Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.

Faiza
Wanao laumu hawana kumbukumbu kwamba mtume alianza hii dini kwa upanga (jihad). Kwa hiyo tusistaajabie ya Musa......
 
Kama mafundisho ni bora hao mashaitwan kwa nini wanasema watu wengine ni makafiri? Ndo maana kiongozi wenu alioa mtoto! Uzinzi mtupu! l

Yeyote anaemkufuru Mwenyeezi Mungu ni kafiri, ukitaka usiwe kafiri usifanye kufuru.
 
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.

Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.

Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.

Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.

Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.

Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.

Kwa mujibu wao, alikuwa anawauwa waislamu kwa ndege, waislamu wamemhukumu kwa moto!
 
huyu faizafoxy siku zote vile viovu wewe unachangia, mfano ufisadi, siasa, kuanguka kwa uchumi wa tz, wauza sembe, we unawapa big up, mie naona we si mtanzania na huna uzalendo na nchi hii,

Uzalendo unahusu nini na mada ni ISIL?

Nimeuliza hivi:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Huyo rubani aliyeshikwa unasema alikuwa kazini, hivi ni kazi ipi? Kuiendesha ndege ya kivita akizurura tu?
 
Jamaa washenz kwelikweli.
ila kuna mchezo unaendelea hapa duniani ,wengi wetu hasa hatujui ni nini hasa.
masaa machache baada ya rubani kuchomwa moto,king abdullah wa jordan alipanda ndege haraka haraka kwenda marekani,amefika marekani akarush white house kuonana na obama,mkutano umechukua exactly dakika 20,kisha faster king karudi kwenye ndege na kurudi jordan.nini kimeongelewa ndani ya dakika 20 hatujui.
ulazima wa mfalme atoke jordan mpaka marekani kwa mkutano wa dakika 20,unazusha maswali kibao.
Tukumbuke kundi la isis mwanzo likiundwa na wanajeshi waliokua wakifundishwa na wamarekani kule JORDAN kwa lengo la kupenya syria na kumpindua assad.
pale jordan palipewekwa CENTCOM=Centre COmmand kwa ajili ya kuorganise harakati za kumwangusha assad.
hao watu waliopewa mafunzo ya hali ya juu kumpindua assad,wakapewa na silaha na nchi za magharibi ikiwemo marekani,walipata ugumu kumpindua assad baada ya iran na hezb kupeleka wanamgambo kupambana nao.na baada ya kuona hivyo hawa isis wakaona hawawezi kumpindua assad wakati iran anapitisha misaada baghdad hadi syria.
ndo chanzo za hawa isis kuanza mashambulizi kutaka kuiteka baghdad,ambayo pia nusra waiteke kama si iran kuingilia kati,
kumbuka walibaki kilomita chache kuiteka baghdad na serikali ya irag ilikua ikitapatapa kuomba marekani waokoe jahazi,marekani wakawa wanajivuta kusaidia.
dakika za mwisho iran ndo akaokoa baghdad isitekwe.
kwa mara ingine wakawa wamefeli tena.
baada ya america kuona iran anatuma msaada irag na nae akajifanya kutuma askari 200 ambao actually walikwenda kulinda eneo la green zone ulipo ubalozi wao mkubwa sana kuliko balozi zao zote.


Hii habari umeipata kona ipi mkuu????

mbona imeandikwa kuwa Rais wa Jordan aliahirisha ziara ya kwenda Marekani baada ya kupata taarifa ya kifo cha Ruban.

Je, hata kama alikaa Dk. 20, tuchukue mfano tukio limetokea nawe upo Hewani ndani ya ndege, je waweza kumwambia Ruban afunge breki ashushe ndege ili urudi???? au afanye U-TURN???



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Daaaaaa kwa hiyo kwa mtazamo wako ni sawa ISIS, Boko Haram na Al shababu kufanya wanaofanya??!!?? Unadhani wanaowaua ni akina kama sio waislamu wenzao???

Yoyote Anae Pinga Hukum Ya Allah Kutawala Ku Uwawa N Haki Hatakama N Muislam Ndo Maana Unashangaa Muslam Anamu Uwa Muislam Mwenzake Kama Wanavo Fanya BokoHaram Alshabaab Na Isis
 
ili kumuelewa FaizaFoxy unatakiwa uwe na fikra huru. yuko wazi sana katika maandiko yake.
kwa mfano anauliza huyo rubani ni kweli ISIL wamemchoma ni kitendo cha unyama, je yeye alikua anafanya nini na ndege ya kijeshi yenye mabomu chini kuna wanawake na watoti!

muhimu ni kwamba yote yanayofanyika duniani sasa ni ubeberu dhidi ya UISLAM.
 
Wewe huna?

Sina udini ushawahi kuona uzi wangu wowote nikikashifu ukristu au u Islam
Mimi mtu akikashifu dini ya mwenzake huwa namuona ***** kama ni mwanaume na kama ni Mwanamke akikashifu namuona malay. ...tu
 
Uzalendo unahusu nini na mada ni ISIL?

Nimeuliza hivi:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Huyo rubani aliyeshikwa unasema alikuwa kazini, hivi ni kazi ipi? Kuiendesha ndege ya kivita akizurura tu?

tushakuzoea, we kila topic ni criticize tu, umesema vingi tu sio hiyo ya rubani
 
Hii habari umeipata kona ipi mkuu????

mbona imeandikwa kuwa Rais wa Jordan aliahirisha ziara ya kwenda Marekani baada ya kupata taarifa ya kifo cha Ruban.

Je, hata kama alikaa Dk. 20, tuchukue mfano tukio limetokea nawe upo Hewani ndani ya ndege, je waweza kumwambia Ruban afunge breki ashushe ndege ili urudi???? au afanye U-TURN???



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
We acha ikiume tu.

huyo king wakati tukio linatokea hakua jordan?.
si mpaka alihutubia taifa kulaani tukio kabla hata hajaonana na obama,au alihutubia akiwa ndani ya ndege?
 
Mda huo wamarekani wakawa wameshaona hawa watu kama wameshindwa kumtoa assad,wakabuni mpango mwingine wa marekani kuunda coalition ya kuwashambulia ISIS.
Mashambulizi hayo yafanywe irag na hatimae syria.
hiyo ilikua ni kutafuta sababu ya marekani kuingia syria na kumwondoa assad.
tangu mwezi wa nane mwaka jana ,kumeanza vita vya mashambulizi ya ndege dhidi ya isis.
cha ajabu makao ya isis yanafahamika yako Raggah syria na ndiko baghdad yupo hapo.
huwezi sikia marekani wameelekeza mashambulizi huko,ama mji wa mosul kwani lengo halisi hasa ni kumwondoa assad syria.
sasa iran waliposhitukia ishu nao wakajiingiza irag kupambana na isis na pia syria.
mpaka sasa kinaundwa kikosi cha militias kikubwa kama hezbulah nchini syria kupambana na isis.
mpaka sasa centre comand ya marekani iliyopo jordan inafundisha makomando kumpindua assad,wao wanawaita eti moderate,wakati wakihitimu wanakwenda moja kwa moja kujiunga na ISIS.
Sasa wameongea nini obama na huyu king wa jordan.
watasitisha harakati za kuwapa mafunzo magaidi ili wampindue assad baada ya kuona mambo yame backfire?,ama wataendelea na mchezo wao utakaowatokea puani?
........Hadithi yako nzuri, kakufundisha Mama ako au Bibi ako?
 
Sina udini ushawahi kuona uzi wangu wowote nikikashifu ukristu au u Islam
Mimi mtu akikashifu dini ya mwenzake huwa namuona ***** kama ni mwanaume na kama ni Mwanamke akikashifu namuona malay. ...tu
Mrangi,kwani udini maana yake ni mtu anaekashfu dini?.
na kwa mjibu wako kukashfu maana yake nini labda?
 
Sina udini ushawahi kuona uzi wangu wowote nikikashifu ukristu au u Islam
Mimi mtu akikashifu dini ya mwenzake huwa namuona ***** kama ni mwanaume na kama ni Mwanamke akikashifu namuona malay. ...tu
....Kwa mantiki hiyo kwa kuwa FaizaFoxy ni mwanamke basi atakuwa ni ma....?
 
Jana kuna mateka mwingine katupwa kutoka ghorofani huku kazibwa macho na kufungwa miguu na mikono.
Walivyoona hajafa, wakammalizia kwa kumponda kwa mawe mpaka kufa kutimiza sheria ya kadhi.
Kisa: Kisa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Sos: bbctv.

ebooo wewe unaona ni kitu kidogo kujiusisha na mapenzi ya jinsia moja!?au ndio michezo yako ndio maana unatetea eboooo
 
Duuuu!!

Kuanzia leo hakika nimejifunza kitu mhimu sana toka kwako!! We ni mtu hatari sana na mwenye chuki zilizovuka mpaka hasa kwa dini isiyokuwa yako! Naamini wewe si muislamu kama baadhi ya waislamu wastaarabu ninaoishi nao.

Hivi hiyo miaka palikuwa na uwazi au wingi wa vyombo vya habari kama leo kuhusu hizo vita vya wakristu na vita hizo za Burundi na Rwanda?

Hivi huwezi tu kuchangia bila kugusa udini?

ebooo ww ni chizi amaa atachangiaje bila kugusa udini wakati post yenyewe ni ya kidini?
 
Back
Top Bottom