetu zimezunguka kwenye starehe, unywaji, kazi na ngono. Kuna mambo mengi ya kupoteza muda na kufurahia maisha. Poteza muda makanisani au misikitini, nenda kapande mlima Kilimanjaro, nenda kaogelee bichi, tunga kitabu, soma magazeti, run marathon
 
Ninacho jiuliza ni kwamba kama huyu mtu alikua nao ni lazima ata kua alijua hali yake(siyo rahisi siku hizi mtu uambukizwe mpaka ufe na usijue unao). Sasa kama alikua anajua hali yake kwa nini alioa? Na huyo mwanamke aliye kubali kuolewa bila kwenda kupima ana jipenda kweli?
 
nia na madhumuni ya kuongelea ni kuwasaidia wale waliokuwa hai...
hata tungemwambia kabla hajafa isingemsaidia kwa ajili alikuwa ameathirika tiyari, ni vizuri kuliongelea sasa hivi kuwasaidia watu ambao hawajaathirika

Tatizo hata upige kelele haisaidii ni sawa na kumpigia ngoma kiziwi. Kwani wale waliokuwa wanafuata magari mekundu walikuwa hawajui kama jamaa ana ngoma? Wako wanasema hawawezi kufa na njaa leo kwa kuogopa gonjwa litakalowaua miaka 10 au zaidi ijayo!
 
I am a new member to Jamii Forum, naamini nimefanya maamuzi sahihi kujiunga na sitajuta. ninfurahi kubadilishana mawazo na wanajamii wenzangu.

Karibu sana Mukani ingawa umeingilia toka juu ya paa. Kuna mlango wa kuingilia kama mgeni. Lakini si mbaya karibu sana hapa tuna msiba. Usishangae uko msibani watu hapa wanaongelea mambo ambayo usingekaa uyasikie kwenye misiba mingine yeyote. Nakuhakikishia hutajuta kujiunga hapa kijiweni bali utajuta kwanini ulichelewa kujiunga.

Heh!! Shapu tuna msiba bwana acha kutuchekesha!
 
Wakuu naombeni list ya huyu jamaa si mnajua naoa 2012 nataka nianze kujiridhisha mapemaa.
 
Nakupa jibu lepesi

Kuna aina mbili za HIV, HIV-1 and HIV-2, huenezwa zaidi na sexual contacts, both cause clinically indistinguishable AIDS. HIV-2 is less easily transmitted, and the period between initial infection and illness is longer in the case of HIV-2. HIV-1 huenezwa kwa wepesi na progression to AIDS iko faster. Wazungu wana zaidi HIV-2.

Sasa hata kwenye HIV-1 ina magroup 4 (M, N, O, P)

M ina subtype kama 10 (A-H) A D C ziko Africa na ni hatari sana ! Lakini B iko less virulent na iko ulaya na marekani.

subtypes.jpg


Hizi ndizo sababu.

NB Dawa zote (ART) zilitengenezwa kwa subtype B waliko wazungu na baadaye zikaletwa kutumika kwa waafrica wenye subtype A D and C, ndiyo maana huwa naawaambia watu ART is not a solution. Tuache ngono zetu, tumia condom

Masa

''Mzee wa Kyela'',

Respect kwa nondo nzito hapo juu!
 
Hivi hizi statements:

mungu amuweke mahali pema MM

May the almight God Rest him in eternal Piece

Mola ampumzihe kwa amani
etc etc

Maana yake ni nini hasa? Huoni hapo pia ni kutoa hukumu?? Na kimsingi tunakubaliana anayetoa hukumu ni Mwenyezi Mungu! So unaposema rest in piece ina maana huyu umeshamhukumu kwamba alikuwa mwema so akapumzishwe na Muumba kwa amani.

Tafakari!
 
Last edited:
Back
Top Bottom