Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

mungu amuweke mahali pema MM

JojiPoji Mungu atamwekaje mahali pema !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Huwezi kuwa mwaribifu alafu utegemee Mungu akuweke mahali pema.Sijui huu ni utamaduni wa kitanzania kuwasifia marehemu ilihali inafahamika matendo wakati wa uhai wao yalikuwa mabaya.

Tumwachie Mungu afanyekazi yake kwani misahafu yote [Quran & Bible] inasema wazi bila kificho mahali wanapokwenda wazinifu,majambazi,malaya,waeneza ukwimi kwa maksudi na wahuni ni moto wa milele.

Najua watakuja washabiki watadai si vyema kuwasema marehemu vibaya lakini ukweli lazima usemwe hata kama utawaumiza ndugu wa marehemu.
Mshahara wa dhambi ni mauti.Meddy aliutumia umaarufu wake vibaya na alistahili kufa.
 
Hapa sie wanadamu ni ngumu sana kujua ukweli,lakni inawezakana dakika ya mwisho alitubu madhambi na Mungu akamsamehe na sasa ni mtakatifu Mohamedi! Haya mambo kweli magumu tumwachie Mungu ahukumu
 
JojiPoji Mungu atamwekaje mahali pema !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Huwezi kuwa mwaribifu alafu utegemee Mungu akuweke mahali pema.Sijui huu ni utamaduni wa kitanzania kuwasifia marehemu ilihali inafahamika matendo wakati wa uhai wao yalikuwa mabaya.

Tumwachie Mungu afanyekazi yake kwani misahafu yote [Quran & Bible] inasema wazi bila kificho mahali wanapokwenda wazinifu,majambazi,malaya,waeneza ukwimi kwa maksudi na wahuni ni moto wa milele.

Najua watakuja washabiki watadai si vyema kuwasema marehemu vibaya lakini ukweli lazima usemwe hata kama utawaumiza ndugu wa marehemu.
Mshahara wa dhambi ni mauti.Meddy aliutumia umaarufu wake vibaya na alistahili kufa.

Sijui imani yako ila kwa imani zote kazi ya kuhukumu ni yake mola pekee, na wewe unayemhukumu medy unajivika koti lake. Huwezi kuongelea hukumu yake hujui iwapo alitubu kwa mola wake kwani haukuwa naye mauti ilipomfika pia hayo mabaya unayompa unaushahidi au ni stori tu za vijiweni?
 
Wachakukumbilia keyboard soma vizuri post yangu.
Unataka kujua imani yangu ikusaidie nini ???????.
 
List haisaidii sana.Dawa ni kupima tu ANGAZA! mjue status zenu.

Hivi hujui kuanzisha mahusiano kama haya ya mapenzi mpaka ukamnasa mtu na mkakubaliana na kwenda kupima unatumia gharama kubwa sana kuanzia time,money n.k sasa ili kukwepa gharama zisizo za lazima ni bora ujue list ili kukwepa chain na cycle ya hawa watu pedeshee alio wapitia.
 
Hapana Fidel,ninachojua mimi uamuzi wa kuoa si lelemama.lazima utakuwa na categories(sifa) zako ambazo ushajiwekea na huyo ambaye unataka kumuoa lazima utakuwa umempenda kwa dhati hata ikitokea bahati mbaya anao basi ni ajali.Tatizo kubwa ni kule kupenda kutest zali la mentali/kuvunja amri ya 6 mwanzoni .
Na hiyo list haitakusaidia sana kwa sababu Chain huwa inakuwa ndefu sana na mara nyingine kugundua kuwa fulani katembea na fulani huwa ni ngumu na watu hufanya siri sana.Na yule unayemdhania siye ndio anakuwa mwenyewe.
Cha msingi kama kweli umedhamiria kuoa huyo utakayemchagua na kuona kuwa anafaa unamweleza mapema nia yako na katika hatua za kwanza kabisa mnaenda kupima.Kama una nia hutashindwa kumshawishi mkapime
 
Huku Kyela pamoja na kuhamasisha wananchi kupinga vita ufisadi na mafisadi tunaelimishana pia kuhusu HIV/AIDS! tupo pamoja

Mtanisamehe wanyakyusa(wa kyela tu) na wahaya lakini lisemwalo lipo,Ati hizi kabila 2 zimefana sana kitabia.
Masa unaweza kujibu kama kuna ka ukweli.
 
Wote wanapenda kula ndizi...na niwakarimu sana! Need more? Karibu sana Kyela....
 
Wanaji-boast sana hii umesahau.Mie huwa napita tu kyela.Tabia yao ya kuwafukuzia wasafwa milimani ndio siipendi

Hatujiboast bibiye....wasafwa washamba mno, wanapenda kufanya kazi za kukata miwa Kilombero! Next time unaweza nitafuta ukipita
 
Wote wanapenda kula ndizi...na niwakarimu sana! Need more? Karibu sana Kyela....

Ndizi zipi? Kiguruwe au Mshale? Zilizomenywa au hazinyamwenywa? Hebu fafanua zaidi. Na huu ukarimu ni kwa wanawake tu au kwa wanaume pia?

Maana kwa Tanzania ni Makonde pekee ndiyo mkaribu. Unakuta jamaa anamuuliza mkewe "mama Bahati, amekulipa lakini?" Akisikia ndiyo anasema "bachi chawa".
 
Ndizi zipi? Kiguruwe au Mshale? Zilizomenywa au hazinyamwenywa? Hebu fafanua zaidi. Na huu ukarimu ni kwa wanawake tu au kwa wanaume pia? Maana kwa Tanzania ni Makonde pekee ndiyo mkaribu. Unakuta jamaa anamuuliza mkewe "mama Bahati, amekulipa lakini?" Akisikia ndiyo anasema "bachi chawa".

Mkuu ukarimu ule wa kiafrika mazee, ndizi ni mshale, hata ukiwa mijini utasikia ndizi za Moshi, Bukoba na ndizi za Mbeya (hapa wanaimanisha Kyela - hawataki tu fagilia). Ukarimu upo kwa wote....Mnyakyusa kwenda kwake haihitaji appointment wala miadi.
 
Hivi hujui kuanzisha mahusiano kama haya ya mapenzi mpaka ukamnasa mtu na mkakubaliana na kwenda kupima unatumia gharama kubwa sana kuanzia time,money n.k sasa ili kukwepa gharama zisizo za lazima ni bora ujue list ili kukwepa chain na cycle ya hawa watu pedeshee alio wapitia.

Nakubaliana na maelezo yako ikitolewa listi bila kumwonea mtu itasaidia sana kupunguzo maambukizi.

Mkuu watu wanajifanya hawajui gharama za kuanzisha mahusiano zilivyo kubwa na kupotezeana muda pasipo sababu.Najua listi inaweza kuwa kubwa na ya kutisha tukianza na yule mbunge dogo nasikia baada ya kupata habari za msiba wa Meddy alilia utadhani kafiwa na First Lady [mama yake],chaajabu hakwenda kumzika mume mwenza.Duh Dogo kwa unafiki hakuna wa kumfikia.

Wazee wa NGO walijua Dogo angechukua kigoda wangekula hasara ya kufanya uchaguzi kabla ya miaka mitano.Bwa ha ha ha !!!.
 
wewe kabonde umepima?INABIDI WANA JF TUWEKE MAJIBU YETU HAPA JAMVINI BAADA YA KUPIMA NGOMA.
 
Nakubaliana na maelezo yako ikitolewa listi bila kumwonea mtu itasaidia sana kupunguzo maambukizi.

Mkuu watu wanajifanya hawajui gharama za kuanzisha mahusiano zilivyo kubwa na kupotezeana muda pasipo sababu.Najua listi inaweza kuwa kubwa na ya kutisha tukianza na yule mbunge dogo nasikia baada ya kupata habari za msiba wa Meddy alilia utadhani kafiwa na First Lady [mama yake],chaajabu hakwenda kumzika mume mwenza.Duh Dogo kwa unafiki hakuna wa kumfikia.

Wazee wa NGO walijua Dogo angechukua kigoda wangekula hasara ya kufanya uchaguzi kabla ya miaka mitano.Bwa ha ha ha !!!.

Mkuu Kabonde
Kakukosea nini dogo wa watu kumnanga namna hiyo? Uzuri yuka hapa jamvini na anasoma
 
Back
Top Bottom