Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Even Allah know that Jesus is THE God.

(Yesu akasema) Hakika mimi ni mja wa Allah, (na Allah) Amenipa Kitabu (Injil) na amenifanya Nabii.
Na (Allah) Amenifanya mbarikiwa popote nilipo. Na (Allah) Ameniusia sala na zaka maadam ni hai.

Na kumfanyia mema mama yangu. Wala (Allah) hakunifanya niwe jeuri, muovu.

Na amani (ya Allah) iko juu yangu siku niliyo zaliwa na siku nitakayo kufa na siku nitakayofufuliwa kuwa hai.

Huyu ndiye Yesu mwana wa Mariam. (na hii) Ndiyo kauli ya haki ambayo (Wakiristu) wanaifanyia shaka.
Qur'an: 19:30-34.
 
Fuatilia Habari! Hili ni Dogo!

Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.

Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.

Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.

Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.

Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.

Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.
 
Hivi huyo mungu ni mungu wa aina gani anayeabuniwa kwa kuchinja watu kama mabucha ya ng`ombe, ni shetani ni mungu. Tunafahamu kazi za mungu ni nzuri na za shetani ni mbaya. Sasa hayo yanayofanyika ya kuchinja watu kama mapanya ni mungu au ibilisi? In actual fact huyo mungu anayetetewa na watu is a very weak one.
 
Ni 'imani' pekee inayoweza kufanya mtu aliyekuwa na tabia nzuri kuwa katili huku akifurahi kutenda maovu akiamini anachofanya yuko sahihi kwa mujibu ya mafundisho ya 'imani' yake!

Kama ni imani tu kuna ulazima gani wa hao wauaji kuficha nyuso zao wasitambulike? Amri ya 5 ya Mungu inasema USIUE na Mungu ni mmoja hivyo nina mashaka sana na huyo 'allah' kama ndiye Mungu tunayemuabudu.
 
Km uislamu umeacha mwanya basi Atheism na ukristo umeng"oa jino kabisa.

Tazama ktk Historia utaona namna gani mamilioni ya watu waliuawa na WAKRISTO.
Kwa msaada zaidi Pitia hapa.
Christian Atrocities | Victims of Christianity | Catholic Church Inquisition | Crusades
ww ndio kipoozeo kwelikweli
unaleta mambo ya Historia wakati wenzako wanakupa fact
jamaa anawachinja binadamu wenzake
ISIL wanawauwa wenzao ili tu wabakie wenyewe
leta link za leo huyu jamaa anavyowachinja wenzake ndivyo ilivyoandikwa
37514521_h34364512-f9def92754f563a1930062803b924b79fc15b7b5-s200-c85.jpg

[h=1]Jihadi John' named as Mohammed Emwazi[/h]Hawa wote kawachinja bado na yule Rubani aliyechomwa moto kweli ISIL ni wa kusamehewa?
_81258356_victims_624.gif
 
Ni 'imani' pekee inayoweza kufanya mtu aliyekuwa na tabia nzuri kuwa katili huku akifurahi kutenda maovu akiamini anachofanya yuko sahihi kwa mujibu ya mafundisho ya 'imani' yake!

ladda kama sio imani ya MUNGU yule anae abudiwa na waislam kwa maana ninavyoelewa imani ya Mungu anaeabudiwa na sisi waislam, inasifa ya kumbadilisha mtu aliye katili akawa na huruma, mifano iko mingi nafasi haitoshi kuielezea.

mimi huwa ninapenda watu tuihukumu imani ya mtu kwa matendo yake na sio kwa maneno.

mfano "KUMRADHI" Biblia inakataza ulawiti unawezaje kuhesabu kitendo cha MAPADRE waliolawiti watoto na wakaoana wenyewe kwa wenyewe(Jinsia moja) kuwa ni kitendo KIKRISTO

Uislam unasema UKIUA MTU MMOJA asiye na hatia ni sawa na kuwa UMEUA DUNIA NZIMA, sasa unawezaje kuendelea kuwaita waislamu watu wanaoishi kwa kuua watu wasio na hatia.

SO KAMA AMBAVYO SIIKIHESABU KITENDO CHA CHA NDOA ZA JINSIA MOJA NA ULAWITI WA BAADHI YA MAPADRE NA MAASKOFU WA BAADHI YA MAKANISA KUWA NI KITENDO CHA KIDINI, NDIVYO AMBAVYO SIWAHESABU ISIL KUWA WANACHOKIFANYA NI SAHEMU YA UISLAMU WAO!!!!!!!!!!
 
(Yesu akasema) Hakika mimi ni mja wa Allah, (na Allah) Amenipa Kitabu (Injil) na amenifanya Nabii.
Na (Allah) Amenifanya mbarikiwa popote nilipo. Na (Allah) Ameniusia sala na zaka maadam ni hai.

Na kumfanyia mema mama yangu. Wala (Allah) hakunifanya niwe jeuri, muovu.

Na amani (ya Allah) iko juu yangu siku niliyo zaliwa na siku nitakayo kufa na siku nitakayofufuliwa kuwa hai.

Huyu ndiye Yesu mwana wa Mariam. (na hii) Ndiyo kauli ya haki ambayo (Wakiristu) wanaifanyia shaka.
Qur'an: 19:30-34.
You know Allah never said in the Quran that he is God. Now, what makes you think Issa of Quran is the same as Jesus creator of all things?
 
Mtu mwenye akili timamu akitaka kujua jambo flani,hufuata vyanzo sahihi wakati mtu mpumbavu hutaka kujifunza jambo kupitia simulizi na propaganda na hao ndio wanaoamini kila kinachotangazwa kwenye vyombo vya habari wala hawjishughulishi kutafakari na kutafiti.
 
Huyo rubani aliyeshikwa unasema alikuwa kazini, hivi ni kazi ipi? Kuiendesha ndege ya kivita akizurura tu?

FF hawa majahilia huwa hawana hoja linapokuja swala la chuki dhidi ya Uislam, Yule Rubani hakua akiendesha ndege ya Abiria, alikua anaenda kuua na pengine alisha ua maana hatujui kama ndio ilikua safari yake ya kwanza,, kuchomwa anastahili kabisa maana hata yeye alishachoma watu kule kwa mabomu. Kujifanya mnamakengeza sio sawa ile ni vita
 
Acha chuki we gaidi.
 
ww ndio kipoozeo kwelikweli
unaleta mambo ya Historia wakati wenzako wanakupa fact
jamaa anawachinja binadamu wenzake
ISIL wanawauwa wenzao ili tu wabakie wenyewe
leta link za leo huyu jamaa anavyowachinja wenzake ndivyo ilivyoandikwa
37514521_h34364512-f9def92754f563a1930062803b924b79fc15b7b5-s200-c85.jpg

[h=1]Jihadi John' named as Mohammed Emwazi[/h]Hawa wote kawachinja bado na yule Rubani aliyechomwa moto kweli ISIL ni wa kusamehewa?
_81258356_victims_624.gif

Hawa jamaa kumbe mara tano kwa siku hakuna lolote wanalojifunza.
 
Naanza kuwa chuki na hii nanihii................yao. Maana wale walioupande wao kama Faizafox anachekelea tu!!!
 
Back
Top Bottom