Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.
....Old fashioned woman stories!! as usual.
 
proffesor anasemaa.... huwa najiuliza n akina nanI wana wafahili hawa watu.. pesa ya kununulia silaha na chakula..?.
 
mbuguma unalia mbwata tu! Kwani ulaumu ukristo Yesu kafundisha wapi maangamizi ya kimbari? Yesu kafundisha Upendo na Msamaha hata kwa adui zako! Aliye fundisha mauaji ya kimbari na jino kwa jino ni muham mad, hujui! au mahaba kwa deen yako? muhammad aliibiwa ngamia, akaamrisha wezi wasakwe na walipo kamatwa akaamuru wakatwe miguu na mikono yote kisha wang'olewe macho yote waachwe juani mpaka wafe.Abu duwud.38:4350! Na mmeamrishwa na allah mumgeze! Kwa mujibu wa ilimu islamu hao isis wamepata thawab mbele ya allah! Qaraa ipigwe BAN duniani kitabu hiki ni majanga kama ebola ima boda boda!

Hakuna kitu kama hicho ktk historia ya uislam kuwa mtume wetu aliwaua wezi wa ngamia. Wale walikuwa ni wageni walikuwa wagonjwa wakapewa hifadhi, walipopona walimuua mlinzi wa ngamia na kuiba ngamia hao wote. Sheria hao watu ni jambazi na jambazi ni kuuliwa.
 
Jamaa washenz kwelikweli.
ila kuna mchezo unaendelea hapa duniani ,wengi wetu hasa hatujui ni nini hasa.
masaa machache baada ya rubani kuchomwa moto,king abdullah wa jordan alipanda ndege haraka haraka kwenda marekani,amefika marekani akarush white house kuonana na obama,mkutano umechukua exactly dakika 20,kisha faster king karudi kwenye ndege na kurudi jordan.
nini kimeongelewa ndani ya dakika 20 hatujui.
ulazima wa mfalme atoke jordan mpaka marekani kwa mkutano wa dakika 20,unazusha maswali kibao.
Tukumbuke kundi la isis mwanzo likiundwa na wanajeshi waliokua wakifundishwa na wamarekani kule JORDAN kwa lengo la kupenya syria na kumpindua assad.
pale jordan palipewekwa CENTCOM=Centre COmmand kwa ajili ya kuorganise harakati za kumwangusha assad.
hao watu waliopewa mafunzo ya hali ya juu kumpindua assad,wakapewa na silaha na nchi za magharibi ikiwemo marekani,walipata ugumu kumpindua assad baada ya iran na hezb kupeleka wanamgambo kupambana nao.na baada ya kuona hivyo hawa isis wakaona hawawezi kumpindua assad wakati iran anapitisha misaada baghdad hadi syria.
ndo chanzo za hawa isis kuanza mashambulizi kutaka kuiteka baghdad,ambayo pia nusra waiteke kama si iran kuingilia kati,
kumbuka walibaki kilomita chache kuiteka baghdad na serikali ya irag ilikua ikitapatapa kuomba marekani waokoe jahazi,marekani wakawa wanajivuta kusaidia.
dakika za mwisho iran ndo akaokoa baghdad isitekwe.
kwa mara ingine wakawa wamefeli tena.
baada ya america kuona iran anatuma msaada irag na nae akajifanya kutuma askari 200 ambao actually walikwenda kulinda eneo la green zone ulipo ubalozi wao mkubwa sana kuliko balozi zao zote.
 
Pia usiusahau ukatili wa serikali ya kidhalimu ya kizayuni kwa wanyonge wa kiparestina......pia katika maisha yako jitahidi usisahau usisahau unyama unaofanya gaidi namba moja duniani MAREKANI dhidi ya mataifa ya kiarabu kwa kisingizio cha ugaidi.....wakati wao ndio waasisi wa ugaidi duniani............
 
Mda huo wamarekani wakawa wameshaona hawa watu kama wameshindwa kumtoa assad,wakabuni mpango mwingine wa marekani kuunda coalition ya kuwashambulia ISIS.
Mashambulizi hayo yafanywe irag na hatimae syria.
hiyo ilikua ni kutafuta sababu ya marekani kuingia syria na kumwondoa assad.
tangu mwezi wa nane mwaka jana ,kumeanza vita vya mashambulizi ya ndege dhidi ya isis.
cha ajabu makao ya isis yanafahamika yako Raggah syria na ndiko baghdad yupo hapo.
huwezi sikia marekani wameelekeza mashambulizi huko,ama mji wa mosul kwani lengo halisi hasa ni kumwondoa assad syria.
sasa iran waliposhitukia ishu nao wakajiingiza irag kupambana na isis na pia syria.
mpaka sasa kinaundwa kikosi cha militias kikubwa kama hezbulah nchini syria kupambana na isis.
mpaka sasa centre comand ya marekani iliyopo jordan inafundisha makomando kumpindua assad,wao wanawaita eti moderate,wakati wakihitimu wanakwenda moja kwa moja kujiunga na ISIS.
Sasa wameongea nini obama na huyu king wa jordan.
watasitisha harakati za kuwapa mafunzo magaidi ili wampindue assad baada ya kuona mambo yame backfire?,ama wataendelea na mchezo wao utakaowatokea puani?
 
Mi nauliza huyu jamaa alikuwa anaendesha ndege ya kivita hivi akitupa bomu moja linachoma wangapi
 
Dah we mtu ni shida sana
Wewe hujamwelewa huyo bibie,actually huyo rubani alikua anapiganishwa vita asiyoijua.mimi sijaiona video ila nimepata link iliyoeleza kuwa ,mwanzo mwa hiyo video,hao isis wanaonyesha madhara yaliyoletwa na mashambulizi ya anga yaliyofanywa na ndege za washirika ikiwemo vitoto vikikata roho kwa kuripuliwa na makombora toka katika ndege za kijeshi.
kwahiyo kazi ya rubani ilikua na kuua pia
 
Mda huo wamarekani wakawa wameshaona hawa watu kama wameshindwa kumtoa assad,wakabuni mpango mwingine wa marekani kuunda coalition ya kuwashambulia ISIS.
Mashambulizi hayo yafanywe irag na hatimae syria.
hiyo ilikua ni kutafuta sababu ya marekani kuingia syria na kumwondoa assad.
tangu mwezi wa nane mwaka jana ,kumeanza vita vya mashambulizi ya ndege dhidi ya isis.
cha ajabu makao ya isis yanafahamika yako Raggah syria na ndiko baghdad yupo hapo.
huwezi sikia marekani wameelekeza mashambulizi huko,ama mji wa mosul kwani lengo halisi hasa ni kumwondoa assad syria.
sasa iran waliposhitukia ishu nao wakajiingiza irag kupambana na isis na pia syria.
mpaka sasa kinaundwa kikosi cha militias kikubwa kama hezbulah nchini syria kupambana na isis.
mpaka sasa centre comand ya marekani iliyopo jordan inafundisha makomando kumpindua assad,wao wanawaita eti moderate,wakati wakihitimu wanakwenda moja kwa moja kujiunga na ISIS.
Sasa wameongea nini obama na huyu king wa jordan.
watasitisha harakati za kuwapa mafunzo magaidi ili wampindue assad baada ya kuona mambo yame backfire?,ama wataendelea na mchezo wao utakaowatokea puani?

proffesor anasemaa.... hawa isi na ma kundi mengine wana fadhiliwa na akina nani.. silaha na chakula because hawa produce wao n vita tu..
 
proffesor anasemaa.... huwa najiuliza n akina nanI wana wafahili hawa watu.. pesa ya kununulia silaha na chakula..?.
Wanapata silaha toka marekani,israel etc,lengo lao kubwa kubwa kwa sasa ni ku distablise nchi za eneo la mashariki ya kati,kuanzia syria,irag,iran,lebanon,jordan etc,sasa tumia uprofessor wako kujudge nani ananufaika hizo nchi zikiwa machafukoni mfululizo kama ilivyo syria leo.
 
cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na usa na nato yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa iraq wa syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana wakristo kwa wakristo vita ya kwanza na ya pili ya dunia sijasikia mtu akiushutumu ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika ireland ya kuuwana wakristo kwa wakristo sijasikia mtu akilalamikia ukristo.

Mauaji waliouna rwanda wakristo kwa wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za uislam ili kuupaka matope uislam.

hakuna anae yalaani kwa sababu hayafanyiki kupitia mgongo wa dini wala jina la yesu wala mungu , wanauana wakristo kwa wakristo sio kwa sababu ya dini ya kikristo , bali kwasababu nyingine tofauti kabisa kubwa ikiwa siasa za ndani ya nchi husika na chanzo cha ugomvi hua kipo wazi , tofauti na hawa waislamu, wanapigana kupitia jina la dini , vita vyao vina macho vinawaangamiza wasio wa kwao , vita vyao havina chanzo , mtu akijisikia anaunda kundi wanaanza kujilipua hovyo hovyo tu kwa kisingizio cha dini
 
Wanapata silaha toka marekani,israel etc,lengo lao kubwa kubwa kwa sasa ni ku distablise nchi za eneo la mashariki ya kati,kuanzia syria,irag,iran,lebanon,jordan etc,sasa tumia uprofessor wako kujudge nani ananufaika hizo nchi zikiwa machafukoni mfululizo kama ilivyo syria leo.

proffesor anasema.... pesa za kununulia hizo silahaaa na chakula wana pata wap..?????
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.

Wewe ni mtu wa ajabu, yaani unafurahia binadamu mwenzako akiuwa? awe mwisilamu au mkristo siyo sahihi kumwondolea uhai. jamaa si mwisilamu wala mwarabu lkn ameumia binadamu kuuawa kwa kuchomwa moto, wewe unaona ni poa, sijui una roho gani, nina wasi wasi na uraia wako. Angalia wanavyuua watu kisa dini.

ISIS Slaughters 100 Foreigners Who Try to Quit.jpg
 
Hii imani yenu msipotubu, Jehanamu ya moto na kiberiti inawasubiri. Killing, for the umbrella of defending your FAITH?! Ipo siku mtasimama kujibu na itakuwa too late. Jitathimini na dini yako.

Utaujua ukweli soon or later
 
Jamaa washenz kwelikweli.
ila kuna mchezo unaendelea hapa duniani ,wengi wetu hasa hatujui ni nini hasa.
masaa machache baada ya rubani kuchomwa moto,king abdullah wa jordan alipanda ndege haraka haraka kwenda marekani,amefika marekani akarush white house kuonana na obama,mkutano umechukua exactly dakika 20,kisha faster king karudi kwenye ndege na kurudi jordan.
nini kimeongelewa ndani ya dakika 20 hatujui.
ulazima wa mfalme atoke jordan mpaka marekani kwa mkutano wa dakika 20,unazusha maswali kibao.
Tukumbuke kundi la isis mwanzo likiundwa na wanajeshi waliokua wakifundishwa na wamarekani kule JORDAN kwa lengo la kupenya syria na kumpindua assad.
pale jordan palipewekwa CENTCOM=Centre COmmand kwa ajili ya kuorganise harakati za kumwangusha assad.
hao watu waliopewa mafunzo ya hali ya juu kumpindua assad,wakapewa na silaha na nchi za magharibi ikiwemo marekani,walipata ugumu kumpindua assad baada ya iran na hezb kupeleka wanamgambo kupambana nao.na baada ya kuona hivyo hawa isis wakaona hawawezi kumpindua assad wakati iran anapitisha misaada baghdad hadi syria.
ndo chanzo za hawa isis kuanza mashambulizi kutaka kuiteka baghdad,ambayo pia nusra waiteke kama si iran kuingilia kati,
kumbuka walibaki kilomita chache kuiteka baghdad na serikali ya irag ilikua ikitapatapa kuomba marekani waokoe jahazi,marekani wakawa wanajivuta kusaidia.
dakika za mwisho iran ndo akaokoa baghdad isitekwe.
kwa mara ingine wakawa wamefeli tena.
baada ya america kuona iran anatuma msaada irag na nae akajifanya kutuma askari 200 ambao actually walikwenda kulinda eneo la green zone ulipo ubalozi wao mkubwa sana kuliko balozi zao zote.

Ameenda kumwambia huu mchezo mchafu siuwezi tafuta nchi nyingine ifanye usanii huu, kuwa mkijuwa kwamba hakuna nchi yenye amani kama Jordan ni jirani kabisa na Israel yaani ukiogelea unafika lakini heshima ipo hapo ila wabaya wanaoichafua uislam ndio hawa wamarekani lkn hawatafanikiwa walikuwepo kina firauni waliojiita mungu hawakufua dafu. Nawaomba ndugu zangu sio kila mlisikialo ni kweli think about it
 
proffesor anasema.... pesa za kununulia hizo silahaaa na chakula wana pata wap..?????
Ha ha ha,huyu profesa wetu mgumu sana wa kuelewa.
actually ishu hapa sio dini,it is about money,power and control.
sijui umeshawahi kusikia kitu kinaitwa ,Arab pipeline na islamic pipeline?.
hiyo ni gesi,nikipata mda ntaelezea.
wapi wanapata silaha ngoja nijaribu kukupa link uendeko usome then utajudge mwenyewe.ila ujue pia katika sokomoko lote pia kuna angle ya israel pia ambayo unaweza kutafuta utaipata.
we need to bear in mind who was REALLY behind the creation of Islamic State (ISIS or ISIL). Over and above its wanton brutality, it was initially financed by the Gulf states who reportedly even paid the fighters monthly salaries.
Moreover, the militants were initially trained by U.S. military personnelat secret camps in Jordan during 2012.
Originally the plan appears to have been to use ISIS to assist in the overthrow of Syria¡¯s President Assad. In this they were reportedly assisted and supplied by Western government with the collusion of Turkey. However, things seem to have gone amiss. ISIS failed to oust President Assad and the militants seem to have shifted the focus of their efforts elsewhere.
In other words the West and its allieshave created this Frankentein-like monster, which now appears to be out of control. This is not the speculation of some ¡°conspiracy theorist¡±. The Chairman of the U.S. Joint Chiefs of Staff General Dempsey has admittedthat U.S. allies in the Middle East help fund them.
Islamic State¡¯s leader, Abu Bakr al-Baghdadi is reportedly even a Mossad agentwith a taste for expensive watches; who seems more interested in delivering brutal sermons than restraining the murderous dupes he leads.
It¡¯s also worth noting how media savvy the militants have become. The carefully directed and staged videos seem to have been produced by professionals, maybe even with advice from their covert Western backers, to elicit maximum fear and foreboding. In a word: terror..
http://www.thetruthseeker.co.uk/?p=110633
 
Sasa kama wanataka ndoa ya jinsia moja tuwaelewe vipi sio wapinga kristo hao kama wanasimamia mauaji duniani na kuyafanya yaonekane matakatifu kama wanaifanya dunia isiwe mahala salama pa kuishi tuwaelewe vipi.Dhulma inayofanywa dhidi ya mataifa mangine kweli ni utaratibu huu mungu aliotuwekea?

Sasa ndugu yangu kwani US wamekwambia wanalazimisha watu wazifate hizo sheria?? afu hujui kua sheria kama za ushonga sio serikali ya US iliyoinfluence bali mashoga wamejaa sana US wakapigia serikali kelele hadi serikali ikaamua kukubali kupitisha hiyo sheria, afu kama ndoa zenyewe za jinsia moja zinaruhusiwa states chache sana marekani... Afu wao kupigana sana na mataifa ya middle east haimaanishi wanataka waanzishe sheria zao huko, hai-make sense kabisa
 
Back
Top Bottom