Mods anzisheni jukwaa la salamu

Last edited by a moderator:
Barr-abara kabisa salamu za alasiri ziwafikie wafuatao: mkongwe Msolid1990, Mwali, Kongosho, Erickb52, AshaDii, Kaunga, BADILI TABIA, Lizzy, kiranja tamNO na Erotica popooote pale walipo.

Napenda pia kutuma salamu za dhati kabisa kwa Rejao na mwandani wake Cantalisia, Boflo, Nicas Mtei, Yummy, sweetlady, charminglady, Ndahani, FirstLady1, Dark City, Preta, Smile, Kabakabana na Zinduna poopte pale
walipo.

Pia salamu za pkee ziwafikie klorokwini na fellow tablet wake Asprin bila kumsahau daktari MziziMkavu wote wakiwa kituo kidogo cha afya Edaru.

Mwisho kabisa bila kuwasahau wana Chitchat woooooote na Mamod Paw, Cookie, RussianRoulette.

Ujumbe ni kwamba JF ndio nusu ya kuonana.

Nashukuru sana kwa salamu EMT zimefika na nimezipokea huku natabasamu!:happy:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Orait,salam zangu za kwanza nimfikie mme wangu kipenzi Rejao akiwa hapa pembeni yangu,mwaaaaa darling wangu,

Bila kuwa sahau mashemeji zangu wapendwa Kaizer Erickb52 BAGAH Nicas Mtei Judgement,

Maswahiba wangu Mphamvu SALOK sobhuza TANMO MUSSOLIN,@Exellent EMT,klorokwini@uporoto1,Mr Rock Fidel80 The Finest kashengo na wengine wote wa chit chat na MMU,

Mababu Asprin Darkcity Bishanga na baba yangu Mtambuzi,

Madada na mawifi @Ashadii @King'ast sweetylady FirstLady Preta Mamndenyi @Kipipi Smile Kongosho Kaunga Kabakabana BADILI TABIA charminglady qeenkami Zinduna na wengine wooooooooooooooooooooooote
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Senkyu my lovely wife.
 
Barr-abara kabisa salamu za alasiri ziwafikie wafuatao: mkongwe Msolid1990, Mwali, Kongosho, Erickb52, AshaDii, Kaunga, BADILI TABIA, Lizzy, kiranja tamNO na Erotica popooote pale walipo.

Napenda pia kutuma salamu za dhati kabisa kwa Rejao na mwandani wake Cantalisia, Boflo, Nicas Mtei, Yummy, sweetlady, charminglady, Ndahani, FirstLady1, Dark City, Preta, Smile, Kabakabana na Zinduna poopte pale walipo.

Pia salamu za pkee ziwafikie klorokwini na fellow tablet wake Asprin bila kumsahau daktari MziziMkavu wote wakiwa kituo kidogo cha afya Edaru.

Mwisho kabisa bila kuwasahau wana Chitchat woooooote na Mamod Paw, Cookie, RussianRoulette.

Ujumbe ni kwamba JF ndio nusu ya kuonana.
Tupo pamoja EMT, Familia ya Mr na Mrs Rejao imezipokea salamu zako kwa mikono miwili!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Barr-abara kabisa salamu za alasiri ziwafikie wafuatao: mkongwe Msolid1990, Mwali, Kongosho, Erickb52, AshaDii, Kaunga, BADILI TABIA, Lizzy, kiranja tamNO na Erotica popooote pale walipo.

Napenda pia kutuma salamu za dhati kabisa kwa Rejao na mwandani wake Cantalisia, Boflo, Nicas Mtei, Yummy, sweetlady, charminglady, Ndahani, FirstLady1, Dark City, Preta, Smile, Kabakabana na Zinduna poopte pale walipo.

Pia salamu za pkee ziwafikie klorokwini na fellow tablet wake Asprin bila kumsahau daktari MziziMkavu wote wakiwa kituo kidogo cha afya Edaru.

Mwisho kabisa bila kuwasahau wana Chitchat woooooote na Mamod Paw, Cookie, RussianRoulette.

Ujumbe ni kwamba JF ndio nusu ya kuonana.

asante kwa salamu.....
NAmi nakutumia salamu special popote pale ulipo

nadedicate wimbo wowote wa michael burton ukufikie popote pale ulipo
 
Last edited by a moderator:
Salamu za upendo ziwafikie hawa wafuatao;
1. klorokwini - my asali wa moyo
2. The Finest - tunasali nae kanisa moja pia ni swahiba wangu wa moyoni
3. Rejao - kakangu wa damu
4. Kongosho - mke mwenzake Cantalisia
5. Asprin - babu mpenda wajukuu
6. Bishanga - shemeji angu kipenzi ila pia ni mwizi wa wake za watu
7. AshaDii - Wifi yangu kipenzi
8. Mamndenyi - mama mkwe wangu mtarajiwa
9. Erickb52 - mume wa Amyner
10. BAGAH - shemeji yangu kipenzi
11. Nicas Mtei - mwanaharakati mwenzangu
12. BAK -my best friend
13. Cantalisia - mke wa kakangu Rejao
14. EMT - my best friend
15. King'asti - my mke mwe
16. nitonye - ???????
17 Vin Diesel - mume mtarajiwa- klorokwini akija atafafanua zaidi
18. Kaizer - kaka mpendwa
19. The Boss - mateka wa ........
20. Kipipi - swahiba wa moyoni
21. Lizzy - tunatoka nae barabara ya lami
22. Smile - i love her, post zake huwa zinaniongezea siku za kuishi
23. Saint Ivuga - sio mchoyo wa kugonga like...keep it up kaka
24. Matola - napenda akiwapa magamba za uso
25. Preta - unapotea sana
26. Dena Amsi - mwana mmu anayekaribia kustaafu
27. bht - amepotea sana
28. Nyani Ngabu
29. Gaijin
30. BADILI TABIA - best friend
31. Mtambuzi - baba yake Cantalisia
.......na wote niliowasahau...... hapa itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom