asante,
msosi upo wa kutosha? Nina ubao ile mbaya...
Anajaribu kina cha maji kwa kutumbukiza mguu
Kumbeee, lol
Erickb52 salamu zimefika! nadhani wengi wamesalimiwa labda tu nimkumbuke chauro, zinduna na wangu wa ubani popote alipo my master, Young_Master!, ujumbe ukishikwa, shikamana! lolest!
Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!
Salamu zangu ziwafikie wana Jf woote mnaopenda kujirusha kwenye ma-Club,
Kwani Club Billicanas na Maisha Club zitageuzwa Lodge kuanzia tar 17/05/2012.
Source:ap french
Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!
Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!
charminglady ondoa shaka,ukitua tu Ubungo ni PM nikufate,mana kuna ka-Klabu kamoja hv kamezinduliwa pale Komakoma,takupeleka.Madame B mbna unatutisha,sa tukija dar tutajirusha wapi?