Mnyama gani humpendi?

Simpendi sana huyu kiumbe na nashukuru Mungu hayupo Tz, ana muonekano mbaya na sifa yake mbovu ni kua anakula kila kinachotembea hadi watoto wake wakikaa vibaya anawasosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…