Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

Status
Not open for further replies.

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Kwa niaba ya wana Chitchat wote nawaomba Moderators wote watusafishie jukwaa letu pendwa kwani limevamiwa na Mamluki....

Hapo awali kabla ya mamluki hao tulienjoy sana jukwaa hili bila BAN zisizo na msingi, lakini sasa tunaingia jukwaa hili kwa wasiwasi wa kupigwa BAN za kusababishiwa...

Nahisi lengo la jukwaa hili lilikuwa zuri tu na ndio sababu likaanzishwa, kama lingekuwa jukwaa la Kipuuzi, kitoto, n.k (kama wasemavyo mamluki hao) Bila shaka lingefulitiwa mbali...

Kwa nini tukose raha katika jukwaa hili??????? Wanaoliona jukwaa la Chitchat haliwafai kwanini wanaingia huku???? Tunawasihi sana kwa Amani na Upendo waendelee kutembelea majukwaa mengine watuwachie jukwaa letu....

Si lazima kutembelea jukwaa hili as kuna majukwaa zaidi ya 50 yenye maana kuliko hili????? Tunakosa raha ya kuwa katika jukwaa hili kwa amani kisa MAMLUKI...

Nakala kwa wana Chitchat woooote!!!!

N.B. Mods msipeleke thread hii kwenye jukwaa la malalamishi ili kila mwanaCC asome na kutoa maoni yake.

Nawasilisha
 
naunga mkono CL, kumejaa mamluki hadi kuingia huku hakunogi tena.....watu wametoka na stress zao za maisha plus stress za siasa wanakuja kumwaga ----- wao huku....inaudhi sana........chit chat ilikuwz zamani.......
 
Ni kweli kuwa kuna members kwa kukusudia wanapost chuki na kero hadi wengine wanakosa subira. Mfano hai kuna thread humu watu wameporomosheana mitusi mpaka aibu.

Ahsante charminglady kwa kuliona na kulisemea hili kwani kuna membes wengine dahh!!
 
Last edited by a moderator:

Watuwachie jukwaa letu... tujinafasi kwa raha zetu :lol:
 
Kweli Hali ni mbaya humu ndani......Matusi too much......

Si warudi watokako... Wengine hatuwezi majibishano na siasa. Jukwaa hili liliwekwa kwa ajili yetu na si wao. Sijui kwa nini PILIPILI YA SHAMBA YAWAKEREKETAAAA!!!!!!
 
Ni kweli kuwa kuna members kwa kukusudia wanapost chuki na kero hadi wengine wanakosa subira. Mfano hai kuna thread humu watu wameporomosheana mitusi mpaka aibu.

Ahsante charminglady kwa kuliona na kulisemea hili kwani kuna membes wengine dahh!!

Yaan comment na thread zao zinakeraaa mpaka inakulazimu kushusha hasira juu yao. Tumechoka jamani Mods tusaidieni tafadhali!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya wana Chitchat wote nawaomba Moderators wote watusafishie jukwaa letu pendwa kwani limevamiwa na Mamluki....

Hapo awali kabla ya mamluki hao tulienjoy sana jukwaa hili bila BAN zisizo na msingi, lakini sasa tunaingia jukwaa hili kwa wasiwasi wa kupigwa BAN za kusababishiwa...

Nahisi lengo la jukwaa hili lilikuwa zuri tu na ndio sababu likaanzishwa, kama lingekuwa jukwaa la Kipuuzi, kitoto, n.k (kama wasemavyo mamluki hao) Bila shaka lingefulitiwa mbali...

Kwa nini tukose raha katika jukwaa hili??????? Wanaoliona jukwaa la Chitchat haliwafai kwanini wanaingia huku???? Tunawasihi sana kwa Amani na Upendo waendelee kutembelea majukwaa mengine watuwachie jukwaa letu....

Si lazima kutembelea jukwaa hili as kuna majukwaa zaidi ya 50 yenye maana kuliko hili????? Tunakosa raha ya kuwa katika jukwaa hili kwa amani kisa MAMLUKI...

Nakala kwa wana Chitchat woooote!!!!

N.B. Mods msipeleke thread hii kwenye jukwaa la malalamishi ili kila mwanaCC asome na kutoa maoni yake.

Nawasilisha

Ungeomba mubadilishiwe jina muitwe jobeless chat...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom