Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Huo mfumo wa maisha unaousema tayari waislam wa middle east wanaukimbia, wanakimbilia Ulaya kila kukicha, nani atakubali mfumo primitive enzi hizi?

Huko Ulaya unapopasema hakuna mfumo unaokuwa kwa haraka zaidi ya Uislam kwa sasa. Kumbuka hilo, au unataka ushahidi?
 
Kama ni kweli isis wamefanya hiko kitendo na si propaganda ya nchi za magaharibi basi nakili hawa watu wanatembelea kivuli cha uislam na sio waislam,hukumu ya moto inatolewa na mungu tu na si mwanaadam
 
Mh. Hilo ni kweli kabisa wamemuua kwa style hiyo ya kubanika tena kwa mateso ya hali ya juu. Kabla hawajawasha moto jamaa alisali kuomba japo miujiza ya kujiokoa lakini wapi. Kumbuka walikuwa wamesimama pembeni wakijiapiza kwa mungu (sijui mungu yupi anaekubali mateso kama hayo) huku bunduki zikiwa full kumalizia endapo pangetokea jitihada zozote za kumuokoa.
 
em acha propaganda, wauchafue uislam kwa sababu zipi hasa? kwa nini watu hua mnaamini sana conspiracy theories kirahisi hivo... hakuna sababu nchi kama US itakaa i-support kundi kama ISIS kisa kuondoa uislam, hakuna mtu atakaa ajaribu kuondoa dini flani duniani yenye watu bilioni simply because they know it won't work.

[video=youtube_share;7TRVcnX8Vsw]http://youtu.be/7TRVcnX8Vsw[/video]

[video=youtube_share;O92Wpn3T3dw]http://youtu.be/O92Wpn3T3dw[/video]
 
Mh. Hilo ni kweli kabisa wamemuua kwa style hiyo ya kubanika tena kwa mateso ya hali ya juu. Kabla hawajawasha moto jamaa alisali kuomba japo miujiza ya kujiokoa lakini wapi. Kumbuka walikuwa wamesimama pembeni wakijiapiza kwa mungu (sijui mungu yupi anaekubali mateso kama hayo) huku bunduki zikiwa full kumalizia endapo pangetokea jitihada zozote za kumuokoa.

........yeye alipokuwa akiwapiga makombora kwa kutumia ndege iliyotengenezwa Marekani na makombora kutoka huko huko Marekani, alikuwa naye anajiapiza kwa mungu gani kabla ya ndege yake kudunguliwa !? Ng'wanapagi
 
Last edited by a moderator:
Makundi hyo tunayatilia sha

Maadui wa uislam wana njama nying na kwa kuwa vymbo vya habari ni vya kwao bas wanautangaza uislamu watakavyo ,na vyombo vyetu hvi vya habar ni copy and pest tu
 
Tumeona watu wanaandamana ulaya kupnga usilam na siyo ugaidi wakati bushi akiwa rais alisema vita vilivyobakiwa ni dhidi ya uislamu baada ya kuondosha dola fishio iliyokuwa wakat huo ni urus
 
Huo mfumo wa maisha unaousema tayari waislam wa middle east wanaukimbia, wanakimbilia Ulaya kila kukicha, nani atakubali mfumo primitive enzi hizi?

Sasa tazama mtu akishakuwa na busara za kuku!

We unadhani Kwa Makafiri Hii ni salama?
Leo Hii UISLAMU unaongezeka Kwa kasi ya Ajabu huko Ulaya na USA.
Kiasi kwamba Hayo Mabunge yao yanawajadili Waislamu kila siku.

Very soon Uislamu Utachukua Hizo nchi za Kikafiri Bila Silaha Wala Makofi!
Na Hapo ndipo wewe Kakende Ibn Kapumbu Tutakapo kutahiri bila Ganzi uite yesuuuuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Huyo rubani aliyeshikwa unasema alikuwa kazini, hivi ni kazi ipi? Kuiendesha ndege ya kivita akizurura tu?
Try to come out of the box and you will see. Your friend Nonda is about to accept Jesus as His God.
 
Last edited by a moderator:
Km uislamu umeacha mwanya basi Atheism na ukristo umeng"oa jino kabisa.

Tazama ktk Historia utaona namna gani mamilioni ya watu waliuawa na WAKRISTO.
Kwa msaada zaidi Pitia hapa.

http://www.truthbeknown.com/victims.htm

Wapi nimetetea ukristo?

Mbona hukuongelea Jainism, kitu ambacho nimekitaja, umeenda kuongelea ukristo, kitu ambacho sijakitaja?

Kimsingi mimi sitofautishi sana Uislamu na Ukristo.

Kwangu vyote ni upuuzi ule ule tu.

Sasa mtu kama mimi ukitaka kuniambia ubaya wa Ukristo unaweza kujuta mimi ndiye nina habari zaidi kuliko wewe.

Katika sotuation kama hiyo, kuanza kunieleza habari za ubaya wa Ukristo kunafunuabujinga wako tu.

Ujinga kwamba kila anayeonesha mapungufu ya Uislamu ni Mkristo.

Wakati kina wengine hatuna dini na wala hatuamini kagika kuwako kwa mungu.

Atheism imeng'oa jina wapi? Vipi? Kwa msahafu gani?
 
Get a life young non theist. Not everything is arguments. This thread is for thinkers who can support their belief and not people who are mindless and can not support their diabolical fallacies like you.
 
Mnh! Kabanikwa ka nyama choma!
Hapana adhabu aina hii katika uislam hakuna, kwa hakika nina mashaka sana kama hawa jamaa wanautumikia uislam maana matendo yao mengi ni tofauti na sheria za uislam

sasa unasemaje haipo wakati ipo, imetokea na pia imefanywa na mashujaa na "walokole" wa kiislam?
 
Mtu akiwa mkristo au wa dini yoyote akifanya mauaji au maovu kwa sababu au malengo yake binafsi hatuwezi kulaumu dini yake, mambo wanayofanya wamarekani na nchi nyingine za magharibi hayafanywi katika jina la ukristo bali kwa sababu na malengo yao ya kisiasa, hawasemi kwamba imani yao ya kikristo ndio inawatuma kufanya hivyo la hasha!

Na hata inapotokea mkristo au kikundi cha kikristo kinafanya maovu kwa kisingizio cha ukristo kamwe hutaona wakristo wakishabikia uovu huo kwa sababu wakristo wanalijua neno lao vizuri, ni nani umemsikia akimshabikia Joseph Kony wa LORD'S RESISTANCE ARMY ya Uganda!? pamoja na kwamba anataka nchi ya Uganda iongozwe kikristo kwa kufuata amri kumi za Mungu, ni wapi kwenye biblia imeandikwa hivyo kama sio uhuni na ushenzi wake!

Ila nashangaa sana baadhi ya waislam kama wewe ambao mnashabikia maovu yanaofanywa na makundi kama boko haram, al qaeda, isis n.k tena wanasema wanafanya katika jina la allah! halafu mnaona ni haki! sasa matokeo yake haya makundi yanaanza kuwadhuru na waislam wenzao, isis wanafanya hivyo, boko haram ndo usiseme wengi wanaodhurika ni waislam wenzao halafu unatetea upuuzi huu, ngoja yakukute ndipo utakapojuta!

Mimi siwezi kutetea uovu wa mkristo mwenzangu eti kwa sababu ni mkristo, never!
Na kuhusu anti-balaka na seleka kule central africa hebu soma vizuri ujue chanzo chake, kwa kifupi rais bozize(mkristo) alipinduliwa na kikundi cha kiislam cha seleka na kumsimika rais wao djotodia ambae aliwaahidi saudi arabia kuwa ata implement sharia law katika central africa na ikapelekea wakristo na waumini wa dini za asili kujiunga pamoja kutengeneza kundi lao la anti balaka ili kupinga nchi kutawaliwa kwa sharia law!hivyo kundi la anti balaka(anti-sword) sio kundi la kikristo only bali wapo na waumini wa dini za asili za kiafrika wengi tu!

Very well elaborated... Pamoja sana..
 
Unadhani ni waraabu hao ? Hao ni panya road wa kila sehemu wanalipwa kula na kupewa bangi bure
Pia wamepewa silaha kali na nchi za kikristi ikiwemo france uk usa nk
Sasa wewe unategemea nini ukiwapa silaha panya road .

Hebu fikiria tu kama hawa panya road wetu wapate mafunzo na maruneti patakalika mjini ?
Mabeberu wame create ujinga kwetu kiasi nchi yoyote wakitaka kuichafua lazima itakwenda na maji.
Putin tu na undia na china ndio ameweza kusurvive lakini hawalali hawa kuharibu amani nchi nyengine
 
Back
Top Bottom