Mods anzisheni jukwaa la salamu

Last edited by a moderator:
Jukwaa la Salamu limeanzia kwenye huu unzi.
Napenda kutuma salamu kwa Kadakabekile anayetumikia bann ya mwenzi 1.pamoja na Basluma original bila kusahau wanachit chat mnaotumikia Jf kwa umakini na kufuata kanuni.
Mungu awajalie ili mpate mawazo mengi.

mawazo mengi? Duh
 
Napenda kutuma salamu kwa Matola, The Boss, BAK kutoka Igoma maeneo ya watu wazito, mie ni Nzegembe wa nzegembe toka Igoma meneo ya watu wazito sababu jana mlinitafsiria ule wimbo kabla sijatuma salamu RFA
BADILI TABIA, napenda kutuma salamu kwa avatar yako, mie ni Marichui
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Napenda kutuma salamu kwa Kongosho.
Ujumbe, namuomba Kongosho awe wazi juu ya jinsia yake.
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
Last edited by a moderator:
salamu zangu ziwafikie wana uamsho wote waliopo Mwanakwerekwe, Mchambawima, Kibanda maiti, Mferejini
 
Salamu zangu ziwafikie wana Jf woote mnaopenda kujirusha kwenye ma-Club,
Kwani Club Billicanas na Maisha Club zitageuzwa Lodge kuanzia tar 17/05/2012.
Source:ap french
 
salamu za pekee ziendee nyumba ndogo zote popote zilipo....

Ujumbe cha mtu nnya........

Salamu zangu za pili ziwaendee walevi wote popote pale walipo.....

Ujumbe : barmed shurti wawaunge mkono wa tip

salamu zangu za mwisho ziwaendee makonda na madereva wote wa daladala,
ujumbe sina nauli kesho wanistiri....
 
Napenda kutuma salamu kwa Kongosho.
Ujumbe, namuomba Kongosho awe wazi juu ya jinsia yake.
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".

Hey baby, hebu njoo hapa Antananarivo tupate kikombe cha kahawa halafu nikuoneshe live :)

Hahahaa we unaitaka jinsia ya mwenzako ya nini?
Tumia yako au haukutoshi?
Hahahaaa natania lol Kongosho funguka mamaaaaaaa

Anajaribu kina cha maji kwa kutumbukiza mguu

Hahahahaaaa Kongosho hujui huyu nanii ni wa dot com?

Kumbeee, lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom